Suala la Kushusha abiria wote Mbezi Litazamwe upya

Ila inabidi pawe na mpangilio, lengo ni kuondoa misongamano ya mabasi hayo makubwa, hata SGR lengo ni ili malorry yasije Dar, yachukulie mizogo bandari kavu huko Morogoro ikiwezekana
Kama lengo ni kupunguza msongamano kwana hapo mabasi ya mikoani yakishusha abiria yanalala hapo stand??

Lengo wanataka ushuru ndio maana tunasema mabasi wakitoka mkoani yaingie stand na kuondoka na abiria wanaenda linapoelekea basi na kuwaacha waliomaliza safari.
 
Siyo iringa tu ni mikoa takriban 10, mfano Mwnz, Mby, Tanga, Moro, nk, tatizo ninaloliona ni baadhi ya watz si wasafiri ndiyo maana wanalalamika kwa vitu vya ajabu.
Hii nchi wanyonge hawana sauti na wamekosa watetezi, niliwahi kusikia kuna chama cha kutetea abiria sijui kilifia wapi
 
Kama lengo ni kupunguza msongamano kwana hapo mabasi ya mikoani yakishusha abiria yanalala hapo stand??

Lengo wanataka ushuru ndio maana tunasema mabasi wakitoka mkoani yaingie stand na kuondoka na abiria wanaenda linapoelekea basi na kuwaacha waliomaliza safari.
Sicho wanachokifanya, wanazuia abiria kwenda kushukia mjini, wanata abiria wote washukie terminal wakapande daladala hata kama bus linakwenda mjini, kwa maneno mengine wamepiga marufuku mabasi makubwa kuwasaidia wasafiri waendao ofisi za mabasi hayo
 
Dodoma pia hivyohivyo, abiria wote wanaotoka mikoani wanashushiwa nanenane regardless gari inaenda mjini ama laah.
Ni unyama zaidi ya unyama, hao viongozi wanafaidika nini wananchi masikini wanapoteseka na kuingia gharama za safari mara mbili?
 
Sicho wanachokifanya, wanazuia abiria kwenda kushukia mjini, wanata abiria wote washukie terminal wakapande daladala hata kama bus linakwenda mjini, kwa maneno mengine wamepiga marufuku mabasi makubwa kuwasaidia wasafiri waendao ofisi za mabasi hayo
Daladala zenyewe hata hazitoshi. mtu amashuka na mabegi na watoto anaanza kuhangaika na daladala na wakikuona una mizigo mingi wanakukataa inabidi mtu apambane na bajaji au tax kwa gharama kubwa sana
 
Nilimsikiliza Makala nikajisemea huyu nae mwehu kaokotwa huko baada ya kudeal na raia vyema anakuja kujaza matatizo. PIGA VITA ABIRIA KUSHUSHWA MBEZI TERMINAL
Yeye anatumia gari la serikali, haumii, ila furaha yake ni pale masikini wanapoteseka kushonana kwenye daladala wakati mabasi makubwa yakiwa tupu, kwa kiongozi mwenye akili angewashukuru wenye mabasi kwa kupunguza msongamano wa abiria kwenye daladala na kupunguza utitiri wa bajaji na kusababisha foleni njiani, hilo halioni
 
Ila inabidi pawe na mpangilio, lengo ni kuondoa misongamano ya mabasi hayo makubwa, hata SGR lengo ni ili malorry yasije Dar, yachukulie mizogo bandari kavu huko Morogoro ikiwezekana
Mabasi makubwa yanapunguza sana msongamano wa bajaji, daladala kwakuwa yachukua abiria wengi
 
Daladala zenyewe hata hazitoshi. mtu amashuka na mabegi na watoto anaanza kuhangaika na daladala na wakikuona una mizigo mingi wanakukataa inabidi mtu apambane na bajaji au tax kwa gharama kubwa sana
Ukweli hii adha inatakiwa kupiganiwa kwa nguvu zote, wananchi wenye kipato duni, wanawake na watoto wananyanyasika mno as if hii siyo nchi yao
 
Hivi hawa Wapuuzi wakisema mapato, mbona haiingii akilini? Mapato kwa nani? Maana nikishuka sina ninachonunua! Sasa mapato yanaongezekaje?

Usunbufu wa kitoto tu yaani Njombe unapitishwa hadi Stand then unachukua boda unarudi kwenda kwako unalipia 6000.

Iringa hivyo hivyo, nilikutana na basi la kampuni ya Premier lilikua linatoka Mwanza wanakwenda Mbeya, SAA saba usiku, wakaenda kuwashusha abiria kule porini (stand mpya) hakuna usafiri then urudi usiku huo kwenda mjini ambako ndio umepita. Crazy

Dodoma, ujinga ni ule ule tena! Umetoka Iringa hawaruhusu ushuke kule mwanzo eti hadi nanenane, hawa wapuuzi nadhani huwa wanafanya maamuzi wakiwa uchi! Shenzi
haya majamaa huwa hayaeleweka kabisa.....mtu kama Makala aliropoka tu kwa ajili ya kiki lakini sidhani kama alikuwa anajua madhara yake kwa walio wengi
 
Nawasilisha maoni haya kwa Mamlaka husika, leo asubuhi nimeshuka Magufuli terminal kwa bus na kushushwa kama watawala walivyoamuru, tukiwa wengi tu, tukavuka kwenda upande wa pili kutafuta daladala za kwenda mjini, kiukweli, nimejifunza ule usemi wa "mwenye shibe hamtambui mwenye njaa" una maana kubwa sana, Jiji la Dar bado lina changamoto kubwa sana ya usafiri, kiuhalisia RC wa Dar anatakiwa kujitathimini kama kweli maamuzi aliyotoa yalifanyiwa utafiti wa kina juu ya zuio la mabasi makubwa kutowapa msaada wasafiri wanaoelekea mjini. Narudia kutoa ushauri, ninawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa mara nyingine kuisihi serikali kuu kulitazama kipekee jambo hili.
  1. Makamu wa Rais akiwa Kigoma Juzi amewatahadharisha wana Kigoma kuwa makini juu ya Covid 19, hii ikiwa ni pamoja na mikoa mingine 9 yenye takwimu za uwepo wa ugonjwa huo kwa asilimia kadhaa, sidhani Dar inakosekana kwenye orodha hiyo, shidda ya usafiri tuliyokutana nayo Mbezi katika kupanda daladala ni kichocheo kingine cha maambukizi ya ugonjwa huo. Mwenzetu Makala anatumia gari la serikali, hapati machungu wanayopata wananchi wa kipato duni, akina mama na watoto na mizigo. Shida na adha iliyopo ni kubwa, tunaililia serikali kutazama upya maamuzi hayo kandamizi.
  2. Kama sababu kubwa ni kuongeza mapato kwa serikali kupitia hizo biashara alizotaja RC, basi ni bora mara 100 abiria wanaotoka mikoani wakatozwa hiyo nauli ya shilingi 400 kwenye mabasi makubwa ili kupunguza msongamano wa abiria kwenye daladala na hata stand hizo mbili ili kuwanusuru dhidi ya maambukizi mapya yanayoendelea.
  3. RC na timu yake wafanya utafiti wa namna bora ya kuongeza mapato waliyokusudia badala ya huo mpango waliouanzisha, siku zote tunakwama kwenda mbele kwasababu ya kutofanya tafiti kabla kutoa maamuzi sahihi.
  4. Yapo madhara mengi sana yanatokana na maamuzi ya RC, ila wananchi tumekosa mshikamano wa namna bora ya kuyafikisha kwa ngazi za juu zaidi ili kuwanusuru raia wasio na uwezo.
  5. Tegemeo la mwananchi ni kuona kiongozi anatumia ubunifu wake kutatua kero zinazowakabili katika kuondokana na umasikini, lakini alichokifanya RC ni kuongeza umasikini kwa wananchi masikini
Nawasilisha
Hoza zako zina mashiko sana,mfano kuna mabasi yaanzia argentina pale manzese,lakini huruhusuwi kupandia pale hadi uje stand,una mizigo watoto,shida nini?Kama basi limepakia likipitia standa kuchukua wengine kuna tatizo hata kama hawapo?Lipite stand kuliko hii shida .Viongozi wetu msitupe fursa ya kuwananga.Kazi iendelee.
 
Wanachokifanya ni ishara tosha kwamba viongozi wanaopewa dhamana kuongoza watu hawaqualify kwasababu wanatengeneza matatizo makubwa badala ya kuwaunga mkono wanaowasaidia kupunguza msongamano wa abiria kwenye daladala na foleni za daladala na bajaji
 
Hivi hawa Wapuuzi wakisema mapato, mbona haiingii akilini? Mapato kwa nani? Maana nikishuka sina ninachonunua! Sasa mapato yanaongezekaje?

Usunbufu wa kitoto tu yaani Njombe unapitishwa hadi Stand then unachukua boda unarudi kwenda kwako unalipia 6000.

Iringa hivyo hivyo, nilikutana na basi la kampuni ya Premier lilikua linatoka Mwanza wanakwenda Mbeya, SAA saba usiku, wakaenda kuwashusha abiria kule porini (stand mpya) hakuna usafiri then urudi usiku huo kwenda mjini ambako ndio umepita. Crazy

Dodoma, ujinga ni ule ule tena! Umetoka Iringa hawaruhusu ushuke kule mwanzo eti hadi nanenane, hawa wapuuzi nadhani huwa wanafanya maamuzi wakiwa uchi! Shenzi
 
Hivi hawa Wapuuzi wakisema mapato, mbona haiingii akilini? Mapato kwa nani? Maana nikishuka sina ninachonunua! Sasa mapato yanaongezekaje?

Usunbufu wa kitoto tu yaani Njombe unapitishwa hadi Stand then unachukua boda unarudi kwenda kwako unalipia 6000.

Iringa hivyo hivyo, nilikutana na basi la kampuni ya Premier lilikua linatoka Mwanza wanakwenda Mbeya, SAA saba usiku, wakaenda kuwashusha abiria kule porini (stand mpya) hakuna usafiri then urudi usiku huo kwenda mjini ambako ndio umepita. Crazy

Dodoma, ujinga ni ule ule tena! Umetoka Iringa hawaruhusu ushuke kule mwanzo eti hadi nanenane, hawa wapuuzi nadhani huwa wanafanya maamuzi wakiwa uchi! Shenzi
Serikali haijali watu wake, kuna bajaji na daladala utitiri ni za wanasiasa na baadhi ya viongozi, wanalazimisha zifanye biashara, Waziri mwenye dhamana asipolifanyia kazi jambo hili atakuwa hajaitendea haki nafasi yake na watanzania kwa ujumla wao,
 
Ngoja hili tusi analonishawishi Ibilisi niwatukane viongozi wetu nilitunze.
Wanaboa sana
 
Serikali haijali watu wake, kuna bajaji na daladala utitiri ni za wanasiasa na baadhi ya viongozi, wanalazimisha zifanye biashara, Waziri mwenye dhamana asipolifanyia kazi jambo hili atakuwa hajaitendea haki nafasi yake na watanzania kwa ujumla wao,
Walevi wa madaraka na walamba nanihii
 
Hivi hawa Wapuuzi wakisema mapato, mbona haiingii akilini? Mapato kwa nani? Maana nikishuka sina ninachonunua! Sasa mapato yanaongezekaje?

Usunbufu wa kitoto tu yaani Njombe unapitishwa hadi Stand then unachukua boda unarudi kwenda kwako unalipia 6000.

Iringa hivyo hivyo, nilikutana na basi la kampuni ya Premier lilikua linatoka Mwanza wanakwenda Mbeya, SAA saba usiku, wakaenda kuwashusha abiria kule porini (stand mpya) hakuna usafiri then urudi usiku huo kwenda mjini ambako ndio umepita. Crazy

Dodoma, ujinga ni ule ule tena! Umetoka Iringa hawaruhusu ushuke kule mwanzo eti hadi nanenane, hawa wapuuzi nadhani huwa wanafanya maamuzi wakiwa uchi! Shenzi
haya majamaa huwa hayaeleweka kabisa.....mtu kama Makala aliropoka tu kwa ajili ya kiki lakini sidhani kama alikuwa anajua madhara yake kwa walio wengi
 
Waliotoa haya maamuzi ni kama hawana vichwa kabisa, yaani badala ya kutafuta nafuu ya maisha kwa raia mtu anaongeza ugumu wa maisha kwa kisingizio cha kutafutia watu ridhiki.

Mbona watu baadhi hushuka hapo kituoni mbezi kama wanavyoshuka katika vituo vingine si hao watatoa hiyo ridhiki? kwanini walazimishe wote lazima washuke hapo alafu basi liende tupu
 
Back
Top Bottom