sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Wapo wanaotumia kisingizio kwamba Zanizbar ina eneo dogo kwahiyo wabara wasipewe umiliki wa ardhi ila huku bara wazanzibar wapewe umiliki wa maeneo kwasababu bara ni eneo kubwa.Ardhi ya huku (bara) ni kubwa mno, acha tu tutumie sote. Watu wenyewe wako milioni moja na nusu, hawawezi kutumalizia "hiyo ardhi yetu".
Khaa, nchi hii...
Sheria huwa ni msumeno, hukata kuwili. Iweje hiyo marufuku iwe kwa Zanzibar pekee na isiwe kwa bara kupiga marufuku waZanzibari kumiliki aridhi?Zanzibar kisiwa
Ardhi yao ndogo
Wangeruhusu wabara wamiliki ardhi
Mpaka sasa kungekwisha
Ova
Naona wiki hii watu wengi wamekua wakipiga kelele kuhusu Ardhi ya ZanzibarHii n katiba yetu, na hakuna sehemu iliyohusisha ardhi kwenye muungano,
View attachment 2041944
Mtu wa bara ukienda huko Zanzibar hata uwe na pesa vipi utapigwa stop, ukilazimisha kuimiliki kijanja janja basi utakuwa umevunja Sheria kwa kujua au kutojua , wakienda mahakamani huna haki ya kumiliki hio ardhi na hutolipwa fidia yoyote
Ajabu ni kwamba Kigamboni karibu yote, Temeke, buguruni, wazanzibar wanamiliki ardhi bila bugudha.
Kimsingi Tanganyika imekuwa kama shamba la bibi au yatima, haina mwenyewe wala mtetezi..
Kwa katiba ya jamhuri mzanzibar akiwa bara anahaki sawa na mtanganyika. Ila Kwa katiba ya Zanzibar mtanganyika akiwa Zanzibar hana haki sawa na Mzanzibar.
kuna kila sababu ya kuona kwamba Zanzibar "wametuzidi akili", Sizungumzii akili za kukariri darasani what is physics, ni akili ya kawaida kabisa ambayo mtu inabidi awe nayo, kwa kiingereza huitwa "common sense"
Kuna nini kwani naona suala la ardhi ya Zanzibar imekuwa issue. Kimsingi Zanzibar hakuna mtu anaemiliki ardhi, ardhi yote ni mali ya Serikali raia wanapewa hati za matumizi, wageni wanaotaka kuwekeza au raia wanakodishwa ardhi kwa muda maalum na wanatakiwa kulipa kila mwaka.
Mkuu Sheria hazifatwi na naamini hujataka Ardhi Zanzibar we Nunua Tu sifikiri kama kuna shida sio kila kilichopo kwenye Sheria kinafatwa.Sheria huwa ni msumeno, hukata kuwili. Iweje hiyo marufuku iwe kwa Zanzibar pekee na isiwe kwa bara kupiga marufuku waZanzibari kumiliki aridhi?
kisingizio cha ...'wataimaliza ardhi yote'..! ni Tafakuri za kijinga sana hizi.
Maana ya uhuru ni nini na lini ulisikia kila mTanganyika ana nia ya kwenda kununua aridhi na kuishi Zanzibar?
huu ni ubaguzi, haya mambo yanazostahili kuangaliwa upya na kufumuliwa.
yasje yakaanza mambo ya xenophobia hii nchi
Mkuu, basi Pemba yote ile ni ya kwako ichukue.Wapo wanaotumia kisingizio kwamba Zanizbar ina eneo dogo kwahiyo wabara wasipewe umiliki wa ardhi ila huku bara wazanzibar wapewe umiliki wa maeneo kwasababu bara ni eneo kubwa.
Sioni mantiki ya hizi sababu, sisi tunachokitaka kama wao wanaweza kumiliki popote basi na mtu wa bara aweze kuwe na Uhuru wa kumliki ardhi sehemu yoyote either Tanganyika or Zanzibar, bila kuuangalia idadi ya watu na eneo la sehemu, ndio matunda ya Muungano au wewe unataka Muungano iwe faida kwao lakini kwa Mtanganyika ni hasara, Sifa ya kumliki ardhi iwe tu wewe ni Mtanzania na unaruhusiwa kumliki sehemu yoyote ndani ya Tanzania bila kikwazo. kuhusu bei ni swala la eneo husika mfano Masaki /Osterbay kiwanja ni Bei kubwa kuliko kigamboni lakini mfuko ikiwa inasoma unanunua. Tofauti na Zanzibar ambako hairusiwi Mtanganyika kisheria kumliki ardhi.
hakuna alierusiwa kumiliki ardhi kwa mwenzake kwenye muungano isipokua kwenye mambo ya uwekezaji tu.Zanzibar kisiwa
Ardhi yao ndogo
Wangeruhusu wabara wamiliki ardhi
Mpaka sasa kungekwisha
Ova
hakuna alierusiwa kumiliki ardhi kwa mwenzake kwenye muungano isipokua kwenye mambo ya uwekezaji tu.Ardhi ya huku (bara) ni kubwa mno, acha tu tutumie sote. Watu wenyewe wako milioni moja na nusu, hawawezi kutumalizia "hiyo ardhi yetu".
Khaa, nchi hii...
Kwaiyo msingi wa hoja yako ni kwanini Wazanzibari wanamiliki ardhi Bara kwa sababu zisizokua ni uwekezaji, si ndio ?hakuna alierusiwa kumiliki ardhi kwa mwenzake kwenye muungano isipokua kwenye mambo ya uwekezaji tu.
Shida inapokuja ni wazanzibari kupewa umiliki wa ardhi nje ya matumizi ya uwekezaji.
Tanzania bara ishinikize taasis zake za ardhi kufuata sheriaToa Mwongozo Tufanyaje
Kwenye hili suala ni uzembe wa Tanzania bara kutokuwa na uchungu na ardhi yao kwa kuigawa kama pipi, sheria zipo wazi kabisa, wenzetu wanazifuata lakini huku tunazibeza.Bila kuwepo Katiba mpya, kuwepo serikali ya Tanganyika na kuitoa CCM madarakani, hizi mambo hazitaisha milele.