Style za wanaume wa Dar kutongoza

Style za wanaume wa Dar kutongoza

Siku Hizi Vijana Wengi Viazi Karibia Nchi Nzima, Hawataki Kabisa Kuvaa Nguo Zinazowatofautisha Na Wanawake.

Vijisuruali Vya Kubana, Kusuka Nywele Na Ku make Up Sura Ndiyo Kazi Iliyobaki. Sasa Siyo Dar Peke Yake Maana Juzi Nilikuwa Dodoma Nikagundua Ukipishana Na Vijana 15 Basi 5 Wana Vibegi Mgongoni Na Hawaendi Kokote. Hii Tabia Wameiga Kwa Vijana Wa Dar
 
Nimepitia reply za watu karibia zote zimegeNerelize kuwa ni wote,,,,, wakati katika 10 nane 8 ndio wanahayo mambo ndio ikapelekea waitwe ivo,,,, ni kweli same guyz mnawaaibisha wenzenu,,,,, achen hali ya ushoga na ulimbukeni,,, ni aibu na fedhea kwa jamii na Taifa kwa ujumla.
 
Subiri tuendelee kuwaona kwenye kipindi cha Take one kwenye Clouds TV.... Mambo ya Dar hayo, kama mbele
 
Hizi threads nyingine!!!!! Daah..haya mkuu. Ukiangalia title na content ya uzi wenyewe hata haviendani....
 
Hizi threads nyingine!!!!! Daah..haya mkuu. Ukiangalia title na content ya uzi wenyewe hata haviendani....
Mkuu mleta mada kwa kua mtoto wa kike sina neno nae, ingekua mwanamme ni mwanamme shoga pekee, ndiye anaejua namna ya utongozaji au maumbile ya wanaume mbalimbali, wa eneo fulani.
 
Mkuu ukiwa na gari huzungumzi, hawa dada zetu wakiona gari chupi huwa zinakatika mipira utaionea chini.
 
Haha mkuuuu bonge la swali nadhani mtoa mada.ni mwanamke
Haya yaliandikwa hayawezi andikkwa na mwanamme kamwe, ni aibu eti wanaume huku kwetu wanatongoza hivi, tena kunasehemu akaenda mbali zaidi akidai sisi za zakwetu zimelala tumezoea kunyonywa dushee, haah wee hakuna mwanamme wa kuandika hivi nakataa, mwaname kama mwanamme hata kuiona tu ile ya mwenzie hataki sasa uisimulie tena eti ziko hivi wee, labda sio shababi huo.
 
aliyeanzisha mada hii anatakiwa wamu add kwenye group la Iringa girls 2013 au Msalato girls 2010 ndipo pana mfaa na mada zake hizi
 
mwaka huu lazma wanaume wa dar waelewe
 
Hao wanaojiita wanaume wa mikoani mi naona wivu ndo unawasumbua,so inabidi wawaseme watu wa dar ili wawashushie heshima na waonekane hawana maana ili walingane kwa hadhi kama wao,lakini ukiitazama hii kwa undani hata wao wanatamani kwenda kuishi dar ,sema ndo hivyo inaonekana hawana jinsi tu,wamebaki kuwaponda watu wa dar ili kupooza machungu yao,wamebakia sizitaki mbichi hizi ,wanashindwa kuwa wakweli wa nafsi zao nina uhakika asilimia 90 ya hao wanaowapondea wanaume wa dar wanatamani sana kwenda dar,believe me.
 
Siku mkija kushtuka mtakuta tumewamaliza dada zenu kuanzia hapa Dar na huko kwenu na kwa unyambisi sasa mkiingia hapa mjini na nyie kaka zao mtashika ukuta maana mnajipa moyo sana recently na hili neno mnasahau tukidondoka uko kwenu tunawamegea,karibuni sana Tanzania mkisha uza mazao yenu.
 
Wanaume wa Dar wapo tofauti sana na gia zao za kuingia kwa wasichana mpaka wana kodi gari kwa wenzao ili waende kungolea msichana akiingia nae out ananinginiza ufunguo akiwa counta anautupa mezeni.

Wanaume wa Dar wengi utakuta ni hotpot family kujishughulisha ni nadra sana akipata msichana anaenda kuomba geto kwa mshikaji wake akamgongee huko apo hana ela ya guest.

Mwanaume wa Dar wengi wana mapenzi ya kudanganya wanajifanya ya kizungu kumbe hana ela anaenda na msichana beach anamgongea uko sana sana coco beach.

Wanaume wa Dar bhana kina mtu dalali kila Kona wanaume wa Dar jifunzeni kujishughulisha acheni kula chips kuku, zinawaua nguvu za kiume wasichana zenu wakija huku mikoani wakikutana na wanaume wanaokula ugali dona yaani wanawaponda balaa nyie si mpaka mbusti na supu ya pweza na viagra.
Shika adabu yako we kijana,
 
Back
Top Bottom