Style za wanaume wa Dar kutongoza

Style za wanaume wa Dar kutongoza

Ndio maana wanaume wa dar mnapenda kuliwa 0714 kwa sababu ya kupenda kitonga!!
Mjini ni kutumia akili kubwaaaaazzzz,shamba ni nguvu kubwa bila kushirikisha le akilizzzzz
 
mkuu mm siwez kua mwanaume wa Dar nyie hamna kitu madem zenu wakija huku mkoan wanawaponda sana
Mbona tukija huko mashambani tunawapa mijeledi hivyo hao wanawake wenu,kila wakituona wa dar full shobo na huwa siwaachi nawa shughulikia ipasavyo
 
ifuatayo ni sample ya wanaume wa dar (a)bob junior kiuno (b)Ben kinyaiya (c)hemed PhD huyu jamaa anashindana na wanawake kujichubua (c)dully huyu jamaa anajiita mrembo hao ni baadhi..
 
ifuatayo ni sample ya wanaume wa dar (a)bob junior kiuno (b)Ben kinyaiya (c)hemed PhD huyu jamaa anashindana na wanawake kujichubua (c)dully huyu jamaa anajiita mrembo hao ni baadhi..
Mbona umemsahau Ray mzee wa kunywa maji
 
wanaume wa Dar wapo tofauti sana na gia zao za kuingia kwa madem mpaka wana kodi gar kwa wenzao ili waende kungolea Dem akiingia nae out ananinginiza ufunguo akiwa counta anautupa mezeni

wanaume wa Dar wengi utakuta ni hotpot family kujishughulisha ni nadra sana akipata Dem anaenda kuomba geto kwa mshikaj wake akamgongee uko apo hana ela ya guest

mwanaume wa Dar wengi wana mapenz ya Zuga wanajifanya ya kizungu kumbe hana ela anaenda na Dem beach anamgongea uko sana sana coco beach

wanaume wa Dar bhana kina mtu dalali kila Kona wanaume wa Dar jifunzeni kujishughulisha acheni kula chips kuku zinawaua nguvu za kiume madem zenu wakija huku mikoani wakikutana na wanaume wanaokula ugali dona yaani wanawaponda balaa nyie si mpaka mbust na supu ya pweza na viagra
Wamekusikia mwanamke wa mkoani
 
Mi nafikiri bongo fleva ndiyo iliyowaharibu. Wao kila kitu ni kuiga na fake.
 
ifuatayo ni sample ya wanaume wa dar (a)bob junior kiuno (b)Ben kinyaiya (c)hemed PhD huyu jamaa anashindana na wanawake kujichubua (c)dully huyu jamaa anajiita mrembo hao ni baadhi..
Umemsahau yule anaekunywa maji kwa wingi awe mweupe.
 
Hivi mnataka kuzichapa et ee?Ss sijui nani atashinda kati ya wa dar na bara.Hahaaaaa wanaume wa dar bwanaaa
 
ifuatayo ni sample ya wanaume wa dar (a)bob junior kiuno (b)Ben kinyaiya (c)hemed PhD huyu jamaa anashindana na wanawake kujichubua (c)dully huyu jamaa anajiita mrembo hao ni baadhi..
Naogngezea (e)Sam misago (f)Perfect chrispin (g)james delicious
 
Back
Top Bottom