tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,054
- 16,509
how old are u?Braza katoka dar ja!!mwanza hiyo nmewagongeaje mademu zenu nyie mbuzi!!narudi tena mwezi wa 10 round hii nakula wake zenu!!
how old are u?Braza katoka dar ja!!mwanza hiyo nmewagongeaje mademu zenu nyie mbuzi!!narudi tena mwezi wa 10 round hii nakula wake zenu!!
nitajie kijiji gan unatokea tz nije kufanya utalii niwang'oe dada zenuWanaume wa Dar wapo tofauti sana na gia zao za kuingia kwa wasichana mpaka wana kodi gari kwa wenzao ili waende kungolea msichana akiingia nae out ananinginiza ufunguo akiwa counta anautupa mezeni.
Wanaume wa Dar wengi utakuta ni hotpot family kujishughulisha ni nadra sana akipata msichana anaenda kuomba geto kwa mshikaji wake akamgongee huko apo hana ela ya guest.
Mwanaume wa Dar wengi wana mapenzi ya kudanganya wanajifanya ya kizungu kumbe hana ela anaenda na msichana beach anamgongea uko sana sana coco beach.
Wanaume wa Dar bhana kina mtu dalali kila Kona wanaume wa Dar jifunzeni kujishughulisha acheni kula chips kuku, zinawaua nguvu za kiume wasichana zenu wakija huku mikoani wakikutana na wanaume wanaokula ugali dona yaani wanawaponda balaa nyie si mpaka mbusti na supu ya pweza na viagra.
Wanaume wa Dar wapo tofauti sana na gia zao za kuingia kwa wasichana mpaka wana kodi gari kwa wenzao ili waende kungolea msichana akiingia nae out ananinginiza ufunguo akiwa counta anautupa mezeni.
Wanaume wa Dar wengi utakuta ni hotpot family kujishughulisha ni nadra sana akipata msichana anaenda kuomba geto kwa mshikaji wake akamgongee huko apo hana ela ya guest.
Mwanaume wa Dar wengi wana mapenzi ya kudanganya wanajifanya ya kizungu kumbe hana ela anaenda na msichana beach anamgongea uko sana sana coco beach.
Wanaume wa Dar bhana kina mtu dalali kila Kona wanaume wa Dar jifunzeni kujishughulisha acheni kula chips kuku, zinawaua nguvu za kiume wasichana zenu wakija huku mikoani wakikutana na wanaume wanaokula ugali dona yaani wanawaponda balaa nyie si mpaka mbusti na supu ya pweza na viagra.
HahahaWanaume wa Darslum wakati wa kutongoza wao ndiyo wanang'ata kucha.....
Mh. Usipaniki ndugu, 35% imethibitika si wanaume halisi kiongoziKinakusumbua wewe ni ulimbuken na vijisent vyako baada ya kuuza matikiti... Wanaume wa mikoani wanuka shombo, the moment ukishuka ubungo hapo utamtambua huyu wa kuja... Malapa ya mchina, miguu full vumbi, ukurutu.. T-shirt Nike 1947 Jean...special dukan... Utaongea nini kwa madem wa bongo .. Sana sana utaishia kwa barmaid na milupo ya bamaga hapo....![]()
Tunazo smartphone mkuu,Wewe wa kijijini unajua nini kuhusu wanaume wa Dar zaidi ya kuliona jiji letu kupitia ITV!?
Wewe kuwa bize na shughuli zako za mashambani huenda siku ukafuzu kuja kuishi Tandale.
We nae, hivi huoni aibu kutomsema mwanaume mwenzio kwa makosa yake???Mm ni wa magu masansa kona mkoa wa mwanza lkn haipendezi kuchafuana hivi,mbona huyu jamaa anawafatilia wanaume wa dar tatizo nn!,au nimesee tatizo lake,ebu acha kutukana wanaume wezako aise mbona yako yamejaa tele ebu nyamaza kabla sijaamka!!
Kazi mnayo,Siku Moja wanaume wa dar tutarudisha heshima yetu iliyopotea
Hii kauli nayo imekuwa maarufu kwa wanaume wa dar,hili jamaa pointless kabisa hiyo mikoa yenu tumefika na nademu zenu wanajitongozesha wanawaponda hamjui mapenzi style yenu moja tu hamjui maandalizi mnawaumiza tu mnawapanda kama mbuzi tukija sisi tunawaonesha jinsi ya kumpa raha mwanamke halafu nyie wa mikoani mnanuka sana midomo,kwenye mapumb....hamnyoi...vikwapa vinanuka hamjui kuoga vizuri...pumbafu zenuuuu hamjui kila kitu ndio maana mnachukia wanaume wa Dar...na mademu zenu wataendelea kutupenda!!
tunawagongea mademu zenuKazi mnayo,
Imewachukua miaka mingi akina dada wa daslamu kujiridhisha kuwa
"" KUISHI NA MIDORI NI BORA NA NI SALAMA KULIKO KUISHI NA MWANAUME WA DAR""
Na nyie itawachukua miaka mingi sana kuwaaminisha akina dada kuwa nyinyi mmekuwa bora kuliko midori, wakati huohuo technolojia inakuwa