Style za wanaume wa Dar kutongoza

Style za wanaume wa Dar kutongoza

Mbona tukija huko mashambani tunawapa mijeledi hivyo hao wanawake wenu,kila wakituona wa dar full shobo na huwa siwaachi nawa shughulikia ipasavyo

Ipasavyo na nguvu zipi?
 
Siku Hizi Vijana Wengi Viazi Karibia Nchi Nzima, Hawataki Kabisa Kuvaa Nguo Zinazowatofautisha Na Wanawake.

Vijisuruali Vya Kubana, Kusuka Nywele Na Ku make Up Sura Ndiyo Kazi Iliyobaki. Sasa Siyo Dar Peke Yake Maana Juzi Nilikuwa Dodoma Nikagundua Ukipishana Na Vijana 15 Basi 5 Wana Vibegi Mgongoni Na Hawaendi Kokote. Hii Tabia Wameiga Kwa Vijana Wa Dar

Nikukanushe, Ni vijana wa Dar wameamia Dodoma
 
Hata madem wa mikoani mbona wanatamani leo kesho wapate mwanaume wa dar najua mnaumia tukija mikoani madem zenu wanatutamani ngoz kama nimetoka new york pafyum labei mbaya pochi limejaa hela mapenz ndio akitaka atakojozwa mpaka akusahau wewe mnuka shombo
 
Mm juz tu nimeenda tanga madem wote mimacho kwangu na mm bila hajiz nikakamata mmoja nikagonga katoka pale haya sijawahi kufanyiwa na huyu mkulima wangu akataka kuniganda nije nar dar
 
Braza katoka dar ja!!mwanza hiyo nmewagongeaje mademu zenu nyie mbuzi!!narudi tena mwezi wa 10 round hii nakula wake zenu!!
 
Kinakusumbua wewe ni ulimbuken na vijisent vyako baada ya kuuza matikiti... Wanaume wa mikoani wanuka shombo, the moment ukishuka ubungo hapo utamtambua huyu wa kuja... Malapa ya mchina, miguu full vumbi, ukurutu.. T-shirt Nike 1947 Jean...special dukan... Utaongea nini kwa madem wa bongo .. Sana sana utaishia kwa barmaid na milupo ya bamaga hapo....
Wambie wambie haoooooooooooooooo choka nafsi zetu sio kila kukicha wanaume wa DAR ,ALAAAAAAAAAAAAAA!!
Wanaume wa dar wanakua na Wanawake wa Dar na nje ya DAR....lol
 
Braza katoka dar ja!!mwanza hiyo nmewagongeaje mademu zenu nyie mbuzi!!narudi tena mwezi wa 10 round hii nakula wake zenu!!
Linaona sifa limbukeni la mkoa, full shombo, mjanja wa mkoa anapiga blue for men... !!
Halafu si tuwape sidiria tu mvae... Manake umbea wa ni wanawake wambea mbea huongea.....
 
Sina uhakika kama uchumi utapanda kweli maana kama mkulima atakuw adui na processor kuna hatar ya kukosa bussines cycle.
Kwanza kupost ujinga ni sawa na udunya....mjielewe nyie wa TZ.
 
Kinakusumbua wewe ni ulimbuken na vijisent vyako baada ya kuuza matikiti... Wanaume wa mikoani wanuka shombo, the moment ukishuka ubungo hapo utamtambua huyu wa kuja... Malapa ya mchina, miguu full vumbi, ukurutu.. T-shirt Nike 1947 Jean...special dukan... Utaongea nini kwa madem wa bongo .. Sana sana utaishia kwa barmaid na milupo ya bamaga hapo....
hahahahaha hahaha hahaha hahahaha hahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha aaahahah
 
Hivi mnataka kuzichapa et ee?Ss sijui nani atashinda kati ya wa dar na bara.Hahaaaaa wanaume wa dar bwanaaa
wanaume wa dar wana nguvu basi, akiweza kuvunja biscuti anajisifia kinyama
 
Sasa hivi tunahamia Dodoma sasa, sijui mtatusema nini tena..... Teh
 
hv mwanamke ana toka dar,anakwenda kutafuta mwanamme kijijini huyo atakuwa hana akili,kwa kipi mlicho nacho,?
 
Nina wasiwasi na jinsia yako...hakika wewe ni ke au wale wapinzani wa mkuu wa mkoa
 
Back
Top Bottom