Style za wanaume wa Dar kutongoza

Style za wanaume wa Dar kutongoza

Wanaume wa Dar wapo tofauti sana na gia zao za kuingia kwa wasichana mpaka wana kodi gari kwa wenzao ili waende kungolea msichana akiingia nae out ananinginiza ufunguo akiwa counta anautupa mezeni.

Wanaume wa Dar wengi utakuta ni hotpot family kujishughulisha ni nadra sana akipata msichana anaenda kuomba geto kwa mshikaji wake akamgongee huko apo hana ela ya guest.

Mwanaume wa Dar wengi wana mapenzi ya kudanganya wanajifanya ya kizungu kumbe hana ela anaenda na msichana beach anamgongea uko sana sana coco beach.

Wanaume wa Dar bhana kina mtu dalali kila Kona wanaume wa Dar jifunzeni kujishughulisha acheni kula chips kuku, zinawaua nguvu za kiume wasichana zenu wakija huku mikoani wakikutana na wanaume wanaokula ugali dona yaani wanawaponda balaa nyie si mpaka mbusti na supu ya pweza na viagra.
Wewe ni ke au me? Tuanzie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni wanaume wa dar mko vizuri kwa kila kitu! Wanaume wa mikoani miporipori tu, hata siwaelewagi kwakweli!
 
Hongereni wanaume wa dar mko vizuri kwa kila kitu! Wanaume wa mikoani miporipori tu, hata siwaelewagi kwakweli!

are you serious? utamsahau uyo mke mwenzio unae share nae vipodoz na wigi.
 
hahahaha huu ni wivu uliopitiliza, mashamba yanawafanya mjione mpo ngangari?

pambaneni na hali zenu

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
 
Wanaume wa Dar wapo tofauti sana na gia zao za kuingia kwa wasichana mpaka wana kodi gari kwa wenzao ili waende kungolea msichana akiingia nae out ananinginiza ufunguo akiwa counta anautupa mezeni.

Wanaume wa Dar wengi utakuta ni hotpot family kujishughulisha ni nadra sana akipata msichana anaenda kuomba geto kwa mshikaji wake akamgongee huko apo hana ela ya guest.

Mwanaume wa Dar wengi wana mapenzi ya kudanganya wanajifanya ya kizungu kumbe hana ela anaenda na msichana beach anamgongea uko sana sana coco beach.

Wanaume wa Dar bhana kina mtu dalali kila Kona wanaume wa Dar jifunzeni kujishughulisha acheni kula chips kuku, zinawaua nguvu za kiume wasichana zenu wakija huku mikoani wakikutana na wanaume wanaokula ugali dona yaani wanawaponda balaa nyie si mpaka mbusti na supu ya pweza na viagra.
Wakiwaponda wanaume wa dar basi nyie mnajiona mnapeeendwa hela zote za mazao mnawatengea , wakija dar wanawaponda na kuendelea na machinjio yao lainiiiii.
Halafu jiulize je? Vijana wa dar wakija kijijini inakuwaje kijiji kizima kinaomba po!
 
Maisha ya kisenge ni kumfuatilia mwanaume mwenzako,

Kwani wanaume wa dar hayo yote wanayo Fanya hata wasipo fanya nyie wanaume wengine mnaojiita wa mkoa nafaidika na nini au mnapungukiwa na nini

Acheni kuishi maisha ya ajabu na maneno ya kuambiwa.

Binafsi nakula chips tena zile za KFC na vyakula vya supermarkets lakini bado nipo njema katika kutoa huduma kwa mwanamke tukiwa faraghani.

Hizo ni imani potofu kwa wanaume wa mkoa kuwa kula chips yai na chips kuku pamoja na kutoji shughulisha inatuathiri sisi wanaume wa dar, hizo ni fikra mbovu.....

Over thinking is what kills you....
 
Back
Top Bottom