Style za waendao vyuoni

Style za waendao vyuoni

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,701
Reaction score
13,671
Eti:
1.Maskini,waoga na washamba-SUA
2.Matajir wajanja na wenye akili za maisha-MU (MZUMBE)
3.Wenye akili chache, wavivu,wahuni na matozi (sharobaro),masister duu-CBE DAR
4.Malaya,wasanii,wauza sura na wasio jiweza kiakili-IFM
5.Upeo mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama-TUMAINI UNIV.
6Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi-MUCCOBS
7.Wapenda ofa duni za serikali-TIA,MWL Nyerere KIVUKONI
8.Waliokosa vyuo kabisa-RUCCO/TEOFILO KISANJI
9.Mafundi,wabunifu na wasiojua mapenzi-DIT,ST JOSEPH,MIST,NIT
10.Wapenda sifa na wameliokosa nafasi UDSM-UDOM
11.Wasiojali future.watoto wa geti kali-SAUT
12.Wasio na uwezo wa kipesa na kiakili-IAA,MAKUMIRA.
13.Wanaosoma sana but silent na waliofungiwa katika box kwa mambo ya kidunia-ST JOHN,KCMC,BUGANDO
14.Wasiofahamu umuhimu wa elimu-CHUO CHA MIPANGO DOM.ZANZIBAR UNIV.MORO MUSLIM,NYUKI TABORA,SUZA
15.Wakujitolea na future duni-DUCE,MUCE,ECKENFORD,UNIV OF BAGAMOYO
16.Wasiojali nchi na uzalendo,mamluki-ABROAD
17.Watoto wa mama,wavamia fani-IMTU,KAIRUKI
18.Wasongo,waliofungiwa katika box,sura mgogoro-UCLAS
19.Mafundi bomba,anti-social-RWEGARULIRA
20.Watu wenye sifa zote hapo juu-UDSM
 
Wenye mawazo magando, pathetic na IQ yake ni0.000 -ULimakafu
 
Eti:
1.Maskini,waoga na washamba-SUA
2.Matajir wajanja na wenye akili za maisha-MU (MZUMBE)
3.Wenye akili chache, wavivu,wahuni na matozi (sharobaro),masister duu-CBE DAR
4.Malaya,wasnii,wauza sura na wasio jiweza kiakili-IFM
5.Upeo mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama-TUMAINI UNIV.
6Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi-MUCCOBS
7.Wapenda ofa duni za serikali-TIA
8.Waliokosa vyuo kabisa-RUCCO/TEOFILO KISANJI
9.Mafundi,wabunifu na wasiojua mapenzi-DIT,ST JOSEPH,MIST
10.Wapenda sifa na wamelkosa nafasi UDSM-UDOM
11.Wasiojali future.watoto wa geti kali-SAUT
12.Wasio na uwezo wa kipesa na kiakili-IAA,MAKUMIRA.
13.Wanaosoma sana but silent na waliofungiwa katika box kwa mambo ya kidunia-ST JOHN,KCMC,BUGANDO
14.Wasiofahamu umuhimu wa elimu-CHUO CHA MIPANGO DOM.ZANZIBAR UNIV.MORO MUSLIM,NYUKI TABORA
15.Wakujitolea na future duni-DUCE,MUCE,ECKENFORD,UNIV OF BAGAMOYO
16.Wasiojali nchi na uzalendo,mamluki-ABROAD
17.Watu wenye sifa zote hapo juu-UDSM

hahahaaaaa nimeipenda hiii
 
Hauna jipya. Hiya analysis umeifanya ukiwa umelewa.
 
na sisi tuliosoma ardhi almaarufu kama UCLAS, ma-architect, valuers, land surveyors, environmental engineers, quantity surveyors, uurban planners, tupoje??? Tupe characteristics zetu kaka
 
Muhimbili bana, pamoja na kwamba ni Chuo maarufu lkn pamejificha kweli utafikiri hawapo kwenye ramani ya dunia, kama siyo basi huyu mwenye thread hii ni denti la Muhimbili!
Namba 13.
 
Back
Top Bottom