Eti:
1.Maskini,waoga na washamba-SUA
2.Matajir wajanja na wenye akili za maisha-MU (MZUMBE)
3.Wenye akili chache, wavivu,wahuni na matozi (sharobaro),masister duu-CBE DAR
4.Malaya,wasnii,wauza sura na wasio jiweza kiakili-IFM
5.Upeo mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama-TUMAINI UNIV.
6Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi-MUCCOBS
7.Wapenda ofa duni za serikali-TIA
8.Waliokosa vyuo kabisa-RUCCO/TEOFILO KISANJI
9.Mafundi,wabunifu na wasiojua mapenzi-DIT,ST JOSEPH,MIST
10.Wapenda sifa na wamelkosa nafasi UDSM-UDOM
11.Wasiojali future.watoto wa geti kali-SAUT
12.Wasio na uwezo wa kipesa na kiakili-IAA,MAKUMIRA.
13.Wanaosoma sana but silent na waliofungiwa katika box kwa mambo ya kidunia-ST JOHN,KCMC,BUGANDO
14.Wasiofahamu umuhimu wa elimu-CHUO CHA MIPANGO DOM.ZANZIBAR UNIV.MORO MUSLIM,NYUKI TABORA
15.Wakujitolea na future duni-DUCE,MUCE,ECKENFORD,UNIV OF BAGAMOYO
16.Wasiojali nchi na uzalendo,mamluki-ABROAD
17.Watu wenye sifa zote hapo juu-UDSM