Stupid things men do in relationship

Stupid things men do in relationship

Mnyamwezi Kasinde aiseee kweli ukimshika huyo kimbaumbau Tized hawezi elewa lugha ya UBAVU wake!

Wanyamwezi mko juu! Ata wale watanga hawana kitu mbele yenu!

Hahahahaaaaa hapa Tized inabidi tuu anikingie kifua kwa ubavu wake asije akantoa manundu usoni maana ndo ninayoringia nayo mjini hapa.
 
Hahahahahaaa Tized hapo ndo huwa nakupendea, halafu mbona anakazania kuwa wewe ni kimbau mbau? Mwambie kimbau mbau raha yake apate nyama nyama za size ya kati sio ile tipwa tipwa, Ntuzu inabidi ukubali yaishe tuu maana Tized kamaliza kila kitu looh

Hahahahaaaaa hapa nimekubali yaishe maana hichi kitambi changu kinavyo ning'inia Ni shida sn eti! Yani mpk kuokota kitu chini shida!

Kasinde nenda tu kwa huyo huyo kimbaumbau!
 
Hahahahaaaaa hapa Tized inabidi tuu anikingie kifua kwa ubavu wake asije akantoa manundu usoni maana ndo ninayoringia nayo mjini hapa.

Usiseme sn mpk huyu Mzee Wa vurugu Mr Rocky asikie! Akisikia tu atafanya juu chini mpk mtengane na huyu Tized
 
Last edited by a moderator:
Someone told me before he z not jealous,he got no reason for being jealous..........was painful.
To fill that my man is jealous that's awesome i can tell
 
Usiseme sn mpk huyu Mzee Wa vurugu Mr Rocky asikie! Akisikia tu atafanya juu chini mpk mtengane na huyu Tized

Point of interaction, Tized aliniambia Mr Rocky ni mzee mwenzie labda sikuelewa mzee mwenzie in what terms, why Mr Rocky atutenganishe na Tized??? there is some information that is missing in the story............., somebody to explain pls
 
Hahahahaaaaa hapa nimekubali yaishe maana hichi kitambi changu kinavyo ning'inia Ni shida sn eti! Yani mpk kuokota kitu chini shida!

Kasinde nenda tu kwa huyo huyo kimbaumbau!

jamani mbona hivooo??? walau sema basi nenda tu kwa Tized, upumzishe neno kimbaumbau loooh

Ila fanya juhudi kitambi ukitoe hicho maana mie huwa nawaza wajawazito wanavochoka na matumbo yao ambapo wanajipa matumaini baada ya miezi 9 wanakuwa flat, sasa wanaume kitambi ndo kinakuwa chake huwa nawaonea huruma wanavobeba vitambi vyao, naona kama wamebeba mizigo bila sababu looh
 
Point of interaction, Tized aliniambia Mr Rocky ni mzee mwenzie labda sikuelewa mzee mwenzie in what terms, why Mr Rocky atutenganishe na Tized??? there is some information that is missing in the story............., somebody to explain pls

Hahahahaaaaa Tized na Mr Rocky mukuje hapa mtoe maelezo Vzr! Wacha Mie njikalie zangu pembeni baada ya kulikoroga!
 
Last edited by a moderator:
jamani mbona hivooo??? walau sema basi nenda tu kwa Tized, upumzishe neno kimbaumbau loooh

Ila fanya juhudi kitambi ukitoe hicho maana mie huwa nawaza wajawazito wanavochoka na matumbo yao ambapo wanajipa matumaini baada ya miezi 9 wanakuwa flat, sasa wanaume kitambi ndo kinakuwa chake huwa nawaonea huruma wanavobeba vitambi vyao, naona kama wamebeba mizigo bila sababu looh

Hahahaaaa

Huu mzigo wangu bila sababu ata Mr Rocky ako nao! Sasa mwenzangu yeye kulalia Tumbo ndio hawezi kabisa! Yani yeye hulala chali mpk nywele za kisogoni zimeisha kwa sababu ya kulala style Moja kila siku!

Tized Yuko na kifreezer kidogodogo kulingana na Mwili wake! I hope you gona like it!
 
Hahahahahahahahaaaaaaaaaaa looh!!! mnajuana nyie wote watatu wacha ncheke tuu
 
Hahahahahahahahaaaaaaaaaaa looh!!! mnajuana nyie wote watatu wacha ncheke tuu

Hahahaaaaaaa

Ngoja waje uone vurugu zao! Yule mwingine kitambi kimemzidi Lkn anavurugu huyo? Lkn huyu Tized Ni mpole sn hana shida kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Boasting

Being stingy

Jealous

Thinking they are the best

Thinking they are truly loved

They never learn from previous mistakes

Cheaters

Pls don crack over me! This is a personal opinion

haha hapo kwenye red :A S wink::angry:
 
Kwa hiyo sifa Mkuu Uko juu! Alafu ukiongeza na sifa ya uzee Sasa inakua ndio nzuri Zaidi maana wazee wanasifika sn kwa kuhudumia Vzr!
Hahahaaaa.... Mkuu siku hizi hela ukiwa na hela hata kama uko under 18 utasikia ''MZEE TIZED'' Ukimbao mbao ndio habari ya mujini... hahahahaaa

Mnyamwezi Kasinde aiseee kweli ukimshika huyo kimbaumbau Tized hawezi elewa lugha ya UBAVU wake! Wanyamwezi mko juu! Ata wale watanga hawana kitu mbele yenu!
Mkuu sibanduki apo... nimejishikisha na supa GLUU. Ukizingatia yeye ana nyama kidogo tunamatch sana. Wewe kwa kuwa ni ndugu yangu unaruhusiwa kula kwa macho tu (kitu kizuri kula na ndugu yako, kibaya mpe Mbwa)

Tized Tized usijefanya nikaviziwa saa ya kutoka ofcn nikapigwa mie au nikiwa club nikamwagiwa tindikali oohoooo ugomvi siuwezi mie. Halafu ma handsome huwa wanafwatwa fwatwa sana na waschana warembo mie siwezi kugombania bwana au kushea bwana looh, Kasinde wa watu mpoleee ila nakula ujana
Uko peke yako sweetheart!!!!! nimekaa jangwani kwenye ukame muda sana, at least wewe umejitokeza walau unidondoshee tone moja kuuburudisha ulimi wangu!!!!! With me you are prudently secured.

Hahahahahaaa Tized hapo ndo huwa nakupendea, halafu mbona anakazania kuwa wewe ni kimbau mbau? Mwambie kimbau mbau raha yake apate nyama nyama za size ya kati sio ile tipwa tipwa, Ntuzu inabidi ukubali yaishe tuu maana Tized kamaliza kila kitu looh
My dear upendo wako ulivyo juu mbona ntanona mie? nshachekwa sana kamwili hako sijui nini nini? wewe kunenepa ni sawa la barabara ya lami kuota majani etc etc. Njoo nijiburudikie mieee walahiiiii!!!

Tajitahidi nipate picha yako kasinde nijue siri
shindwa na ulegee mshana jr

Usiseme sn mpk huyu Mzee Wa vurugu Mr Rocky asikie! Akisikia tu atafanya juu chini mpk mtengane na huyu Tized
huyu jamaa anapenda vitu vizuri ale tu yeye... Naye ashindwe na kulegea

Hahahahaaaaa hapa nimekubali yaishe maana hichi kitambi changu kinavyo ning'inia Ni shida sn eti! Yani mpk kuokota kitu chini shida! Kasinde nenda tu kwa huyo huyo kimbaumbau!
hahahahaha nasikia iko kinachoning'inia ndio kinachopoozaga vizuri. na wadada wanavipenda maana ni multipurpose... anaweza kutumia kama mto pia (pillow)

picha ya Kasinde haichezi mbali sana na avatar yake
Comfirmed!!!!

Point of interaction, Tized aliniambia Mr Rocky ni mzee mwenzie labda sikuelewa mzee mwenzie in what terms, why Mr Rocky atutenganishe na Tized??? there is some information that is missing in the story............., somebody to explain pls
, Huyu jamaa hela zimemfanya aitwe mzee bado ni mbichi sana kama Excel

jamani mbona hivooo??? walau sema basi nenda tu kwa Tized, upumzishe neno kimbaumbau loooh Ila fanya juhudi kitambi ukitoe hicho maana mie huwa nawaza wajawazito wanavochoka na matumbo yao ambapo wanajipa matumaini baada ya miezi 9 wanakuwa flat, sasa wanaume kitambi ndo kinakuwa chake huwa nawaonea huruma wanavobeba vitambi vyao, naona kama wamebeba mizigo bila sababu looh
hahahahaaaa... umeniacha sana hoi eti unawahurumia wajawazito....kama wazee wa enzi zetu wenye vitambi.... inhiinhiiii... ngoja waje!!!!!

Hahahaaaa

Huu mzigo wangu bila sababu ata Mr Rocky ako nao! Sasa mwenzangu yeye kulalia Tumbo ndio hawezi kabisa! Yani yeye hulala chali mpk nywele za kisogoni zimeisha kwa sababu ya kulala style Moja kila siku!

Tized Yuko na kifreezer kidogodogo kulingana na Mwili wake! I hope you gona like it!
Kifriza changu kwa kitaalamu huitwa ''SIX PACKS'' hahahahhaahaaaaa....
Hahahaaaaaaa
Ngoja waje uone vurugu zao! Yule mwingine kitambi kimemzidi Lkn anavurugu huyo? Lkn huyu Tized Ni mpole sn hana shida kabisa!
Yeahhhh a bit innocent... ngoja aje mzee wa fujo uone anavyoleta za kuleta apa cc Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Ila wanaume jelous khaa mpaka kero,mtu asitoke kidogo..where are you na nani?kwa dakika ngapi?tuma picha nione!!
Usiombe ukapigiwa simu hata na bussiness patner hee kwa wivu wanaume nawapa salute.

Lakini wao mbona wana mambo mazito ya chinichini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom