kaka mkubwa hii ni personal invitation! kuna kamkataba nataka Kasinde awekepo kakidole kake bhana! ikiwezekana asaign kwa lipsi kabisa! lol.
she will be safe,,, dont worry!
Tena atwambie kabisa alikuwa anapima nini maana nasikia wengine wanapima petroli sijui diesel....
Asante huby wangu
Ukiona mtu anasifiwa ivyo ujue kuna kitu anazidishiwa usingizi asiamke... Hahahahaaa. mzima best yangu?
mamii mbona easy sana hii? yani lips signatures ni new model ya contractual bailment.. by the way, nisikusumbue kwa maneno mazito ya kibiashara! hebu njoo ukiwa umepaka lip shine kiasi tu, then ntakwambia cha kufanya..!mmmmhhhhhh!!!!! sign..!!! mkataba....!!!! I think I need a lawyer looh!! tena sign kwa lips...............
Tized inakubalika hii??
u know me well nampa best of the best from my soul.......
ila mimi mzima miss u much my dear
huku ukini-chum basi kipenzi! ongezea na mahanjumati kidooogo wajing'ate videvu!
Yaani wewe njoo wakati wowote hata usiku nyumba yangu iko free na haina usumbufu kabisa kwa wageni
Utapewa chumba cha wageni kulala na utapata huduma zote kama mgeni
Mwambie tuu Tized unaenda kumtembelea shemeji yako hatakukataza
nani kammiss mwenzie kati yangu na wewe?..
both hope so...remember kwa dk all our best memory..
si kila ua linanukia ila waridi tu....
mmmhhh mmmhhh wewe hujanielewa bana, sjamaanisha hivo, nilisema iwapo Tized ataniruhusu kuja kukusalimia, nyie ndugu wawili nyie............!!
mmmhhh mmmhhh wewe hujanielewa bana, sjamaanisha hivo, nilisema iwapo Tized ataniruhusu kuja kukusalimia, nyie ndugu wawili nyie............!!
Ina maana ukimsalimu kwenye simu hakusikii!!! Acha hizo braza.