Strictly for Ladies

Strictly for Ladies

Mimi ntabakia kusema adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie mie kunasehemu nilienda kuomba kibarua mkamkuta mwanamke ndo top alinipa live ungekuwa kijana wa kiume ngekusaidia lakini wakike hapana sifanyi nao kazi niliukia kikweli hapa sina kazi napitia life ngumu nikikumbuka maneno ya yule mdada naregret kuwa mwanamke
 
Changamoto zipo nyingi na daima adui wa mwanamke ni mwanamke sio mwanaume.

Mfano mzuri ni page nyingi za umbea mitandaoni zinamilikiwa na wanawake na zinaongoza kudhalilisha wanawake wenzao bila sababu za msingi.(huku washangiliaji na wakoleza ubuyu wakiwa ni wanawake wenyewe)
Ni kweli mkuu tatizo sisi wanawake wenyewe hatupendani sisi kwa sisi.. WIVU,UNAFIKI,UMBEA. Hiwezi kuta wanaume wanadharirishana kwny mitandao ila sisi wanawake tunaongoza
*TUSIPOJIPENDA
*TUSIPOJIHESHIMU
*TUSIPOSAIDIANA KUJINYANYUA KIUCHUMI
*TUSIPOACHA WIVU UNAFIKI NA UMBEA
Hatuwezi leta mabadiliko yoyote.
 
Duh we kama ni mwanamke basi bonge la mwanamke, hukuangalia tatizo bali umeangalia chanzo ungekua hujaolewa ningekuoa, wanaume tupo wachache ndo maana tunavibur na viburu hivyo vimeletwa na wingi wenu! Ninyi kwa ninyi hamuheshimiani, hampendani ukimuona mwenzio kapata unaanza kusambaza sumu, badilikeni kwanza ninyi ndio mtaweza kuwadhibiti wanaume wenu nakuwabadilisha.
Unatumia kinywaji gani umenena vyema [emoji119]
 
Mimi ntabakia kusema adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie mie kunasehemu nilienda kuomba kibarua mkamkuta mwanamke ndo top alinipa live ungekuwa kijana wa kiume ngekusaidia lakini wakike hapana sifanyi nao kazi niliukia kikweli hapa sina kazi napitia life ngumu nikikumbuka maneno ya yule mdada naregret kuwa mwanamke
Pole dear ni wanawake wachache sana wanaoweza kukushika mkono kukusaidia ili ufanikishe.. Hatupendani kbs mwanamke yuko radhi akuseme vibaya kwa wanaune ili akuchafue hafikilii kuwa akikuchafua ww na ye pia ni aibu kwake.
 
Kila mmoja aishi atakavyoweza. Wote tumevurugwa. DuniA ya Sasa wote tunahitaji kuwa wavumilivu wa kiwango kikubwa ili kujitahid mapungufu ya binadam Mwenzako yasikuathiri. Ukijua Hilo hutapata taabu
 
NwaigKwetuuu chapaost: 19478773 said:
Wadada /wanawake tujishughulisheni kwa kufanya kazi. ...binafsi naamini miaka inayokuja uchumi utashikiliwa na wanawake. Tukaze buti
Yeah ofcoz! Kwetuu chapakazi naumahirii tunatupilia mbaliii hofu haikwamishiii tuendelee nakaziii kwa umakini nainatupa thamanii
 
Hivi hizi mada za humu huwa zinaumiza serious hivi?duh poleni wanawake wenzangu
Na hii jinsia nyingine sometimes wanafanya makusudi tu kwa mada zao kandamizi.. Unakuta mtu ana bifu lake nademu fulani humu basi ndoivo maneno mbofu mboooofuuuu.
 
Nilisoma jinsi Miss Natafuta alivyotongozwa kwa maneno ya kishenzi kabisa kwenye PM.
Ifike mahali, mwanamke aheshimiwe alichofanyiwa Miss Natafuta hakifai na wala hakivumiliki
Halafu mbona sikuhizi miss mida mingine haji.??? Watu wanamwita weeeeeeee haonekani!! !!???? What's wrong with her jamani nani kamkwaza??? Miss yu active sana katika kuchangia na kuchangamsha jukwaa yani! I like her much much much much much much much much much muahhhhh!
 
amekula ban
 
Back
Top Bottom