medenc
Member
- Nov 7, 2015
- 98
- 72
Hao wamezaliwa kuongozwa hiyo ndio nature yao stop...maajabu haya,kumbe nyie ndo mnalipa kodi,mnalipa ada za watoto?duuuuuuuuuuu akili zenu mnazijua wenyewe no offence
Hao wamezaliwa kuongozwa hiyo ndio nature yao stop...maajabu haya,kumbe nyie ndo mnalipa kodi,mnalipa ada za watoto?duuuuuuuuuuu akili zenu mnazijua wenyewe no offence
Mwanamke akiwezeshwa anaweza!
Kujificha huku hakuwez saidia kitu pasi na mwanaume kushiriki ajue nini anawakosea na hampendi!
kama ni ivyo hiki kilio chenu kwamba tunawakandamiza hakitakoma na wanaume tabia yetu na nyuzi zetu humu hazitabadilika!
Jichanganyeni muwaelimishe kwa hoja
ASANTE DADA. HAYA NDIYO TUNAYOYATAFUTA. ....JAMANI WENZANGU MMEPATA KITU HAPA. ...JARIBUNI KUOMBA KAZI KWENYE HIZO SEHEMU TAJWA. Mnaweza websites kama zoom, Un jobs etc. Mnaweza kupata hizi kazi kama zitakuwa releasedNi kweli naunga mkono hoja. Lakini sisi wadada tumezidi njaa jamani. Tumekuwa ombaomba sana kwa wanaume. Ndi dharau zinaanzia hapo. Tuache mikuki. Tusimame kaka sisi. Tuujue ukweli utuume lakin tuufanyie kazi. Kila kitu kuomba hela kwa wanaume. Wao hawana viwanda vya hela. Na walizonazo zina kazi kwao.
Kwa kuazna kule Kasulu na Kibondo kuna mashirika ya kuhudumia wakimbizi wanaajiri sana wanawake. Kwa waliomaliza chuo ni sehemu nzuri ya kuangalia pia. Mishahara yao sio mibaya sana. Inaweza kukufanya usiwe ombaomba kwa wanaume
Point kabisa!Ni kweli naunga mkono hoja. Lakini sisi wadada tumezidi njaa jamani. Tumekuwa ombaomba sana kwa wanaume. Ndi dharau zinaanzia hapo. Tuache mikuki. Tusimame kaka sisi. Tuujue ukweli utuume lakin tuufanyie kazi. Kila kitu kuomba hela kwa wanaume. Wao hawana viwanda vya hela. Na walizonazo zina kazi kwao.
Kwa kuazna kule Kasulu na Kibondo kuna mashirika ya kuhudumia wakimbizi wanaajiri sana wanawake. Kwa waliomaliza chuo ni sehemu nzuri ya kuangalia pia. Mishahara yao sio mibaya sana. Inaweza kukufanya usiwe ombaomba kwa wanaume
Acha umbea weweNilisoma jinsi Miss Natafuta alivyotongozwa kwa maneno ya kishenzi kabisa kwenye PM.
Ifike mahali, mwanamke aheshimiwe alichofanyiwa Miss Natafuta hakifai na wala hakivumiliki
kama hukabiliwi na Tatizo kubwa upstairs utakuwa unakabiliwa na Tatizo kubwa sana kwenye Jamii inayokuzunguka, hasa Tatizo LA Kurogwa au laanaAcha umbea wewe
Ushasema kama !! Rudia tena Kama!!kama hukabiliwi na Tatizo kubwa upstairs utakuwa unakabiliwa na Tatizo kubwa sana kwenye Jamii inayokuzunguka, hasa Tatizo LA Kurogwa au laana
[emoji23][emoji23][emoji23]...Nimekaa kushoto, wife ndio anaendesha leo
Duh we kama ni mwanamke basi bonge la mwanamke, hukuangalia tatizo bali umeangalia chanzo ungekua hujaolewa ningekuoa, wanaume tupo wachache ndo maana tunavibur na viburu hivyo vimeletwa na wingi wenu! Ninyi kwa ninyi hamuheshimiani, hampendani ukimuona mwenzio kapata unaanza kusambaza sumu, badilikeni kwanza ninyi ndio mtaweza kuwadhibiti wanaume wenu nakuwabadilisha.Changamoto zipo nyingi na daima adui wa mwanamke ni mwanamke sio mwanaume.
Mfano mzuri ni page nyingi za umbea mitandaoni zinamilikiwa na wanawake na zinaongoza kudhalilisha wanawake wenzao bila sababu za msingi.(huku washangiliaji na wakoleza ubuyu wakiwa ni wanawake wenyewe)
Duh we kama ni mwanamke basi bonge la mwanamke, hukuangalia tatizo bali umeangalia chanzo ungekua hujaolewa ningekuoa, wanaume tupo wachache ndo maana tunavibur na viburu hivyo vimeletwa na wingi wenu! Ninyi kwa ninyi hamuheshimiani, hampendani ukimuona mwenzio kapata unaanza kusambaza sumu, badilikeni kwanza ninyi ndio mtaweza kuwadhibiti wanaume wenu nakuwabadilisha.
Yaani mie mtu apondee wanawake harafu aje kunikopa fyuuuuuuTena mi huwa nashangaa sana, humu kuna watu ni vinara wa kutupondea wanawake lkn maisha nje ya keyboard wanatia huruma.
Wana maisha ya shida balaa na wengine nawafahamu kbs, akishatoka kupondea humu unashangaa badae anajifanya ana shida eti umkope hela. Badala ya kutumia muda wao kusaka Note wanakaa kupondea wanawake mara sijui single moms na bla bla kibao.
Acha waendelee kuponda ila sie tunawaona wapuuzi tu na hawajitambui.