Mmmmh woote walokuacha ulikua na uwezo wa kuwapiga?Namtafuta nampiga kisawasawa![]()
Uliachwa Lini Na BabuNinachukua lipstick ninaandika kwenye karatasi “he wasn’t good enough for me” ninaibadika kwenye dressing table. Nikimkumbuka tu ninaisoma ile karatasi.
Haitakaa itokeeUliachwa Lini Na Babu
Hahahahah utaimba Nyimbo zoteHow Am I Supposed to Live Without You
Michael Bolton
I could hardly believe it
When I heard the news today
I had to come and get it straight from you
They said you were leavin'
Someone's swept your heart away
From the look upon your face,
I see it's true
So tell me all about it
Tell me about the plans you're makin'
Then tell me one thing more before I go
Tell me how am supposed to live without you
Now that I've been lovin' you so long
How am I supposed to live without you
How am I supposed to carry on
When all that I've been livin 'for is gone
I didn't come here for cryin'
Didn't come here to breakdown
It's just a dream of mine is coming to an end
And how can I blame you
When I build my world around
The hope that one day we'd be so much
More than friends
And I don't wanna know the price I'm
Gonna pay for dreaming
When even now it's more than I can take
Muziki ni tiba yangu niwapo na stress!
Chakusikitisha ni kuwa nyimbo nzuri kama hizi hakuna kwa sasa
BravoMm huwa nikiachwa naenda kununua kamba mpya nakuja nafunga kwenye mti kisha naikaza kabisa alafu naanza kubembea kwa raha zangu
Nachangamsha tuu kijiwe mkuuMmmmh woote walokuacha ulikua na uwezo wa kuwapiga?![]()
![]()
Ni swal la kizushi lakin
Nachangamsha tuu kijiwe mkuu
View attachment 815007
Sawasawa mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
Usijali ndo maan nimesem ni la kizushi,,,,,, apa tupo kurefresh,,,, nothing siriaz hapa
Aya tuendelee kujificha nyuma ya keyboard zetu na tuandike kwa uhuru
Nafuta picha, msgs, zawadi zako ulizonipa nazitia moto huku nahakikisha vimebaki majivu, namba sifuti sikublock utatoka from bae kua unknown so quick, headset masikioni nasikiliza music huku nikikubali kua tumemalizananachukua pipa la maji linaloingia ndoo kubwa za maji 12 naanza kuoga huku naimba mpaka nikimaliza nitakuwa fine
Siku nyingine ukiachwa, njoo kwangu mimi mume wa wajane na walioachwa...Nadhani mko salama kabisa.
Mimi nikiwa na stress za kuachwa au kukataliwa kwanza nafuta namba ha huyo mtu, narestore simu kabisa![]()
Naingia chumbani kwangu, nafanya usafi, nafua, napika nakula chakula kizuri ninachopendelea.
Natoka naenda shopping huko naenda nunua kila ninachohitaji, nitanunua shuka, nguo, kila kitu hadi na ambavyo sivihitaji![]()
Nikirudi nyumbani nafanya usafi tena mara ya pili naoga, nakaa sasa naangalia movie na series.
Hapo sasa nakuwa afadhali stress zimepungua.
Vipi kwako mdau wa JF ni kitu gani unafanya ukiwa na stress za kuachwa/ kukataliwa?

Mimi ni shababi mkuu na ndevu zangu nyingi, labda unipe yule mdogo wako wa kike.Siku nyingine ukiachwa, njoo kwangu mimi mume wa wajane na walioachwa...![]()
![]()
![]()