Stress za kuachwa

Stress za kuachwa

Nadhani mko salama kabisa.

Mimi nikiwa na stress za kuachwa au kukataliwa kwanza nafuta namba ha huyo mtu, narestore simu kabisa

Naingia chumbani kwangu, nafanya usafi, nafua, napika nakula chakula kizuri ninachopendelea.

Natoka naenda shopping huko naenda nunua kila ninachohitaji, nitanunua shuka, nguo, kila kitu hadi na ambavyo sivihitaji

Nikirudi nyumbani nafanya usafi tena mara ya pili naoga, nakaa sasa naangalia movie na series.

Hapo sasa nakuwa afadhali stress zimepungua.

Vipi kwako mdau wa JF ni kitu gani unafanya ukiwa na stress za kuachwa/ kukataliwa?
Mimi huwa naanza ibada ya swala tano. na kusikiliz Sana mawaidha ya mashekh mbalimbali hasa shekh mselemu ali mselemu . na pia nanunua head phone mpya naweka nasikiliza music hapo kazi kubadilisha tu nikitoka dini basi bongoflaver, hasa yenye vionjo vya kiasili kama ya saida karol. Na pia najitahidi kunua nguo mpya ili niwe na muonekano mpya kabisa. Na huwa sisikii njaa, yani naweza nikakaa hadi saa saba sijatia kitu mdomoni
 
Hahaa hapo tu pa kuswitch kutoka dini mpaka bongofleva.
 
namtafuta malaya wangu wa tanga,ananilamba mwili mzima,anamung'unya makende,ananivuruga na uno,akiniachia baada ya siku mbili sikumbuki kitu..uzuri mbondei ye huwa yupo tu..tunagonga za kiveterani
 
Nadhani mko salama kabisa.

Mimi nikiwa na stress za kuachwa au kukataliwa kwanza nafuta namba ha huyo mtu, narestore simu kabisa

Naingia chumbani kwangu, nafanya usafi, nafua, napika nakula chakula kizuri ninachopendelea.

Natoka naenda shopping huko naenda nunua kila ninachohitaji, nitanunua shuka, nguo, kila kitu hadi na ambavyo sivihitaji

Nikirudi nyumbani nafanya usafi tena mara ya pili naoga, nakaa sasa naangalia movie na series.

Hapo sasa nakuwa afadhali stress zimepungua.

Vipi kwako mdau wa JF ni kitu gani unafanya ukiwa na stress za kuachwa/ kukataliwa?
Mkuu nilijua utagusia na punyeto,maana ndio huwa suluhu ya kudumu ya hayo matatizo..
 
Miaka Fulani niliwahi kusikiliza Nyimbo za Judy Boutcher Usiku Mzima hadi Ile kanda ikatafunwa, kuna wimbo unaitwa TAKE YOUR MEMORIES WITH YOU WHEN YOU GO!
Mkuu huu wimbo hata mimi nilikuwa naupenda sana kwenye matukio kama haya!

Miaka ya uzeeni hii nilikuja kuskiliza wimbo wa Chris brown Vs Tiger & Kelvin McCall (Deuces) nikatamani ungekuwepo enzi za ujana wangu!
 
Mie nawapigia simu washikaji wangu nawasimulia nikimaliza tunaenda bar baada ya hapo Kesho na hangaika na hangover we nishakusahau hiyo
 
Back
Top Bottom