Stress za kuachwa

Stress za kuachwa

Kuachwa yenyewe n kama msiba uckie tu Kwa mwenzio kunauma waalah
 
Kampani ya washkaji,ganja,natafuta wa kukaimu nafasi kwa muda.

Hakuna kitu kibaya kama kuwa peke yako kwenye nyakati za huzuni na majonzi.
 
akiniacha eti hataki kavulana nkasema haya angejua sio kwamba ndio alikuwa wangu pekee nip nae tu nasogeza siku..baaad aya mwezi nanusu nikamwambi namkumbukaga bado yuko akilini ,,,akasem aoh kweli mara tulipishana mawazo tu blah blah karudi kajaa...tunagegedana tena weee,...sa hivi mimi nina zaidi ya miezi mitatu sijawahim text wala mpigia..ye alitext alipiga nakuwa busy hata sipikei wala kujibu..text ya mwisho aliuliza alinkosea alinkosea nin nikataka kujibu wala hakukosea nkaamua hapana nkamute tena..mpaka leo nazwaza nini kimefanya animemute...ila nachojuamwanaume haachwi....na hata hivo anaachwa tu kama ameoa na mke kamkimbia...nje ya hapo hapana
 
hahaa eti hataki kavulana, kwani wewe kavulana mkuu?
 
Yaan huwaga hata siwazi....kichwa changu huwa kina mambo mengi sana!
 
Ili usiwe na stress ni lazima ziwe zimekukuta kwanza tena zimekuumiza haswaa ndipo hapo baadae huwezi kuja umia tena
 
Nipo na faili la nyimbo za Extra Musica, lile sebene nikilipiga sebuleni alone for 3 hrs, full kusweat, nikikukumbuka tena basi ujue we ni hela!!!

Hapo nikimaliza naoga, maisha yanaendelea.

Nipo na principle moja "No true love btn man and woman" True love ipo kwa my mom n my siblings!

Mdada ukimpa nafasi kubwa kwa ubongo atakukomesha!

....life is not permanent, we should have enough time to enjoy sio kujichosha na mistress!!!
 
Back
Top Bottom