Stress kali special thread

Stress kali special thread

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
3,185
Reaction score
12,332
Wasalaam wana jamvi.

Nimeona nianzishe uzi huu kwa ajili ya wote tunaopitia STRESS KALI aidha kwenye mahusiano, familia, biashara, afya, na kadhalika

Watu wengi wakiwa na stress huenda bar na kutafuta barmaid wanaanza kulewa na zikipanda wanaanza kuropoka stress zao ambazo pengine ilibidi ziwe siri.

Ila humu wengi tupo anonymous na pia kuna great thinker,

Hivyo wewe shuka stress yako hapa utapata wa kukusabahi au kukushauri, usiugulie peke yako.
 
FB_IMG_17464235527007462.jpg


Kasaula anasema mtoke ndani mjichanganye na watu kuepusha stress
 
Ngoja nianze mimi.

Kwenye moja ya biashara zangu nilikua na partner, sasa huyo jamaa ndie alikua anahusika na mambo yote ya kifedha. Biashara yenyewe inahusisha importation ya materials fln fln

Last month tukapata notice ya TRA kuna kodi ladhaa wanadai, hapohapo kuna mzigo ulikua umekwamia bandarini na wenyewe una kodi zake hapo. Sijatulia vzr huyo jamaa akasema kapata mdau anaweza kutusaidia tukalipa kiasi XXX tu (ambacho ni kidogo ukilinganisha na wanachokidai) pamoja na posho ya huyo mdau.

Basi nikasaini navyy akasaini kuruhusu hela zitoke. Hela zilipotoka huyo mdau kapotea, na baada ya kumbana jamaa yangu na yeye akapotea.

Yaan hapa kuna mzigo umezuiliwa, TRA wamenikaba shingo, na bank kuna senti tu.

Halafu leo napita kinondoni pale mpuuzi mmoja anamwagia gari yangu maji kwenye kioo cha mbele, aisee ningeua mtu leo hii
 
Stress kila mtu anazo, haziepukiki . Stress zinatabia ya kuchampa mtu mpaka anaongea mwenyewe kama zuzu

Nipige chupa zangu mbili au tatu kwanza, Nipate nguvu ya kumwajika
 
Stress kila mtu anazo, haziepukiki . Stress zinatabia ya kuchampa mtu mpaka anaongea mwenyewe kama zuzu

Nipige chupa zangu mbili au tatu kwanza, Nipate nguvu ya kumwajika
Kuna watu hawajui maana ya stress.
 
Back
Top Bottom