Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 27,768
- 72,353
Hawajifunzi, yupo mmoja mwaka jana alinicheki akanijulisha anaolewa, nikamwambia poa kila la heri, sikuwa na namba zake akaniuliza ina maana namba zangu ulizifuta zanini, nikamwambia kwa afya ya maisha yako ya mahusiano na ndoa sio vyema kuwa na mawasiliano na mimi. Akaendelea kuongea nikamuuliza jamaa yako anajua una mawasiliano na mimi? Akaomba akate simu hana majibu.🤒🤒, Hayo hutokea sana kwenye jamii, hasa Akikutana na X mrugaruga, umuhimu wa ndoa huonekana baada ya kuvurunda ndoa. [ ningejua, ningejua, ningejua hutawala idara Zima ya ubongo ]
Nikajiuliza huyu mtu anajielewa kweli kwa hatua aliyofikia?