Strabag phase III: Kiama cha parking Kariakoo chaja

Zitafanyika modifications za kufa mtu kama ilivyotokea Morogoro Rd kuanzia bibi titi

I wish wakianza kilwa road tuone zile sehem ambazo kuna madaraja ya kupita treni (juu au chini) watatumia ufundi gani ingawa naamini hamna kinachoshindikana. Just curiosity
 
Ile ni rahisi sana wala haina shida utaona watakavyocheza na technology
 
Vizuri watengeneze mji

1427874159602.jpg
 
hii sasa balaa, nimeona tangazo njia imefungwa...
 
Kwa muda au ndo forever?maana nahis barabara haitakuwa pana kama morogoro road,itakua nyembamba kama ile ya Kisutu

Mmh kwasasa ni ngumu kujua ila inayoelekea itafanyika modification ziwepo barabara tatu na viambaza vya magorofa kibao vitafagiwa kwa jinsi hii inaweza kutosha
 
Sasa hapo kwenye kuvunja viambaza si ndio mwanzo wa kuangukiwa na maghorofa mkuu!??
 
Ni hivi vilivyoongezwa kienyeji mbele ya majengo Mentor sio vile vilivyoko kwenye ramani halisi
 
Last edited by a moderator:
Vizuri watengeneze mji

Wandugu, mimi kuna mambo mawili yananitatiza kuhusu huu mradi:

1) Kwenye vile vituo vyao vya kupanda/kushusha abiria, ile floor yake iko juu sana, sasa ni basi gani hilo ambalo likisimama kwenye kituo mlango wake wa kuingilia huko juu kiasi kile? Kwa maneno mengine kuna big height mismatch between bus door na floor ya vituo ambapo abiria watakuwa wamesimama. Hapo sasa itakuwaje?

2) Kwa utaratibu wa traffick flow yetu TZ, magari yanaendeshwa kushoto kwa barabara, na hivyo milango ya mabasi yote iko kushoto kwa basi. Sasa kwa kuwa BRT stations ziko kati maana yake ni kuwa kama basi linapita lane ya kushoto milango ya mabasi hayo lazima iwe KULIA ili abiria anashuka moja kwa moja anaingia kituoni!! Sasa hayo mabasi yenye milango KULIA yako wapi? au kwenye BRT mabasi yakuwa yaendeshewa upande wa kulia?

Naomba ufafanuzi..
 
Huree na foleni ziongezeke tupate kuuza Maji vizuri
 
Ni simple tu, mabasi yatakayotumika yatakuwa na milango ya abiria upande wa kulia. If you're in business don't be caught offguard, just be ready
 
Back
Top Bottom