Katika miradi ambayo pesa inapigwa kiulaini mshana jr ni huu wa dart.. Yaan kama wakiamua kufanya auditing nadhani hesabu yake inakimbilia kwenye escrow kule.. Ila kama wameloga vile.. wala hakuna anaewataja au kuwanyoshea vidole lol
Nafasi iliopo inatosha kujenga bila kuvunja ghorofa la mtu! Seriously unataka ghorofa la mtu livunjwe ujengewe parking?! Lingekuwa ghorofa lako ungeshauri hivyo hivyo?!
Tuliambiwa wangeanza majaribio mwezi july mwaka jana...hadi leo kimyaaaaa...kwani unaanza lini?
Namaamisha ile barabara yatakuwa yanapita hayo mabasi pekee, walo design hiyo barabara ilipaswa pembeni gari ndogo zin apita kama ilivyo morogoro road na hayo mabasi yapite katika njia yake vinginevyo kutakuwepo na usumbufu mkubwa sana,
Na iliokuwa stand ya mabasi mikoani
Ha ha ha ha! Sio mbaya wajukuu zako wataifaidi! Unajua London underground system Ina miaka zaidi ya 150?! Waliojenga sijui wako wapi sasa hivi!
Hii miradi ya bongo ni ya kulipua tu, miaka kumi ni mingi sana. Huoni baadhi ya maeneo ya Route ya Kimara-Ferry yameshaanza kuharibika hata kabla ya kuanza kutumika?
Uharibifu mnaufanya wananchi. Service road za watembea kwa miguu mnafanya parking,mnauza mihogo,mahindi. Mnatupa takataka kwenye mitaro unategemea Strabag wafanye nini?!
Atakuwa shabiki wa Yanga huyo
Mpaka imebidi barabara iwekewe vigingi ambavyo hata hivyo vingi vimeshagongwa
Pale manzese ukiwa unaelekea ubungo kuna foleni kubwa sana inasababishwa na daladala kusimama njiani kwasababu chinga wameweka bidhaa zao kuanzia service road mpaka chini barabarani ambapo daladala zilitakiwa zisimame na kuacha Barbara free!
Mpaka wakimaliza zote tutakuwa vikongwe
Inasemekana barabara zimekwisha gaiwa baadhi ya watu akiwemo Bakhresa na Simon group