Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,704
- 830,704
- Thread starter
- #61
Mkoroshokigoli naomba mwaliko wa kukutembeleaYangu ipo Kwembe unapita kwa Mama Tibaijuker
Last edited by a moderator:
Mkoroshokigoli naomba mwaliko wa kukutembeleaYangu ipo Kwembe unapita kwa Mama Tibaijuker
Picha!
paking zinazopakiwa saivi na baadae itavokua tutadhimini nini hasara yake na faida yake kabla ya ujenzi.
Tummeeona makosa mengi tujifunze kwa yaliyopita hata hao watakaotengenza wanaweza kupitia hapa hata kwa bahati mbaya kupats michango yetu.
Hasara kubwa zaidi itakuwa kwa manispaa ya Ilala kukosa chanzo muhimu cha mapato yatokanayo na maegesho
Katika hali ya kawaida hii barabara itakua kwa ajili ya mabasi tu maana itakua nyembamba kuanzia fire hadi kamata. Sasa magari ya kawaida itakuaje?
Mdau mshana jr nikumbushe baada ya Pasaka kakaMkoroshokigoli naomba mwaliko wa kukutembelea
Nachojiulza hiyo foleni ya msimbazi wakat wa ujenzi itakuwaje?na pia hizi daladala za kawaida zitapita wapi?pale kisutu naona chemba zinatema maji ambayo yanapenya kwenye barabara za mradi je kariakoo na chemba zake zile itakuaje?Zitafanyika modifications za kufa mtu kama ilivyotokea Morogoro Rd kuanzia bibi titi
Nachojiulza hiyo foleni ya msimbazi wakat wa ujenzi itakuwaje?na pia hizi daladala za kawaida zitapita wapi?pale kisutu naona chemba zinatema maji ambayo yanapenya kwenye barabara za mradi je kariakoo na chemba zake zile itakuaje?
ina maana nyie ndo mnayempitisha mgombeaSuburi kwanza tupitishe jina la mgombea ndo mradi utafanya majaribio, tukishampigia kura ndo mradi unazinduliwa sasa
Hivyo basi mgombea wenu ni yule mtakaye mpitisha...Mgombea wetu ni nani?
ina maana nyie ndo mnayempitisha mgombea
Hivyo basi mgombea wenu ni yule mtakaye mpitisha...
Naona bado ni mradi tata kwasababu wanaotaka mfano mbezi au kibaha wakifika Kimara magari yao wanapaki wapi? pia wanaokuja na daladala watatumia stendi gani kimara? au wanaotoka mjini wakifika kimara wanandia wapi magari ya kwenda mbezi au mlandizi? Ni hayo tuu
Kila siku tunaelimishana kuhusu hili na tusichoke. Sehemu ambazo mradi haufiki kutakuwa na smaller buses zinafika huko. Kuhusu parking huoni ni fursa hio imejitokeza?! Pale mradi unapoanzia nunua kiwanja weka uzio,kibanda cha mlinzi gari moja 2000 au 3000 kwa siku! Ukilaza gari 100 minimum una 200,000 au 300,000 per day!