Strabag phase III: Kiama cha parking Kariakoo chaja

Strabag phase III: Kiama cha parking Kariakoo chaja

Ila tache utani hii project ni nzuri

Ni kweli kabisa lakini ina makosa mengi ya kiufundi na gharama kubwa bila sababu kwa mfano hakuna japo vituo vichache vya dharura wakati wa breakdown morogoro Rd zaidi ya Manzese na Jangwani, hili kosa limerekebishwa kwa kipande cha Magomeni -Morocco

Vituo vikubwa na vya gharama kubwa bila sababu zile foundation za vile vituo nilidhani yanajengwa magorofa manake kwa jinsi zilivyo imara unaweza kujenga hata gorofa tatu+
 
Shida hakuna ustaarabu kwenye public transport. Wengine wanaona bora wakomae na gari zao tu.

Tatizo kuu kwenye public transport ni ustaarabu,mtu anaweza kukukanyaga au kukuangukia afu anachukulia poa na wewe unakuwa huna namna. Kutoka mbezi au mbagala au tegeta mpaka ushuke posta umechoka na upo ovyo balaa,leave alone sweating afu ndo unaenda kwenye warsha afu wewe ndo mtoa mada,pata picha hapo
 
wahandisi wa manispaa ya ilala wakamatwe kwa sababu ujenzi wa maghorofa mengi kariakoo umekiuka mipango miji wakati wao wapo na wanapewa mishahara. haiwezekani jengo la ghorofa 10 likawa linategema maegesho ya barabarani. au frame za chini zibadilishwe ziwe parking
 
Tuliambiwa wangeanza majaribio mwezi july mwaka jana...hadi leo kimyaaaaa...kwani unaanza lini?

Suburi kwanza tupitishe jina la mgombea ndo mradi utafanya majaribio, tukishampigia kura ndo mradi unazinduliwa sasa
 
Tatizo kuu kwenye public transport ni ustaarabu,mtu anaweza kukukanyaga au kukuangukia afu anachukulia poa na wewe unakuwa huna namna. Kutoka mbezi au mbagala au tegeta mpaka ushuke posta umechoka na upo ovyo balaa,leave alone sweating afu ndo unaenda kwenye warsha afu wewe ndo mtoa mada,pata picha hapo

Au kugombea kupanda na usafiri wenyewe wa kusumbua hivyo.? Naona bora nikae kwenye gari yangu. Hata wakiyatoza fine sawa tu
 
sasa mshana jr huoni upo against na january makamba kwa kupost hii kitu na kuwafichua mafisadi
 
Suburi kwanza tupitishe jina la mgombea ndo mradi utafanya majaribio, tukishampigia kura ndo mradi unazinduliwa sasa

kwa hiyo mkuu tusipomchagua mgombea wenu mnang'oa na barabara kabisa!!:lol:
 
Back
Top Bottom