Sioni umuhimu wa uwanja kwa yanga

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
5,303
9,486
Wakuu haya ni maoni yangu kiafrika sioni umuhimu wa Yanga kuwa na uwanja wake wakati Kuna viwanja vitatu kwa dar anavyoweza Kutumia bila shida badala yake nadhani hiyo pesa ingejenga sport center nzuri itakayokuwa na hostel nzuri za pre season hospital ndogo ya kuhudumia wachezaji na wafanyakazi wake viwanja vizuri mfano wa ule wa kidongo chakundu kwa ajili ya mazoezi na gym ya kisasa
Kama pesa itabaki basi waboreshe mishahara ya wachezaji ili kufikia lengo la kuwa club kubwa afrika

Tuendelee Kutumia uwanja wa Benjamin na Chamazi ikumbukwe pia Serikali inaelekea kujenga uwanja Arusha na Dodoma ambapo pia tunaweza kuvitumia pale kunapokuwa na dharula
Hakuna haja ya uwanja kwa sasa
 
mnavyo jadili utafikiri kuna mipango ya kweli ya kujenga uwanja kumbe wenzio ni siasa za Kariakoo hizo....
 
Wakuu haya ni maoni yangu kiafrika sioni umuhimu wa Yanga kuwa na uwanja wake wakati Kuna viwanja vitatu kwa dar anavyoweza Kutumia bila shida badala yake nadhani hiyo pesa ingejenga sport center nzuri itakayokuwa na hostel nzuri za pre season hospital ndogo ya kuhudumia wachezaji na wafanyakazi wake viwanja vizuri mfano wa ule wa kidongo chakundu kwa ajili ya mazoezi na gym ya kisasa
Kama pesa itabaki basi waboreshe mishahara ya wachezaji ili kufikia lengo la kuwa club kubwa afrika

Tuendelee Kutumia uwanja wa Benjamin na Chamazi ikumbukwe pia Serikali inaelekea kujenga uwanja Arusha na Dodoma ambapo pia tunaweza kuvitumia pale kunapokuwa na dharula
Hakuna haja ya uwanja kwa sasa
basi wewe hujui mpira
 
nchi pekee ambayo klabu mbili ndio zina cheza mpira zengine hakuna.
ukitaka kukuza mpira kila angalau kila klabu ziwe na viwanja kama azam angalau
Uwanja sio muhimu kama sports center (kituo Cha kukuza na kuendeleza vipaji kama ilivyo Asec na Al Ahly)hao wote mechi wanachezea kwenye viwanja vya serikali na kwa afrika hadi Mamelody wanatumia uwanja wa serikali Wydad n.k
Tunahitaji sport center ya kisasa yenye hostel viwanja vya kawaida hata viwili au vitatu na gym
 
Wakuu haya ni maoni yangu kiafrika sioni umuhimu wa Yanga kuwa na uwanja wake wakati Kuna viwanja vitatu kwa dar anavyoweza Kutumia bila shida badala yake nadhani hiyo pesa ingejenga sport center nzuri itakayokuwa na hostel nzuri za pre season hospital ndogo ya kuhudumia wachezaji na wafanyakazi wake viwanja vizuri mfano wa ule wa kidongo chakundu kwa ajili ya mazoezi na gym ya kisasa
Kama pesa itabaki basi waboreshe mishahara ya wachezaji ili kufikia lengo la kuwa club kubwa afrika

Tuendelee Kutumia uwanja wa Benjamin na Chamazi ikumbukwe pia Serikali inaelekea kujenga uwanja Arusha na Dodoma ambapo pia tunaweza kuvitumia pale kunapokuwa na dharula
Hakuna haja ya uwanja kwa sasa

Hivi huo uwanja utajengwa kweli au ni mbange tu?

Hata hibyo kama wapo serious kweli, wakijenga uwanja watafaidika zaidi kuliko kuendelea kukodi viwanja kama ilivyo kwa sasa...

Wakiwa na uwanja mzuri, ndani yake unaweza ukawa na sports centre, na kwa lile jengo lao la Jangwani wanaweza wakalitumia kama hostels za wachezaji...
 
Ac milan
Inter Milan
Ahly
Zamalek
Roma
Hawana viwanja
Sisi tunachukulia team kumiliki uwanja ndo maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua huwa tunawaza Nini!?
Viwanja ndio hivi serikali inataka kujenga kwa ajili ya Afcon hapohapo yanga nae ajenge hayo ni matumizi mabaya ya fedha
Chezea vya serikali kama alivyo kaizer na Orlando Kisha pesa elekeza kwenye vitega uchumi vingine eg sport center kuokoa gharama za pre season
 
Back
Top Bottom