Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

Status
Not open for further replies.
Nikionaga last post by Mdharuba nachanganyikiwa, najua kitu tayari... Nishakuwa mtumwa wa hizi hadithi zako
 
Nikionaga last post by Mdharuba nachanganyikiwa, najua kitu tayari... Nishakuwa mtumwa wa hizi hadithi zako

Yaan hata mimi najikuta kuna mda nazisomaga tuu..japo ndo ninayetunga.. Hahhaaaaa.. Anywayz, thnks kwa kunikubali
 
STORY: Nakupenda Jk
MTUNZI: Mdharuba Jk

EPISODE YA 12
★★★★★★★★★★★
"Be serious Jk, haya ni maisha.., ni kweli unanitaka mi nitoe mimba?!" Aliuliza Jessie baada ya kuchoka kulia... Fred alishakuja kugonga na kuuliza kama kuna tatizo!! Mara nyingi hoteli kama hzi huwa hawapendi makelele kwani kunakua na watu tofauti na wengne wanakua ni wagonjwa wanaohitaji kupumzika. Nilimtoa wasiwasi Fred na kumsihi Jesca anyamaze.. na alitii.
"Baby, najua unanipenda saana..nami nakupenda pia, lakini ni Lazima utoe hii mimba kwa sababu kuu mbili,!! Hizi zko nje ya uwezo wangu!! Nilimwambia Jesca nikiwa nimeamua kumueleza undani wa moyo wngu sasa.. Yeye alikua makini kunisikiliza..na kama haitoshi, aliamua kuniuliza: "Ni sababu zipi hzo Jk?"
Nilimuangalia na nikamuonea huruma saana.. alitaman azae na mimi, lakini hilo jambo kwangu ni IMPOSSIBLE..!!
"Kwanza unajua kuwa mimi ni muislamu?" Nilianza maelezo yangu kwa swali, ambalo Jesca aliitikia kwa kichwa kama ishara ya kukubali "ndio".
"Sasa sababu ya kwanza ni kuwa nikizaa na ww mtoto nje ya ndoa, hatokuwa na haki yoyote juu yangu, hii ni kwa mujibu wa sheria ya kiislam, yaaani hyu mtoto atakua hatambuliki kisheria., kwahyo hawezi hata kunirithi nikifa..hyo inamaanisha kuwa atatengwa kwenye mirathi yangu"
Baada ya maelezo haya, Jesca alionekana kutaka kuongea kitu..lakini nilimkatza kwa ishara ili nimalizie..
"Pili, ni kuwa mimi ndo kwanzaa nimemalza mitihani, bado cjapata majibu yangu, endapo majibu yakitoka sijafanya vizuri na nikagundulika kuwa nilimpa mtu mimba, hyo itawapa picha gani wazazi wangu ambao wananiamin na wamelipa ada zao miaka miwili yote,? Kiukweli cwez kuwaweka katika mazingira magumu..nitapoteza uaminifu wangu kwao..ktu ambacho sitaki kitokee"
Jesca alibaki akinitazama asijue aongee nini!! Nikapata mda mzuri wa kukazia msumari!! Huwa napenda sana kufikia hatua hii pindi ninapompa mtu maelezo, akae kimyaa..nitawale maongezi kisha nishinde..
"By da way Jessie..mm na ww hatukuwahi kuwa wapenzi, na hatukuwa na mpango wa kuzaa..hii imetokea tu bahati mbaya..usiikazie..!!"
"Daah unanipa wakat mgumu sana Jk.. cjui hata nisemeje.!! NAKUPENDA JK, sipendi upate matatzo kwa ajil yng..lakini daaah..hili ni zito sanaa"
"Hapana J, inabdi ujitahidi kunielewa mpenzi..nionee huruma, haya mambo yapo tu, tukishajipanga vizur hya watoto watatu ukitaka mi ntazaa na ww wala hakuna shida, ila kwa sasa naomba tu tuitoe hii mimba" Niliendlea kumshawishi Jesca na kumfnya anielewe vzri sasa.
"Sawa Jk, mi nitaitoa..ila daaah ckutegemea kama safari ya hyu mtoto inaishia hivi"
"Ucjaly baby..next tyme tutajipanga vzr ili tuweze kuzaa mtoto wetu mzuuuriiiii kabsaa..tena afanane na mama yake copyright..kasoro macho tuu ndo achkue yang" Ni vijimaneno vilivyonitoka huku nikishka mashavu ya Jesca..hii yote ilikua ni kwa ajili tu ya kumfariji na afanye lile jambo bila kujutia..
———————————
Tuliongea mengi saana na Jesca usiku ule..baadae nkapiga viwili heavy katika shimo lile ambalo joto lake lilikua tofaut na nlivyopiga cku ile..ila nadhan ni kutokana na hali yake ya ujauzito. Baadae tukapitiwa na usingizi.
★★★★★★★★★★★
Ahmed Abdulrasul, alifika nyumbani kwa bwana Ahmed Khamisi mapema saana mishale ya saa 1:20 asubuhi..hii haikuwa kawaida yake!!
"Assalaam alykum.." Alisalimia bwana Hisham Mikidad baada ya kufungua geti na kumuona ni baba wa Nuro.. Mzee Ahmed Abdulrasul wala hakuitikia salam hii..aliona kama Hisham anampgia makelele tu, aliingiza gar lake katika parking ya nyumba ile na kushuka moja kwa moja hadi ndani kabisa sebuleni.
"Nuroooo..Nuroooo... " aliita kwa saut ya juu sana..ambayo ilimshtua kila mtu mle ndani.. Ahmed Khamis ndo alikua wa kwanza kufika pale sebuleni.. kisha baada ya sekunde chache Nuro alifuata..
"Assalaam alykum Mzee, mbona asubuhi sana, kwemaa??" Alijarb kusalimia bwana Ahmed Khamis a.k.a 'Babou' kama alivyopenda kujiita..
Ahmed Abdulrasul hakujibu swali hili bali alimgeukia mwanawe na kumwambia "Naomba kuona hiyo video uliyorekodi"
Kwa haraka sana, Nuro alimpatia simu aliyokuwa ameishikilia mkononi mwake baada ya kufungua ile video.. na kimya cha dakika tano kikatawala.
"Shika, shika hii angalia upuuzi wako ulioufnya.." alisema bwana Ahmed Abdulrasul baada ya kuangalia nusu ya ile video. Mpaka sasa Babou hakujua nini kinaendlea..
Alikamata simu ile aina ya Nokia Lumia na kutazama ile video kwa sekunde chache, "Aaaaaghh.." alisikika akisema Babou na kuipiga simu katika sakafu ya marumaru pale sebuleni na ikavunjika vipande vipande..
Alifanikiwa kupoteza ushahidi, kwani Nuro hakuona haja ya kuweka External SD card katika simu ile ambayo Internal Memory yake ilikua 32GB.
Wakati huu Sophy alishatoka chumbani na alishapata kujua nini kinaendlea pale sebuleni.
"Chukua kila kitu chako mwanangu, tunaondoka wote kwenda Tanga kwa bibi yako leo". Alisema bwana Ahmed Abdulrasul na kumuangalia Babou kisha akamwambia kwa upole.."Naomba utumie muda huu ambao mwanangu anajiandaa kuandika talaka plzz.."
Babou, pamoja na ubabe aliokuwa nao lakini hakuwahi kupinga jambo kwa Mzee Ahmed Abdulrasul, sababu yy ndo mtu aliyemuingiza kwenye biashara ile ya madini; aliandika talaka akiwa na mawazo huenda labda Mzee Ahmed ataamua kutoshiriki naye tena katika biashara.. "Ila Mungu Mkubwa" alijisemea moyoni akimkabidhi Mzee Ahmed karatasi ambayo ilisomeka..
"Mimi Ahmed Khamisi nimemwacha mke wangu Nuro Ahmed leo tar………… sikulazimishwa na mtu……………………………"
Kisha Mzee Ahmed alisaini pale kama shahidi.


Sophy aliingia chumbani kwa mama yake na kumkuta yuko bize anapack vtu ktka begi lake kubwa ili aondoke.
"Mwanangu jiandae twende Tanga na babu yako, hyu hafai hata kidogo" Nuro alimwambia mwanawe huku alifuta vumbi viatu vyake ambavyo vilionekana kutovaliwa muda mrefu sana..
"Ila mama, kwanini umeamua kunidhalilisha kiasi kile?" Alihoji Sophy na kumfanya Nuro ashtuke na aache anachokifanya.
"Kwanini unauliza hvyo my luv?" Alihoji Nuro macho kodo kwa Sophy
"Sawa umenirekodi nikiwa uchi kabisaa..lakini hiyo umeona haitoshi ukaamua uanze kunitangaza mpaka kwa babu, unafikri pale alipo babu ananionaje? Ananifkriaje mimi??"
"Licha ya hivyo..wewe unahisi ni busara kweli kunionesha mimi nikiwa uchi kabsa mbele ya mtu mzima kama yule? Hivi mama ulifkria kweli kabla ya kufanya vile? Unahisi kama ungetufumania tu isingetosha? Mpaka urekodi? Au ni hyo simu ndo inakupa kichaa?" Sophy alihoji maswali mfululizo wakat huu alishaanza kulia..
"Siamini kama ww unaweza kunidhalilisha kiasi hiki, nyie nendeni mimi ntajua wapi pa kwenda.." alimalizia Sophy na kuchkua begi lake na kutoka nje.. wakat anapita sebuleni, Mzee Ahmed akatoa maelezo bila ya kuulizwa "Buti iko wazi, weka tu huko nyuma hilo begi mamy" Sophy hakujibu kitu akafungua mlango na kuelekea moja kwa moja getini..
"Vipi ww mbona unatoka na begi wakt mnatakiwa kupack vtu katika gari ile ili muende Tanga?" Alihoji bwana Hisham pale getini.
"Wewe upo hapa kwa ajili ya kumlinda Nuro au mimi? Unanijua mimi wewe? Au kiherehere tu?" Alifoka Sophy huku akimkazia macho Hisham..
"Basi yeshe dada..safari njema banaa..ila pole kwa kazi ya jana" Alitania Hisham..
"Mxiuuuuu" alisonya Sophy kisha akatokomea.
★★★★★★★★★★★★★
Usikose Episode ya 13

Kwa maswali, maoni..
+255 718 274 130
 
Inauma sanaa huyo Nuro hakuwa na nia nzuri na mwanaye hata kidgo!!
 
Daaah apo kimenuka vbaya ngoja mi nimuwah sophy kabla hajafka stend
 
Huyo sophy mwenyewe hana heshima kwa mama yake mpaka anamvulia chupi baba yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom