Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

Status
Not open for further replies.
Mmh! Yamekuwa hayo tena!
Tusiosikiliza clouds FM itakuwaje wewe JK?

Hii story nimemuachia diva aendelee nayo kwenye kipindi chake.. Kwahiyo sitoendelea kuileta hapa..!!
Tune clouds fm kila siku J3 hadi Alhamisi saa 4 mpka 6 usiku..

Pia waweza kutembelea page zetu:
nirasaire.blogspot.com
mdharubajk.blogspot.com
Kuna story nyiingi zaidi..
HISTORIA BATILI Episode 18 Leo ntaiweka..
Natanguliza shukrani..
 
STORY: "SIKUTEGEMEA"
MTUNZI: Jumaa Khatib-Jk

Part 01
★★★★★★★★★★★
"Ndo huyu huyu.. mi naona dawa yake ni kumpoteza kabisa duniani.." Alisema yule bwana aliyekuwa amevaa koti jeusi na suruali yake ya kijani kibichi, alionekana kabisa kuwa alipania mimi nife kikatili..
Yule mganga akaangalia vizuri kwenye lile dishi la maji na kumgeukia tena yule bwana, "Bwana Kassim hapa umefika, na huyu Mdharuba mimi ntafanya kama unavyotaka mwenyewe,, labda nikuulize tu kwa mara ya tatu na ya mwisho, "Kipi unakipendelea zaidi tumtie ukichaa au tumuue kabisa?" Aliweka nukta hapo kwenye swali kisha akaendlea, "Hiki ni kitendo cha dakika moja tu, ukitoa jibu lako mimi namaliza na huko aliko anakua kama ulivyotaka". Baada ya Maelezo haya ya Mganga yule Maarufu kama "Dr Mwinyi" sikuona sababu ya kusubiri jibu la Kassimu wala kuendelea kuwabakiza wawili hao duniani tena, nkaikoki vizuri bastola yangu kisha nikafyatua risasi mbili za haraka nkianzia kwenye kichwa cha Dr Mwinyi kisha nikamaliza na Kassim. Kisha nikarudisha bastola kiunoni na kuondoka haraka eneo lile..
"Kama mbwai mbwai tu, mmenifanyia mengi mabaya na mkanifanya nikateseka sana, kwa hakika hili liliwastahili" Nilijisemea moyoni nikiwasha gari na kugeuka kwa kasi saaana nikielekea nyumbani kwa babu yangu, Bagamoyo kumueleza yaliyojiri..
★★★★★★★★★★★★




Coming SOON...👆👆👆👆👆👆
 
Nahitaj msaada nikitaka kuandika ujumbe mref nashndwa au ndo kisimu changu 2 natakiwa kuandika maneno 120 tu.
 
Hii story nimemuachia diva aendelee nayo kwenye kipindi chake.. Kwahiyo sitoendelea kuileta hapa..!!
Tune clouds fm kila siku J3 hadi Alhamisi saa 4 mpka 6 usiku..

Pia waweza kutembelea page zetu:
nirasaire.blogspot.com
mdharubajk.blogspot.com
Kuna story nyiingi zaidi..
HISTORIA BATILI Episode 18 Leo ntaiweka..
Natanguliza shukrani..

nilijua 2.
 
STORY: Nakupenda Jk
MTUNZI: Mdharuba Jk
E-mail: mdharuba@gmail.com

EPISODE 11
★★★★★★★★★★★
Ahmed Khamis, alifanikiwa kumpakua Sophy vizuri sana tu, tena kavukavu!! Akamaliza mchezo akavaa nguo zake na kuzima taa ile ya chumbani yenye mwanga hafifu na kurudi chumbani kwake. Alimkuta Nuro akiwa amelala usingizi mzito, na yeye akajibwaga kitandani na wala haikuchukua muda mrefu kutokana na kuchoka kwake usingizi ukampitiaa..
Nuro, baada ya kuhakikisha Ahmed amelala, aliiangalia video aliyoirekodi na kujiridhsha kuwa iko poa..
"Kimbembe ni hapo kesho, ngoja kuche kwanza"
———————————

"Kwahyo unataka kunambia kuwa una mimba??!" Nilimuuliza Jesca nikimuangalia usoni, mpaka dakika hii sikua naamin kilichopo.mbele yangu. Nilihisi kama niko usingizini..tena usingizi wa kilevi!!
Nilikua nawaza mambo mengi sana wakat huu..nauliza hli swali lakn najua kabisa jibu lake ni NDIO.. Kipindi hiki ambcho nakbiliwa na mitihan yang ya mwsho ya kidato cha sita..na matatzo ndo kama haya...
"Cjapima, lakin nina uhakika kuwa nina mimba yko Jk" Aliniambia Jesca ambaye alionekana co mtu mwenye waswas saana.. nikamgundua na kuamua kumuuliza swali la kumtega..
"Ww unalichukuliaje jambo hilo la kuwa na ujauzito wng?"
"Of course cjutii sana.. sababu haya ni matunda ya kile tulichokifanya siku ile, hata hvyo NAKUPENDA JK, siwez kujutia kuwa na mimba yako hata cku moja.." Haya ni maneno yaliyotoka katka kinywa safi cha Jessie, na kunifanya nijifunze ktu kipya..
"Sasa nisikilize kwa makini, kwa sasa.. mimi siwez kukwambia chochote sababu niko bize na mitihani..sielewi yani hapa..ninachokuomba ni kuwa naomba uniache kiasi cha mwezi huu mmoja nifanye pepa kisha tutakuja kuongea vizuri" Nilijarb kumsihi Jesca aniache kwa kipind hki.
"Sawa, but baada ya huo mwez mmoja ujue kuwa hii mimba itakua inakarbia miez miwili" alijarb kunkumbsha Jessie ambaye alionekana anapenda kuzaa na mimi..
"Sawa hakuna shida..tutajua cha kufanya mpenz wala ucjali baby wng" nilijibu kwa kumliwaza Jesca, nilifanya hivi ili aondoke akiwa na amani na vilevile asinisumbue maana nlikua katka wakat mgumu.. ila bdo kichwa changu kilikua kinaelewa kuwa mpka nitakapomaliza mitihan yangu mwez mmoja mbeleni bado mimba itakua changa na inaweza kutoka bila matatzo..kwa bahat mbaya Jesca hakuweza kuona ndani ya kichwa changu kuna nn.. akaridhka na majibu yale mepesi..
"Enhee..nambie..kwanin hupatikani??" Aliulza Jessie baada ya kuona lile la mimba tumelimaliza..
"Simu yangu ilidondoka chooni" Nilijib kwa mkato na wala cjui hili jibu lilikujaje wakt ule maana ckuliandaa hata cku moja jibu la swali hili..
"Sawa Jk, mi nakuacha ufanye mitihani..ila ukimaliza uje home kwanza tulidiscuss hili jambo"
"Sawa Jessie nimekuelewa mke wng" Nilizid kumfariji Jesca ili tu aniache nikiwa na amani. Sikutaka kuonesha tabia yangu halisi wakat ule, nilitaka niwe huru..Lakini kichwa changu hakijawahi kukubaliana kabisa tena hata siku moja kuhusu jambo la kuzaa nje ya ndoa. Mimba kama hizi ilikua ni lazima zitoke, awe ANATAKA AU HATAKI!! Hilo halikua na mjadala.
Tukaagana na Jesca akiwa mwenye furaha sana lakini hakujua kuwa MOYO WA MTU MSITU..
★★★★★★★★★★
Baada ya wiki 4 nilimaliza mitihani yangu ya kidato cha sita na nikawa huru kurudi mtaani.
Sikuweza kuchukua hata Leaving Certificate wakat huo maana sikuwa nimelipa ada ya mwaka mzima-Nilikula!!. Kwakuwa kuna watu bdo walikua wanaendlea na mitihani(wenye mitihani mingi km PCB) niliamua kwenda Moshi kwanza kuonana na Jesca kisha nirudi shule nikusanye kila kilicho changu kisha nirudi nyumbani Tanga!!.
Wakati niko kwenye gari naelekea Moshi nikamkumbuka Rukia.. nikaamua kumtumia sms kuwa niko njiani naelekea Moshi baada ya kumaliza mitihani. Mpaka nimefika Moshi sms ilikua bado haijajibiwa..
Nilifika Moshi mishale ya saa 5 na dk 31 asubuhi.. Jesca alikuwepo stendi akinipokea lakini alinipeleka moja kwa moja katika Restaurant moja maarufu pale Mjini na tukapata chakula cha mchana kabisa..Alionekana ana kazi maalumu na mimi siku ya leo.
"Leo hatuendi nyumbani.. tutaenda pale Machui Hotel, tukalale pale..kesho utarudi shule uende kwenu" Aliniambia Jesca na mimi nkaitia "Sawa".
Tulifika pale mapokezi nikapata nafasi nyingne ya kuonana na Fredi Moshi amabaye alionekana kunkumbuka..
"Karibu tena kaka, naona leo umekuja tena na shem" Alijisemea Fred bila ya kujua kuwa ANAHARIBU. Ni kweli Jesca na Sophy walikua mapacha lakn hawakufanana kiasi hicho..labda Fred hakumuona vizur Sophy siku ile..
"Leo pia mmepata chumba kilekile 119 kaka" Alisema Fredy huku akijichekesha bila kujua kuwa anazidi KUHARIBU.. Ilibidi nimpe ishara ya macho ili akaushe..na akatii!!.
"Aaaanhaaa.. kumbe ulikuja na yule malaya hapa eeenh??" Aliulza Jesca ambaye kabla sijamjibu alikimbilia kwenye sink lililokuwemo chumbani mle na kuanza kutapika... Hapa akili yangu ndo ikarud katika jambo la mimba alilonambia kipindi kile..!!
Nilimfata pale alipo na kumshika mgongoni na kujaribu kumfariji..
"Pole sana my..ndo ukubwa huo"
Aligeuka baada ya kunawa vzur na kunikumbatia..
"Mwanao anasumbua sana mpenzi..yaan cna raha.
Alinambia Jessie akiwa anaonekana kuchoka saanaaa.
"But I miss you baby..ila tuongee kwnza kuhusu hii mimba then tufanye vtu..maana nimemis mambo yako baby" aliongeza Jessie.
Nikamvutia kitandani akalalia juu ya kifua changu huku nikichezea nywele zake.
"Kwani ww una mpango gani na hii mimba??" Nilimuulza Jesca ili nipate pa kuanzia..
"Baby mi ntailea na kuzaa..kwnza nafurahi kuwa na mimba yako Jk., naomba niendelee kusisitiza kuwa NAKUPENDA JK.." Aliongea mda huu akiwa amenigeukia akiniangalia usoni mimi nikiwa nimeegemea mto.
Nilifikria jibu la haraka haraka la kumpa ili kumfariji lakini nikaona haina maana..
"Hapana Jesca, mimba LAZIMA UITOE" Nilimwmbia huku nikimkazia macho..
Akaamua kukaa na kuanza kuniangalia vzr..haamini anachokisikia.
"Jk.. mm niitoe mimba?? No, noo, nooo, siweziii..I cant" Alisema Jesca ktika hamaki kubwa.
"Unaweza, surely u'll do it..by any meanz" Nami nilicctza..
Jesca akaanza kulia kwa sauti ya juu saaana.
★★★★★★★★★★★★
Usikose Episode ya 12
Je, una maoni, maswali??
Tuwasiliane:- +255 718 274 130
 
Hii story nimemuachia diva aendelee nayo kwenye kipindi chake.. Kwahiyo sitoendelea kuileta hapa..!!
Tune clouds fm kila siku J3 hadi Alhamisi saa 4 mpka 6 usiku..

Pia waweza kutembelea page zetu:
nirasaire.blogspot.com
mdharubajk.blogspot.com
Kuna story nyiingi zaidi..
HISTORIA BATILI Episode 18 Leo ntaiweka..
Natanguliza shukrani..

Mkuu itakuwa sio fair kwa kweli wengine radio ni mbalimbali na story hunoga zaidi in written form ...tunaomba ufikirie tena huo uamuzi
 
Mkuu itakuwa sio fair kwa kweli wengine radio ni mbalimbali na story hunoga zaidi in written form ...tunaomba ufikirie tena huo uamuzi

Nimeileta tayri kaka..usiogope
 
Nimeileta tayri kaka..usiogope


Mkuu hata kama Diva yupo anasimulia hiyo hadithi badn wewe kuna umuhimu wa kutuletea hapa kwa Clous fm si kula inasikika pande zote nchi yetu lakini JF kila sehemu inapatikana.
 
Mkuu hata kama Diva yupo anasimulia hiyo hadithi badn wewe kuna umuhimu wa kutuletea hapa kwa Clous fm si kula inasikika pande zote nchi yetu lakini JF kila sehemu inapatikana.

Ucjali mkuu, nitaileta..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom