Nakupenda Jk
{I love you Jk}
Na
Mdharuba Jk..
mdharuba@gmail.com
mdharuba01@gmail.com
mdharuba91@gmail.com
0718/0719/0756-274130
EPISODE YA 13
★★★★★★★★★★★
Saa kumi na moja alfajiri niliamka Machui Hotel, nikamuamsha na Jessie ambaye alionekana kuchoka sana..
"Baby, kumekucha..mi nataka nirudi shule nikachkue vifaa vyangu then niende hom leo" nilimwambia Jesca huku nikimtingisha bega..
"Sasa ndo asubuhi yote hii baby? Mbna bdo mapema sana? Subiri mpaka saa moja..kwanza magari ya Tanga yapo kibao".
Aliongea maneno mfululizo Jesca ambaye alionekana hataki mimi niondoke pale asubuhi ile..
"Basi mimi ngoja nikaoge then ntakuja tuongee baby..ntaondoka saa 2:00 asubuhi.."
"Waaaoooooh..that's great!! Unataka umuwahi nan kwan huko Tanga? Au ndo hao wake wenzangu??" Aliuliza swali la wivu Jesca..swali lililonipeleka moja kwa moja kumkumbuka Alice, nikasimamisha!!🙈 Umuhimu mkubwa wa kusitisha safar yangu ya bafuni ukatokea. Nikamuangalia jinsi Jesca alivyolala pale kitandani, alikua na chupi tu, lakini amejifunika shuka lake jeupe aliloamua liishie kifuani..akitoa shingo kama kobe akiniangalia.. nadhani naye aligundua juu ya 'uvimbe' wa dharura wa boxer yangu. Nikaamua kurudi kitandani.
Niliamua kuingia tena 'kutabaaruk' nyama tamu ile ya Jessie kwa nafas nyingne tena, wazo la mswaki wala kuoga halikuepo kabsa kwa yeyote kat yetu.. Nikaamsha cku ile tamu ya Jmoc na kimoja matata.. kisha nikaingia bafuni..
Baada ya kutoka pale bafuni akaingia Jesca nae akaenda kuoga..
Tuliongea meengi sana kwa mda ule mpaka kufikia saa mbili kasoro.
"Baby sasa hii mimba tunaitoa lini?" Aliuliza Jesca swali ambalo kwa muda ule majibu yake yalikua magumu sana..
Nitataja vipi tarehe na mimi sina hela? Ni kweli ameshakubali mimba itoke..lakini naanzaje kucctiza wakat ni gharama?!
"Ucjali baby..nadhani nikifika Tanga tutawasiliana..ili tujue tunasolve vipi..!! Maana kwa sasa nimebaki na nauli tu hapa" Nilijibu kiume, mwanaume wa ukwel mara zote anasema ukwel wake..hasa katika mambo ya pesa..kujitia ukwasi usiokuwa nao unaishia kuumbuka tu siku zote, na wala hutengenezi upendo, bali unabomoa.. Mwanaume halisi anafunguka..
"Sawa, nimekuelewa" Alijibu Jessie akiwa anaonekana kukubaliana na mm kwa moyo mmoja kabisa katika jambo lile zito..!!
Niliondoka Moshi nikimuacha Jesca akirudi nyumbani na mimi nkarudi Same kisha Tanga.
★★★★★★★★★★
"Haloo..Nassor uko wapi?!" Aliuliza Sophy mara baada simu yake kupokelewa..
"Nipo huku geto magogoni" Alijibu Nassor Abubakar. Na kumfanya Sophy asiulize maswali zaidi.. akakata simu..Akamfanya Nassor aanze kupangapanga geto vizuri na kutandika shuka jingine kitandani, kutoa lile ambalo alishalilalia wiki mbili sasa.. hakuwa anajali sana.
Nassor Abubaakar ndiye alikua mwanaume wa kwanza kwa Sophy..hyu ndiye aliyeutoa usichana wa Sophy. Licha ya kuwa Nassor alimpenda sana Sophia lakini Sophy hakujali sana.. alikua anafanya vile anavyojisikia..
Nassor alivumilia sana lakini baadae yalimshinda na kujikuta wanaishi kwa mazoea tu.
Kila mmoja alikua na michepuko yake, na walipokutan walikua wakifanya yao na baada ya hapo kila mtu alijijua kivyake..
"Kaka naomba mnipishe kidogo maana 'mke' wangu karibu atafika hapa" Aliongea Nassor kumwambia Mahiza Junior na Conax Chisasa ambao walikua maswahiba wake wa mda mrefu.
"Haya baanaa..naona leo utalala mwepesiii" Alitania Mahiza.. wakacheka wote kisha wakachukuana Conax na Mahiza wakasepa..
Baada ya misukosuko ya foleni ndefu, Sophy alifika magogoni, sehem ambayo Nassor alipangisha chumba kimoja akijaribu kutafuta maisha taratibu na biashara yake ya kuuza vocha.. Maisha hayakua yakimuendea vizuri sana..ila aliweza kula vizur na kuvaa kwa kupendeza..nyingi kati ya ndoto zake zilitimia usingizini tu..lakin katika uhalisia Nassor alikua mchumia tumbo..
Pamoja na ugumu huu aliokutana nao katik kutafuta pesa, Nassor hakupenda kupitwa na kitu chochote..alipenda kwenda club, alipend matumiz makubwa na mbaya zaid alikua akipenda sana wanawake.. tena alipenda zaid wanawake wabichi..akijicfia kuwa yy ndo bingwa wa kuzitoboa..
Kama humjui Nassor vizuri, unaweza usiamini utakapoambiwa alikua muuza vocha tu pale kariakoo..mwenyew akiwa anajiita Zassor..
"Karibu saaana sweetpie, karibu my one n only" zassor Alimkarbsha Sophy kwa mbwembwe nyingi..
"Mmh hebu hukoo..mimi 1 n only si ndo uongo huo!! Mda gani ss umepita, hata siiimuu kunipigiaa..wewe hyoo.." Alilalama Sophy akijarbu kujisahaulsha ujeur wa Zassor..
"Simu yako ww ipo kwa ajili ya kupokea tu?" Aliuliza Zassor kama kawaida yake huwa hapendi hata kidogo kulaumiwa.
"Basi yaishee..maana mgeni mimi hata ndani sijakaribishwa najibiwa ujeuri mlangoni" aliongea Sophy alijivuta ndani katika chumba kile ambacho kilionekana kufanyiwa usafi wa dharura..
Aliingia na kukaa katika Sofa liliokuepo chumbani mle..
"Sikia kwanza my..nina njaa saana.. naomba ukanitaftie chakula" aliongea Sophy mara baada ya kutupa macho vizuri mle chumbani na kuona hakukuwa na dalili yyte kuwa pamepikwa..
Mara nyingi Zassor alikua akipika, lakin kwa sasa palionekana pana mda mrefu hapajapikwa.
"Daah.ss chakula wakat ndo kwanzaa saa 5 na nusu now..gesi iliish hapa lakin ungekuta nimepika.." aliongea Nassor na kumfanya Sophy agune..
"Ila anyway ngoja kidogo" aliongea Zassor kisha akatoa simu yake na kubofyabofya namba kisha akaweka sikioni..
"Naam Haroun, nambie kaka.." aliongea Zassor baada ya sekunde kadhaa tangu aweke simu sikioni..kisha baada ya maneno haya aliitoa sikion na kuweka 'loudspeaker' kumruhusu Sophy ajue nini kinaendlea katika maongezi yale..
"Niko poa boss wangu, naona umeniteeengaaa... kimyaaa, vipi kwema lakin?" Aliongea Harun kwa shauku..
"Kwema kaka..vpi upo kazini hapo?" Aliuliza Zassor kwa hamu kubwa..Sophy mpaka sasa hakujua maongezi yale yalihusiana vipi na njaa yake..
"Nipo baba, kama kawa.. haya nambie.. nkuwekee mzigo?" Alijibu Harun hku akiamin siku yake imeanza vzr..
"Yaaah niekee zege mbili kaka.. na mishkaki sita.. nazipitia hapo sasa hivi" aliagiza Nassor na kumfanya Sophy atabasamu.
"Poa kaka..ila vuta subra kama nusu saa hvi ndo uje..," aliongea Harun na kuongeza "Si niweke kila kitu?"
Likafuatia jibu la Ndio kutoka kwa Zassor kisha simu ikakatwa..
"Kama ulivyosikia.. vuta subira..ngoja nkakichukulie soda kwnza hapo dukani upoze kiu halafu baada ya nusu saa tunagonga menu ya maana" Aliongea Nassor baada ya kukata simu..
"Hapana, pumzika tuu..nitasubiri tu hzo chips..sijickii kunywa Soda kabsa" Aliongea Sophy na kumfanya Nassor arudi pale kitandani alipokuwa amekaa..
Waliangaliana kwa mda wa dakika moja huku kimya kikitawala..kisha Sophy bila ya kuongea chochote alinyanyuka pale kwenye sofa na kuja moja kwa moja kitandani alipokuwepo Nassor..akaja akamvamia na kumuangushia pale kitandani, akawa amemlaza chali, yy akiwa anamuangalia akiwa amepga magoti macho yke akimuangalia Nassor kifuani kwke..
"Baby..i miss you..so so muuuch.." aliropoka Sophy pale juu..na kumfanya Nassor atabasamu..
Kwa mwendo wa haraka sana shati na suruali za Nassor vilivuka akabak na boxer.. Na sijui nini kilimpata Sophy kwani wakati huu alikua uchi kabisa..
Akamgeuza Sophy na kuanza kuzinyonya zile chuchu zake taratiib huku mkono mwengine ukitalii sehemu sehemu muhimu katika ule mwili laini..
"Oooooh aaaaashh..uuuuuwiiiiii...Zaa..ssooor..aaaaaaanh" Ni baadhi ya vijimaneno vilivyomtoka Sophy wakat Zassor akiwa bize na mdomo wake ule usio na adabu, mara hii akiwa amezama uvinza kabisa😄..
Hakupoteza sana muda hapa, akavuta mguu mmoja wa Sophy na kuupandisha juu hewani, kisha akaukunja vizuri mguu mwengine na kuzama pale katika chanzo cha mitafaaruku duniani.. Alipenyeza bila tabu maana palikua na chemchem nzuri tu iliyosababishwa na Introduction ile fupi..
"Oooosh..ahsantee..baby i..luv..yuu..." Aliongea kwa kudeka Sophy wakat huu Nassor alishaanza kupiga tako zake ndani nje..!!
Simu ya Nassor iliendlea kuita katika mfuko wa suruali yake mpka mpigaji akatamani aje kuipokea mwenywe..Mimi sina uhakika kuwa hakuisikia..lakin hayo hayanihusu..
"Mmmmmmh..aaaghh.." Ni jisauti zito alilotoa Nassor akijikandamiza ndani zaid katika mwaya ule muhimu wa Sophy.. hii ilikua ishara kuwa shetani anatoa jina sasa..!! Baada ya hapa akajitupa pembeni akavuta suruali yake na shati na kukimbilia kwa Harun Rashid Zakwan, muuza chipsi maarufu pale Magogoni.
Sophy alikua akijua kuwa alikua katika kipindi hatari sana cha Ovulation.. Baada ya kulazmishwa penzi na babake wa kufkia, Ahmed, alihisi huenda akawa amebebeshwa na mimba usiku ule.. Ndipo alipoamua kukimbilia kwa Nassor ambaye mara mbili sasa alishamlazimisha Sophy atoe mimba zake.
Alitamani sana kuzaa na mwanaume wake wa kwnza kuuona uchi wake, lakini Nassor aligoma mara zote, kwake yeye mimba ilikua ni Haramu..
"Safari hii nakaa hapa siku hizi zote za hatari, na nkipata mimba simwmbii..mpaka ifike miez 7, sasa iwe yake, au ya yule baba lakini mimi siitoi na itamuhusu" Yalikua ni mawazo ya Sophy ambaye alishaonekana kuchoshwa na vitendo vya Nassor ambye alionekana alikua akimtumia kukidhi haja zake za ngono tu..!!
★★★★★★★★★★★
"Kaka uko wapi wewe??! Hujamaliza mitihani tu?" Aliuliza upande wa pili baada ya kupokea simu yangu.
"Nipo Korogwe kaka..ndo nipo njiani nakuja Tanga, shule imeisha tayari, now am free like a molecule" Nilimjibu.
"Kaka uje banaa..kwnza leo ulale hom maanaaa...nina bonge la storiii..afu nina mali mpyaaaa..nataka nikupasie kaka..maana nakuelewa mzee wa mipira ya kufa" Alizidi kunishawishi.
Huyu ndiye Nira Mark Saire, swahiba wangu wa kitambo, niliyesoma nae O'level pale Usagara Sec ila yeye akaamua kuendlea na Advance pale pale.. tulikua tunakutana sana likizo, na ndo mtu pekee aliyekua anajua siri zngu na matukio yangu yote kuhusu mademu..!! Kikubwa zaidi, yeye ndo aliyenikutanisha na Alice kwa mara ya kwnza..
"Ananambia ana mali mpya? Mmmh hyu ms***e ataniua kwa Ukimwi" Niliwaza baada ya kukata simu.
★★★★★★★★★★
Unakosaje sehemu ya 14 sasa??!!
Utamu ndo kwanza unaanzaaa...
Maoni, Maswali, Majibu, Umbea, na kama unataka jina lako liwepo katika Story..
Sms to:-
+255 718 274 130