STORY: Nakupenda Jk
MTUNZI: Mdharuba Jk
EPISODE 10
★★★★★★★★★★★
Nuro Ahmed Abdulrasul alikuwa na majuto makubwa saana baada ya kuzaa watoto wale wawili nje ya ndoa tena mbaya zaid ni kuwa Mndeme hakuwa Muislam, jambo lililomuumiza kichwa sana!! Mara zote akimfikiria sana mwanawe kipenzi Jesca ambaye yy hakutaka kabsa kuckia habar za uislam.. Bahat mbaya Nuro alimpenda zaid Jesca kuliko hata Sophy!!
Miaka miwili baada ya kuwakabidhi watoto hawa mapacha kwa baba yao mzazi Mr.Mndeme, Nuro alilazimishwa kuolewa na mfanyabiashara mkubwa wa madini Ahmed Khamis..!! Ulazima huu ulisababishwa na babaake Nuro, Mzee Ahmed Abdulrasul ambaye alikuwa akifanya sana kaz za madini na alidai Ahmed Khamis alikua kijana muaminifu sana, anajielewa na pia alikazia zaid point ya kuwa ANA PESA,, hili ndo lilimkera zaidi Nuro na kumkosesha raha..
"Pesaa?? Ndo kitu gan?? Ina maana pesa ndo inifanye niolewe na mtu nisiempenda?? Mbona baba anafanya hvii?? Kwnn lkn??" Ni maswali ambayo alijiuliza sana Nuro bila kupata majibu sahihi katika kichwa chake..
Nuro alipata wakat mgumu sana kipindi hiki, alikua ni mtu wa kujifungia ndani na kulia tuu..hakuwa na jambo jingine, siku nzima aliimaliza akiwa ni mfutaji machozi tu machoni pake!! Mama yake Mzazi,Bi Hamida Hassan, alikua yupo nchini Oman kipindi hcho akifanya biashara zake, huku alikua akiishi na bibi yake ambaye alikua mgonjwa kutokana na uzee alionao..yy ndo alikua muuguzi wa mgonjwa huyu. Alitakiwa kuondoka na kumuacha bibi kizee huyu Tanga na kwenda kuishi na Ahmed nyumbani kwake Dar!! Hivyo ndivyo babaake alivyotaka.. hakuwa na muda wa kumckiliza mtu yeyote, mara zote alitumia ubabe tu!!
"Mama, naomba urudi tu nyumbani uje ukae na bibi maana mimi cna cha kuf
" Nuro hakuweza kuvumilia kuendlea kuongea na simu na bi Hamida na kujikuta akiangua kilio kikubwa sna..
"Is it fair?? Is it fair kwel jamaan??! Mimi mtu na watoto wng wawli nalazmshwa kuolewa kwel?? Daddyyyyy
why are you doing this to me?! Why??" Alisema maneno haya Nuro akiwa katika kilio kikubwa...Alishakonda sana kias cha kupoteza uhalisia wke..alikuwa hali, analia tuu..akinyamaza anaongea na mama yake na mara zote anaishia kulia!!.
"Ucjal mwanangu, fanya unavyoweza mpka Ahmed ajue kuwa humpendi, mwshowe atakupa talaka tu" Yalikua ni maneno ya bi Hamida(mama yake Nuro) cku ya haruc ambyo ilipangwa kuwa saa 2:30 usiku nyumbani kwao barabara ya 5 Tanga mjini.
"Sawa mama, atanioa lakin wallah ntamkomesha" Aliapa Nuro mbele ya mama yake bi Hamida.. alishadhamiria ubaya kwa Ahmed..hakutaka kuolewa kwa kulazimishwa namna ile.
★★★★★★★★★★
"Huyu malaya leo lazma anipe talaka, sheeeenziii.." alijisemea Nuro baada ya kuhakikisha kuwa Ahmed Khamis ameingia chumbani kwa Sophy..
Alishausoma mchezo wote licha ya kujifanya amelala..Mara nying Nuro alikua halali kutokana na mawazo yanayomkabili..!! Alimsoma Ahmed tangu anatoka pale ndani.
Baada ya kujiridhisha kuwa ameingia chumbani kwa Sophy, Nuro alirudi ndani na kuchkua simu yake ambayo ilikua na camera ya MP 18 na flash kali ya kumweka,kisha akakaa kwa muda kitandani kwake, alijaribu kumpa muda Ahmed ili akimkuta awe hana cha kujitetea..
Licha ya kumuoa kwa muda wa mwaka mzima, lakini Ahmed hakuwahi 'kupiga faru' hapa kwa Nuro hata siku moja, kila lilipofkia jambo hilo wakat wa kulala palizuka ugomvi mzito kati yao..
"Najua unafanya haya yote ili nikuache, lakini tutaishi hata miaka 100 hapa.. hivihivi, lakni talaka SITOI" Ni maneno ya Ahmed ambayo kila akiyakumbuka Nuro anakua hana hamu hata ya kumuangalia mdudu kisirani yule.. alishajaribu kutoroka mara kibao lakini ilishindikana, kwani Ahmed alimuajiri kijana shupavu aliyepitia mafunzo maalum katika Jeshi la wananchi Tanzania, Hisham Omar Mikidadi ambaye yeye alikua na kazi moja tu pale nyumbani kwa Ahmed-kuhakikisha Nuro hatoroki!! Jambo ambalo lilizid kumpa wakat mgumu Nuro.
"Mtego umenasa, ucjal baby..soon we'll be together, luv yuu soo muuuch" Nuro Alimalizia kuandika sms na kuituma katika namba aliyoisave "Man of ma Lyf".
*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*
"Oooh aaaaishhh...babaaa..aaaanh..aaaaaanh...iiiisshiii.. aaaaanh..babaaaa..baasiiii..baaaasiiiiiiiiiiiii aaaaaaanhh.. " yalikua ni maneno yanayotoka katika kinywa cha Sophy tena kwa kelele kubwa akiwa amejisahau kabisaa..
Nuro alikua makini na cm yake nyuma ya ule mlango ambao ulikua umeegeshwa huku akitabasamu..alikua anarekodi video.
★★★★★★★★★
"Jk una unaitwa kwa second master" Ni kauli iliyotoka kwa kiranja wa zamu aliyekua rafiki yang wa karibu sana..
"Kuna nini kaka?" Niliuliza swali hilo kwa mshangao maana haikua kawaida kuitwa kwenye ofisi kubwa kubwa. Nikaanza kufikria matukio yooote niliyoyafanya ndani ya siku mbili tatu lakin sikupata jibu la kujiridhisha!! Ilikua ni majira ya saa 5 na dakika 23 za asubuhi siku ya Jumamosi.
"Unamfahamu hyu?" Aliniuliza Second master baada ya kufika ofisin kwangu na kumgeukia dada ambaye alikua amekaa kwenye kochi pale ofisini ambaye wakati naingia sikumuona...hii ni kwa sababu ya uoga niliokua nao wakat huo..
Kuitwa ofisi ile nilikua naogopa sana..
Nilimuangalia yule dada na kumgundua alikua ni Jesca..
Zilishapita wiki tatu tangu nirudi kutoka Moshi..na sababu ya ubize wa maandaliz ya mtihan niliokuwa nao wakat huo nilishasahau habari za kina Jesca..
"Yaaah namfaham Sir, she'z Jesca, my sister Sir.." Nilisema kwa kukosa kwa confidence mbele ya Mkuu Msaidizi yule wa Same Secondary..
"Mbona yy amentajia jina jengne??" Aliuliza mkuu na kabla hajaendlea Jesca alimkatza na kusema..
"Nilikwmbia naitwa Jessie, yaani nimefupisha tuuu,, ni hyohyo Jesca"
"Haya nenden mkaongee huko nje ya ofisi yangu mi nina mambo mengi" Alituruhusu mkuu wa shule baada ya kuridhika kuwa tunafahamiana..
"Kabla cjakuambia chochote, maana najua kuwa umenizimia simu, ila cha kwanza ni kuwa mpaka sasa cjaona cku zangu" alisema Jesca baada tu ya kutoka ofisini na kuendlea..
"Maana ile cku tulipokutana ilikua cku yangu ya 15 na leo ni siku ya 35 cjaona cku zng.. hii haijawahi kunitokea" Aliongea Jesca kwa sauti ya taratibu na kuonesha msisitizo katika aliloongea..
★★★★★★★★★★★
Itaendelea....
Any comment..sms to:- +255 718 274 130