Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

Status
Not open for further replies.
Aaaaaaah!!! nawe naeeeee mpaka stim zimekata bado tuu viungo vyangu vyote vinaisubiri maana vinashirikiana! tuendelee askari yangu
 
Wadau najua mnamis sana story..lakini nitawaletea baadae..
Mimi nipo chuo, kwahyo kuna muda ambao tym inanibana sana..mbaya zaid nasoma Mathematics na mbaya zaid ya vyote nasoma SUA..sidhani kama kuna mtu hajui kuhusu SUA hapa..
Ila nawaahidi baadae nitawaletea msijali..
Huwa naziandka nyingi nkipata muda..muda ukibana ndo vile tena..

N.B
Hizi story ni ndefu sana, kwahiyo zitapatikana kwenye kitabu nitakapokamilisha kila kitu..kila story ina epsode zaid ya 300.. Kwahyo kuna muda nitazikatisha hapa ili niuze vitabu..nitawajulisha..
Ila kama umependa hiz epsode za mwanzo ujue utamu zaid upo epsode za mbele..
Nawashukuru wote kwa support yenu, wale wanaonipigia simu, wanaotuma sms, na hata wale wanaonitumia emails..nawashkr sana..tupo pamoja..support kazi ya sanaa ili tuweze kuwaajiri na vijana wengne ss ambao tuna vipaji..
Natanguliza shukran
0718/0719-274130
 
Shilingi ngapi kitabu kimoko maana chuo nimefunga nataka story tu
 
Doooh!!! Sawa mkuu sasa hizo episode 300 zote full Kud.nda aama!!??
 
Yaani hongera sana mi Ndio mara YA kwanza kufatilia hadithi zako lakini nimeipenda sana Kwani mi ni mpenzi sana wa kusoma hadithi ikiwa nzuri siangalii gharama kwa bei yoyote na nunua kitabu hivyo mkuu fanya haraka utoe kitabu unasoma kwa nafasi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom