Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

Status
Not open for further replies.
STORY: Nakupenda Jk
MTUNZI: Mdharuba Jk

EPISODE 09
★★★★★★★★★★★

WIKI YA LIKIZO
--------------------------------
"Aaaah aaaanhhh Jk aaaaaahn.. Jaaaamaaaniiii...Aaaaanhh..." Ilkua ni sauti ya Alice akigumia kimahaba huku akikata vizuri kiuno chake kiasi cha kunikosesha "stamina" na kunifanya niyumbe kidogo.. Alice alikua anayajua vizur saana mambo ya kitandani..alinipagawisha.. Na hii kitu yake ilikua mnato nadhani ni kutokana na kukaa muda mrefu bila 'kupigwa faru'..!!
Kwa Alice sikuwa hata na wazo la kutumia condom..imani yetu ilifikia hapo..aliniamini saana..na yy nilimuamini saanaa.. Tulipiga kavukavu siku zote tulizokutana na hatukuhofia pia kuhusu mimba hata kidogo.
"Yaani nahc kama niko ktika sayari ya Mars, kumbe ni dunia hii hii.." Nilijisemea maneno hya ya kizushi kuendlea kumfariji Alice.. wakati huu akiendlea kupiga kelele za kimahaba..hapa alikua amekaa juu yangu mimi nikiwa nimelala chali..miguu yangu niliikunja kidogo kuelekea kwngu, yy alikuwa ameingia pale kati na akiupa mgongo uso wangu...alikua na spidi ya ajabu kama anaendesha gari ya zimamoto na kuendlea kuniacha hoi huku sometymz nikijaribu kukamata kiuno chake na kumpunguza spidi..hapa ndipo alipokuwa akikizungusha kiuno chake vizuri pale kati mpaka nikahisi atauvunja ule mshiranga wangu..
Hisia za mbali sana zkaanza kukaribia na nikaona sasa ni zamu nzuri ya kumsulubu Alice.. wakat huo joto liliongezeka sana.. nikahic kuwa labda na yy amekaribia..
"Aaaaaghh oooohhh uuuwiiii....baby..mbona za mootoo?? Aaaashhh..unaniunguza baaanaaa"4... Alisema Alice na kurukia upande wa pili..
"Aaaah ww umekula nn??, umeniunguza ujue acha utani.." alisema Alice..mimi nikatabasamu.
★★★★★★★★★★
Baada ya Sophy kuniacha pale Machui Hotel, niliamua kurudi shuleni moja kwa moja..sikutaka kurudi tena nyumbani kwao.
"Hawa washenzi sijui kama wataona sura yangu tena, malaya wakubwa!! " nilijisemea maneno haya moyoni wakati nakabidhi ufunguo kwa Fred Moshi na kumuaga..
Niliiwasha simu yangu na kuisoma tena ile msg za Jesca.."Hyo ni malaya, atakuua..wewe endlea tu.. mimi nakwambia hivi sababu nakupenda Jk, najua kwa sasa hupokei simu zangu sababu upo juu ya kiuno..lakini nakwmbia UTAKUFA" Hii ndio msg ya Jessie ambayo ilinistua sana muda ule lakini nikaipotezea..
"Nyote malaya tu nyinyi" niijisemea moyoni..
Nikafika stend nikapanda gari na kurudi Same..
"Naweza kununua line mpya halafu ukanisajilia hapa hapa?" Nilimuuliza muhudumu wa kibanda kimoja cha mtandao wa Voda na akanijibu kwa swali "Kitambulisho unacho hapo?" Nikamjibu Ndio..kisha akaniambia nikatoe Photocopy kitambulisho kisha nirudi pale anisajilie.. Hii ilikua ni baada ya kufika Same mjini..niliona nibadili namba ya simu kwa sababu kuu moja muhimu..nilikaribia mtihan wangu wa mwisho kipindi kile..nikaona watanisumbua sana wale malaya wenye pepo la ngono.. nikaamua kuwakomesha, na pia ni kujiwekea amani ya moyo ili niweze kufanya mitihani yangu ya NECTA vizuri.
"Sorry unaweza kunitengenezea Special number??" Nilimuuliza nikiwa nataka kubadli code za mwanzo tu za namba yangu ya tigo..sikutaka kubadili sana namba yng..niliipenda sana..
Muhudumu hyu ambaye alikuwa na macho mazuri na ya kuvutia sana..na lips zake nzuri zinazotoa ishara fulani katika ubongo wng nilianza kumtamani ghafla..
"Mbona uko peke yako? Unaweza kuhudumia wateja wote peke yako kwel?" Nilianza uchokozi..
"Hapana..nipo na wenzangu wawili..lakin wikend huwa tunaingia kwa zamu..leo zamu yngu mie.." Aliongea muhudumu yule aliyependza zaid na 'lemba' lake alilotupia pale kichwani..nilijihc kumpenda sana..nikimlinganisha na mpenzi wangu Alice ambaye yy cku zote alikuwa akivaa mawigi yacyompendeza..nilimuona hyu dada yupo juu..!!
Alitengeneza namba kisha akanipa na contacts zake, kitu nilichokua nawaza namna ya kumuomba..
"Kama line itasumbua ww nipgie simu afu tutajua cha kufanya"
"Ok sawa dada..na unaitwa nani vile?" Niliuliza kwa hamu kubwa..neno lililofuata lilikua nijibu tu kuwa "jina lako zuri" hii niliifanya kwa msichana yyte aliyenitajia jina lake..haijalishi lingekuja jina gani..nilikua na kawaida ya kucfia, ndio wanawake wanavyotaka.
"Rukia Akida Sembony ndo jina langu kaka..asante kwa kuchagua Vodacom" alinijibu yule dada..
"Jina lako zuri sana dadaangu, mimi naitwa Jk"
"Ok nashkru kukufaham karibu sana"
"Usije ukanambia hujasave namba yangu wakti ww ndo uliyeisajili" nilitaniaa..
"Ucjali banaa..nimeshasave Jk"
"Ok byeeee"
Niliagana na Rukia na kuchukua bodaboda na nikarud shuleni.
★★★★★★★★★★
"Nimekumis sana mamy..am on ma way nakuja Dar" alisema Sophy kwenye simu kumwambia mamaake Nuro Ahmed.
Ilikua ni jumatatu tulivu kabsaa..majira ya saa 11:30 jioni Sophy aliposhuka Ubungo na basi la Islam akitokea Moshi, mama yake, Nuro, alikuwa pale Ubungo akimpokea mwanae..
Walifika nyumbani kwao maeneo ya Mbezi beach walipokua wakiishi Nuro na mumewe Ahmed Khamis wakiwa katika gari yao ndogo aina Honda-CRV.. hii ilkua ni kwa ajili ya shughuli ndogo ndogo kama hzi..
Nuro na mumewe Ahmed waliishi maisha mazuri mnoo..hawakua na shida yyte..kila alichotaka Nuro kilkua ndani pale..
Ahmed Khamis Hamad yeye alikua hana muda mrefu anaokaa nyumbani kwake..mara nyingi alikua Shinyanga katika shughuli zake za madini..
"Bahati nzur na babaako leo yupo umemkuta" alisema Nuro akiwa anafungua mlango wa kioo wa kuingia nyumbani kwao..ule wa grill ukifuatiwa na wa mbao yote ilikua wazi tayari..Hii ilikua nyumba ya kisasa, iliyojikamilsha kwa kila kitu..
Tangu mamaake aolewe na bwana Ahmed, Sophy hakuwahi kupata nafasi ya kukutana na Ahmed hata siku moja..
"Shikamoo baba.." ilimtoka shikamoo Sophy baada ya kumuona Ahmed amejijaza katika sofa pale sebuleni akisoma gazeti la The Guardian na miwani yake nyeupe.
"Marhaba..hujambo Sophy??" Aljibu Ahmed akionekana ana taarifa kamili za ujio wa mgeni yule..
"Sijambo baba.." alijibu Sophy na kuendlea kuulizana hali huku Nuro akipeleka begi la Sophy chumba alichotakiwa kulala..
Waliendlea kusalimiana na kuulizana hali mpaka wakawa wamezoeana sana..Nuro alikua busy sana na maandalizi ya mgeni.
"Hivi huwa unakujaga hapa?" Aliulza Ahmed kwa shauku kubwa ya kutaka kujua undani..
"Hii ni mara ya tatu kuja" alisema Sophy akiwa ameshamsoma babaake hyu wa kulazmsha vzr kuwa alionekana ana jambo..
Waliendlea kupga story mbili tatu pale mpaka Nuro alipokuja na kumkaribsha Sophy chakula..wakaendlea na maongezi.
"Hubby, this z my queen, my ashununuu..luv her much much.." alisema Nuro ambye mara nying alipenda kuongea na mumewe kutumia 'lugha ya ushenzini'.
"Ok got ya, u r warmly welcme Sophy" alisema Ahmed kisha wakaendlea na maongez mengine mpaka kufkia saa 3 ucku walipomaliza kuangalia taarifa ya habar na kuamua kwenda kulala..
"Sophy kama kawaida utalala pale chumbani kwako, luv yu muuch..byeee.mmmwaaah" Nuro aliagana na mwanae na kumshika mumewe kiuno wakaelekea chumbani kwao..

"Sophy, Sophy..Sophy.."
" Bee...haaa..maaaamaaaa" alisema Sophy baada ya kushkuta ucngizini..
"Ssshhhh..shhhhh.. nyamazaaa..ucpige kelele..kawaida tuu.." alikutana na saut hii kutoka kwa mtu ambaye hakuamini kama angekuwa pale chumbani muda ule..
"Relax Sophy..nipo kwa ajili yako hapa" Ahmed alizid kumtoa uoga Sophy na kumfanya azidi kushangaa..
"Umeingiaje humu na mi mlango niliufunga??" Aliulza Sophy kwa shauku..
"Kwani umesahau kama mimi ndo mwenye nyumba hii?" Alihoji Ahmed huku akitabasamu..
"Sasa unataka nini baba?? Mbna ckuelewi??" Aliendlea kuhoji Sophy..
"Just kimoja tu kwaleo..u r so cute, nimeshndwa kuvumilia" aliongea Ahmed kwa sauti ya upole..
Sophy alishusha pumzi ndefu na kuangalia saa ya ukutani iliyokuepo chumbani mle ambapo palikua na mwanga hafifu wa taa ya kijani na kugundua ilikuwa saa 8:30 usiku.
★★★★★★★★★★
Usikose Episode 10.
Kwa maoni na ushauri au maswali:- sms to +255718274130
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom