Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

Status
Not open for further replies.
STORY: Nakupenda Jk
MTUNZI: Mdharuba Jk


EPISODE 04 Removed by Jk
 
Mdharuba naruhusiwa kuwarushia watu story hii
 
STORY: Nakupenda Jk
MTUNZI: Mdharuba Jk


EPISODE 05
★★★★★★★★★★
"Dadaako Sophy simuoni leo, yuko wapi?" Ni swali aliloulizwa Jesca na baba yake Mr.Mndeme. Ni swali ambalo hakulitegemea ukizngatia nature ya Mr. Mndeme co mtu wa kujali sana..iweje leo amuulizie mwanawe??
"Ametoka kidogo, alinambia anaenda kumuona rafiki yake hapo ushirika" alidanganya Jesca..
"Heeeh ndo mpaka ucku wote huu??" Aliuliza Mr. Mndeme kwa mshangao!! Maana tayari ilikua saa 5 ucku.
"Naomba umpigie simu aje sasa hivi, kuna vitu nataka kuongea na nyie wanangu kabla sijasafiri kesho asubuhi" aliongeza Mr.Mndeme na kuzidi kumpa Jesca wakat mgumu. Alishadanganya ilhal anajua ukwel wa mambo ulivyo..Sophy atawezaje kuja mda huu hapa nymban?? Na asipokuja baba atafikiriaje??! Alijiuliza maswali mengi sana ya haraka haraka mda ule lakn yote yalikua hayajibiki!!
"Umempgia simu tyar??" Aliuliza Mndeme baada ya kupita kama dakika 5 hvi...
"Yeah, ila simu yake haipatikani" aliongea Jesca kwa kujiamini... Ni kweli simu ya Sophy ilishazimwa punde tu baada ya kupokea ujumbe mfupi kutoka kwa Jesca ukimtaka azime simu.
Baada ya jibu hili Mr.Mndeme alikamata simu yake na kuiweka sikioni..baada ya sekunde kadhaa akasema "Atakua kazima simu hyu, kwani ww alikwmbia anaenda kulala huko?" Aliuliza Mr. Mndeme kwa shauku ya kutak kujua undani wa mambo. Hili swali halikua swali la kujibika kirahc kama yy mwnyew Mndeme alivyoliuliza.
"Hapana, mi aliniaga kuwa atarudi" Aliongea Jesca lakn alishaanza kupata uoga..
"Mke wangu, hawa watoto kuna siku ambazo hawalal nyumban?" Mndeme aliamua kumuuliza Vero sasa.
"Hapana, huwa wanalala nyumbani siku zote!!" Aliongea Vero licha ya kuwa aliongopa..Mara nyingi watoto wale walikua hawalali nyumbani na yy alitumia muda huo pia kuingiza wanaume wengine pale nyumbani. Maana Mndeme alikua hamridhishi kabsa mkewe na mara kibao alikua akilalamika kuchoka tu.. Michepuko ya nje ndo ilimfanya Mndeme asiwe na muda na mkewe..
Sophy na Jesca walishagundua kuwa mama yao huwa anaileta michepuko home..na walishakubaliana kutunziana siri kat ya Vero na hawa wanawe wa hiyari...kwahyo kucngekua na kusalitiana.
Mndeme akatosheka na majibu yale lakin alikua na wasiwasi bado..akahis mwnawe amepata matatzo..
★★★★★★★★★★
"Hapana, sijabeba condom" alinijibu Sophy na kuunyong'onyeza mwili wng wote.. hamu yote ikapotea.. Nikajitoa pale kitandani na kuchukua bukta na suruali yangu na kuvirudisha mwilini..
Nikamalizia na singlend yangu kabla ya kurudisha shati... Sophy alikua bado uchi kabisa akiwa ananiangalia kwa mshangao..
"Kwahyo condom ndo inakufanya uahirishe zoezi Jk?" Aliniuliza akiwa haamini.
"Ndio, kwanza mimi na ww hatukukubaliana chochote kuhusu habari ya ngono, mbona unanilazimisha?!! Ckuelewi!! Au wataka uniambukize maradhi nini?" Nilimuhoji Sophy nkitaka kujua dhumuni lake.. alarm ya hatari kichwani mwangu ilishaanza kulia..hisia za kujitambua zikaja..
"Hapana co hivyo Jk..ukweli ni kuwa mi nilikuja huku kwa ajili ya sex tu na Matayo na co vinginevyo...na leo nina hamu kubwa sana naomba usiniache hivihivi pleeeassseee.." Alisema Sophy kwa sauti ya kulalamika na kuongeza "Naomba ukanunue condom uje unipe japo kimoja tu nipate nipunguze hii hamu ya leo plz"
Alizid kunishawishi Sophy na kunifanya nigundue kuwa alikua katika siku ya "Ovulation" cku ambayo ilikua pia ni ya hatar zaid kupata mimba..Licha ya kuwa sikuipenda Biology lakn topic ya Reproduction nilkua nahudhuria bila kukosa...nilikua najua vtu vingi sana kuhusu mambo ya uzazi na mimba!! Jinsi alivyokuwa amejiweka pale kitandani alinipa tabu sana kila nkimwangalia..lakn nkifkria mimba na Magonjwa mengine moyo wangu uligoma.
Nikatoka had kwa muhudumu wa hii guest ambaye tunafahamiana vzr na kumuulza "Ebwana una salama?" Dukani nilishapaona mbali
Akanambia "Ninazo, unataka ngap??"
"Nipe pakti moja tu"
Akanipa 3 bomba zenye harufu ya 3 tofaut..Strawberry, chocolate na banana..
Nkarudi chumbani na kumkuta Sophy kajilaza kitandani bado akinisubiri...Nikasaula nguo zangu kwa spidi ya umeme..safari hii had boxer niliitoa na mimi nikabaki kama nilivyozaliwa... Nikaruka moja kwa moja kifuani kwa Sophy na kuanza kunyonya chuchu zake nyeusi zilizosimama vzr kutokana na ashki aliyokuwa nayo..
"Ooooshhh...Jk aaaannhhh" alilalamika kimahaba Sophy..mi nilikua na mzuka wa ajabu saanaa..
"Condom umepata Jk?" Aliniulza Sophy baada ya kuniona nina ari ya kufanya mambo kweli..
Nilimjibu kwa kichwa kwani sikutaka kutoa mdomo wangu katika chuchu yake ya kushoto...wakat huo vidole vya mkono wangu wa kulia vilikua vimekamata chuchu ya upande wa kulia vikisugua taratiib...Sophy alikua akilalamika kimahaba na kujibenuabenua.
★★★★★★★★★★
Dont Miss Episode 06
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom