Story: On My High Horses ...

Story: On My High Horses ...

We Money Penny balaa, eti jamaa ampige miti mpaka chiu hapa imedinda ngoja nikimbilie kwa mangi kununua sabuni
Kiru!
Mdorooobooooeee

Mm kwanza ctakagi kuona mstari wa mwisho maana hapo ndipo story hunogaga..Giza liingie mapemaaa
Uuuwi nakuja nakujaa

Uwiiii Gigi nimekupenda mishen zako sio za nchi hii
Ahahahaha

we are eagerly waiting Money Penny
Nakuuuja nakujaaa
 
mamaaaa tarime one wewe c umeokoka jaman, mbona unasema maneno makali hivyo
Uuuuwi kaokokaaa?!

Hata tuliokoka ni binadamu afu shetani anatupenda sana kutupitia kuliko wasiookoka

Afu ngoja nikunong'oneze huwa tunakula kondoo walionona tu.
Yeleuuuwi shetani ashindwe

Namaanisha mapenzi fake mpendwa Money Penny,wanalipiza kisasi kupitia mapenzi mtu anagawa chiu kupata siri ya kumsaidia mpz wake dah!
Nimekusoma
 
Back
Top Bottom