Atakuwa katingwa mkuuMh!we Penny ndo unatufanyia nn...Saa sita imekuwa majogoo
Nimeanza mwanzo nimeelewa mama,vp muda bado!!Uuuwiii
Kwanini tena bwashee?!
Jaman nisameheni leo nimebanwa sanaaa
Naomba kesho nilete 2 alafu ndefu nifidie siku ya leo
Poleni sana sana sana nawapendaje sasa
Poa my.. Tunakusubiri mpenziJaman nisameheni leo nimebanwa sanaaa
Naomba kesho nilete 2 alafu ndefu nifidie siku ya leo
Poleni sana sana sana nawapendaje sasa
Tayar bromuda ndio huu
KaribuuuPoa my.. Tunakusubiri mpenzi
Asante nimeshaangusha cinemaaaUsijali mkuu.. Pole na majukumu

Jaman nimekuwa buzy na home decor ndio napumua sasaPenny ulisema Leo unaweka mbili. Mbona iko moja tyuuuu dear?
Thank you Darling,very muchMoney Penny karibia nakuzawadia cheo cha kubwa la maadui,pongezi zako mrembo from my inner part of my heart![]()