Story: Money Penny ni nani lakini?!

Story: Money Penny ni nani lakini?!

Sounds familiar...
Hongera kwa kuamua kukitumia kipaji chako...wengi wanakufa navyo kwa uoga.
Bravo!
 
Ahahahahaha waoga hufa mara 10 kabla ya wakati wako?!

Asante sana
Mwanamke wa kariba yako,kamwe hafi maskini.
Alafu wanaume huwa hawapendi mwanamke mwerevu sijui kwanini?
Ndio maana character yako ina 'something' ya kujilinda.[emoji2]
 
Mwanamke wa kariba yako,kamwe hafi maskini.
Alafu wanaume huwa hawapendi mwanamke mwerevu sijui kwanini?
Ndio maana character yako ina 'something' ya kujilinda.[emoji2]
Ilo nalo neno!
Wanaume wa namna hio wanajishtukiaga hawafai wataishia kukutesa tu
Nishapataga mburula mmoja kila saa anajiham nikitaka kufanya mambo ya maendeleo ana crush nikamrupa kwenye dustbin! Nikaendelea na maisha
Hapo sikuwa nimeolewa lkn
 
Kipaji unacho kikubwa, ila umesahau kuongeza sifa yako moja ya kupenda stories za kutoa tigo au kuombwa tigo au!?
Mmh labda haujasoma some lemonade for you
Kasome utaona mavituz
 
Lol! Hilo nililoandika pia usilikimbie Money Penny unalo hilo.
Nitaangalia kwenye stori ya leo mpya wapi niiweke kumbe mmemiss mavituz ee

Ila me naogopa Ban
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom