Story: Money Penny ni nani lakini?!

Story: Money Penny ni nani lakini?!

Actors wakishamaliza ku act kubanduana ni kawaida sana. Huwa wanakumbushia mikao ileee wakati wana act. Ok Money Penny .
Ni kweli ila names ni zile zile hazibadiliki kwasababu ya shareholders wa James Bond Trademark
Mwingine naempenda anaitwa somebody Brocolli
 
Kama una watoto wapo chuo (natumaini ni chuo kikuu siyo Madrasa) wewe ni kama 40's hivi.
Wanasoma London University mwaka 1 na wa 3
Mwengine anafanya kazi Israel
Mimi nina miaka 32 tu ... hapo chacha
 
Ha ha ha ha mzee unaniua na hz mvua a drink wont hurt, na wakishua kwel kanikuna aliposema anajua mpaka bolingo kuna dude moja ola empile bakuba nataka nimpigie nione uzoefu wake
Lete bro lete empire tena uuuwi
 
Back
Top Bottom