The Magnifico
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 431
- 1,594
Unasema umezaliwa March 8 wakat humu jf umeandika May 10
Kwel we mtu mzma sabab tuu unapokea dyu dyu
Kwel we mtu mzma sabab tuu unapokea dyu dyu
Nitaangalia kwenye stori ya leo mpya wapi niiweke kumbe mmemiss mavituz ee
Ila me naogopa Ban
Ahahaha nilikosea kujaza sa sijui nafutaje labda niulize moderator poleUnasema umezaliwa March 8 wakat humu jf umeandika May 10
Kwel we mtu mzma sabab tuu unapokea dyu dyu
Mmmh me majukwaa mengine hata spend nimelizoea MMU na fans wangu wengi wapo MMuBan huwezi kupewa sema tu wanaweza kubadili au kuhamishia kwenye jukwaa la wakubwa.
wivu namuonea huyo jamaa aliyekufataki maana nilikuacha darasa moja shule, huyo jamaa lazima alikula kwa chumviHeheh unanionea wivu sio?!
Ivo eeee ayawivu namuonea huyo jamaa aliyekufataki maana nilikuacha darasa moja shule, huyo jamaa lazima alikula kwa chumvi
Jirani unanikana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Aku staki
Hahaha u wish skujui jamaa
Nimepokea maswali meeengi kwa wadau wangu huku jf kuwa money penny ni nani ni nani?!
Wengine mnasema money penny ni Lara 1 wengine mnasema ni Mange Kimambi wengine sijui nani du!
Naomba ni clear the insain air kwenu wadau wangu wa nguvu wa JF.
Mimi sio lara 1 wala Mange in disquise, mimi ni mimi nimechagua kuwa mimi kwaiyo endelea tu na mimi
Mimi ni mwandishi wa hadithi, scripts za movies, series, drama, nina Executive MBA, Degree ya BAF, nimezaliwa na talent, creativeness, brains, intelligency, smartness, funny, charming
Mimi ni March Baby sasa usinilalamikie why oh why am so extra, u know it's the power of March 8th (International Women's Day) ....Mungu bwana basi tu sinaga jinsi ya kumlipa bali kumshukuru
Money Penny ni mfanyabiashara, mfanyakazi lkn sasa naona my calling ipo kwenye writing, the goads are calling me to write ooo!
Nimezaliwa Dar, nimesoma Dar vidudu mpaka chuo, kazi Dar, naishi Dar, wachumba Dar, Mume Dar, Biashara Dar, Mwanza, Arusha, Moshi, Bagamoyo na Morogoro ... me mtoto wa Dar, Upanga, Oysterbay, Mbezi Beach, Mbweni ndo mitaaa yangu nimekulia ...
Napenda kusafiri sanaaa tena sio kitoto toto sijui moooshiii sijuiii morogoooorooo huko naenda ndio lakini nikisema nasafiri ni Paris, Dubai, SA, Norway, Canada, USA, Malaysia, Singapore, UK, Qatar, Spain, Australia, Russia, and the kind.. kusafiri raha jaman akili inapanuka ya maisha, unajifunzaaa, kusafiri ni moja ya darasa moja ya elimuu.
Money Penny mke wa mtu jamaaa tuheshimiane basi wale mnaonifuata dm kunitongozaaa, nina watoto wakubwa wapo chuoo wanasoma, wengine wameshaajiriwaaa, nampenda sana handsome wangu, eish wala siwaonyeshi ng'o! Msije mkaenda twishen buree
To be honest JF nimeijua kupitia shogangu aliniambia kuna dada ameandika stori nzuri sana JF anaitwa lara 1 inaitwa Weekend story the grass looks greener on the other side nikaanza kusoma nikaipeeendaaa nikasema this chic is more like me nikajiungaaa na JF nilipomaliza kuisoma nikasema kwanini na mimi nisijaribu kuandika na mimi stori nione itakuwaje:
Nikaanza kuandika stori hii ya kwanza kabisa niliandika Dec 2016 when i was going thru so much pain and struggles:
Ya Lemonade, naipenda sana link yake hii hapa
Some lemonade for you madame!
Nilipomaliza nikanogeeewaaaa nikaandika nyingine hii hapaa
My cup runeth over ~ Na Kikombe changu kinafurika
Nikapumuaaaa baadae nikaskia kuandika stori nyingine ya 3 nikaiandika hii hapaa
Love melted before my eyes
Nika enjoy kwanza maisha nikasheherekea birthday nikaja kushusha stori mwezi march ya Malkia wa nguvu hii hapa
Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!
Nikaja kuvuta kwanza pumzi nikaja kurudi na stori hii mwezi April
Story: Side Chic & Main Chic ~ A Forever Battle
Kiukweli alie ni inspire kuandika stori ni Lara 1... sasa kama Money Penny ndo Lara 1 inakuwaje sa hapo?! Du! Na kwanini niwe na double life wakati najipenda mimi kama mimi
Kusema ukweli mpenz wa Mungu me sijasomea kuandika stori, kabisaaa... wala english sijui literature akuuuu! Huko sipo kabisaa!
Ila ni Mungu tu ananisaidia naweza nikakaa nikachukua microsoft word page nikaanza kuandika then kila kitu kinakujaaaa non stop mpaka stori inaisha ndani ya siku 3 naandika page 100, kwa siku masaa 8 mpaka 10 zlstori zinakuja tu kichwani
Of course me mtu wa watu so zingine zinakuwa za maisha ya watu ambao labda wengine wameshakufaga, wengine wazeee wa miaka 70, wengine watu wazima miaka 45-59, wengine marafiki wengine ndugu wengine jamaa wengine classmates wengine office colligues basi tu ukiishi na watu vizuri maishani inalipa sana
Money Penny pia ni cha utunduuu, sio utundu wenu ule wa naniliuuuu me mtunduuuu, yani mtunduuuuu kwani we haujawahi kuishi wa watoto watunduuu, sio watundu kwenye dyu dyu na uchi weweee utundu tu wa kawaida wa maisha ya kila siku
Yani tunaweza kukaaa hapa tunaongea me nikajiongeza nikawa extra ukashangaa ivi money penny unawazaga nini lakini wewe?! Ndivyo nilivyooo
Afu mimi nina vitukoooo, naweza kukuchekesha hapa me nikauchunaaaa we unakufa mbavu me nakutolea macho kama bundi, afu watu wakakushangaa huyu mtu vepee kucheka cheka kumbe stering nimeuaaaa!
Ila kama sijakuzoeaaa utasema huyu dada mpoooooleeee jamaaaan mpooooleeee duuuu hata kumtongoza naogopa kuumbeee! Ahahahahaha malizia mwenyewe buana me thithemi!
Money Penny napenda mzikii akyanani me sio mlevi wa pombe ni mlevi wa music, good music yani me schagui, bolingo, R&B, Hip Hop, Rumba, Classic, Old School, New School, Raggae kwa mbaaali, Pop, Gospel ndio usiseme imelala hapaaa
Ulevi wangu mwengine ni Movies and Series, yani mimi ni movie person, tangu nina miaka 3 ni mtu wa tv mpaka sasa ni movies tuuuu miziki tuuuu sa hivi tena kuna series cravings ndo kabisaaa yani naweza shinda ndani nikaangalia series the whole weekend ukahisi nimesafiri au nimetoka kumbe nimejifungia chumbani, naweza sahau kula msosi kisa series au movies
Nilikuwa napenda sana kusoma novels lakini walivyoleta movies kha waliniharibujeee jaman me na movies utakuwa rafkianguuu!
Wengi watasema am an introvent person but am not, am this cool kind hearted chic, looooud chic mambo ya kuwa dry dry ukikaa na mimi utachangamka tuu! Hakuna aliewahi kukaa na mimi akaborekaaa am sorry to say this am alooooud chic, full of life chic, extra chic, beautiful and gorgeous chic
Money Penny ni half cast wa kichaga, nusu mchaga nusu kuleee kwa maza yangu singida moujaaaa ....Me mwenzenu mauno na mambo ya kitandani utanisubiria miaka 2000 na kutafuta pesa ndo mwenyewe sasa kwani Tsh ngapi?!
Stori ndogo ndogo nilizoandika kama Money Penny zile zinaitwa changamsha ubongo ni:
Msaada tutani nahitaji suluhu hapa
Msaada wa haraka please, mke wa mtu anakufa hukuu
Msaada tutani: Dogo kamzimia 'Shuga Mami'
Msaada Wenu Plz: Moonlight Lady
Msaada wa haraka: Kaka wa kwenye foleni
Msaada wa fasta: Urasimu na maendeleo
Msaada tutani: Je mziki ni ndoa mpya?
Msaada wenu: Urafiki na watoto wa kiume
Msaada tutani: Black beauty is gone
Msaada wa kung'amua fumbo hili
Msaada mzuri: Kwenu mliozaliwa March
Msaada wa haraka please, mke wa mtu anakufa hukuu
Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia
Msaada tutani: Mwanaume bora tu achepuke
Msaada tutani: Mzee alienipenda
Msaada tutani: Nimpe au nisimpe?!
Msaada wako: Dating life!
Msaada tutani: My Body Guard
Msaada tutani: Kubakwa kisaikolojia
Mapenzi ya udicteta
What you see is what you get!
Msaada tutani: Waoga!
Msaada tutani: Hali ya hewa
Msaada tutani: Bafu langu!
Shule imemshinda anatafuta 'sponsor'!
What you see is what you get!
Je, Bikra yako ulitoa ukiwa na umri gani na ukiwa wapi na nani alikutoa?
A friend without Benefit
Msaada tutani, ninanuka
Toxic Bachelors!
Wanaume Mungu anawaona!!
40 smthng Men Vs. 25-30 smthng Men
Je, mapenzi ya kweli hamnaga siku hizi?
Je, mapenzi ya kweli hamnaga siku hizi?
Akili za wanaume wanazijua wenyewe
Ogopa wanaume matapeli
Wengi wenu mna midaaaadi nikiwaambia mje grup yangu ya whatsapp mnione hamtakii basi mtaniona soon
Kama unaharaka unaweza kuniona kwa kubonyeza link hii ya NAVAA
Kibiashara nipo kijiditali zaidi na stori zangu zingine nimeweka huko karibuni
Pia nimeokoka nampenda sana Yesu, Yesu is my everything lakini me sio mlokole mbululas!
Me mjanja kuliko nyokaaaa na maarifa nayasaka sana tu kwa Mungu siangamiii
Nasali Revival Power Ministry opposite ya JKT kabla haujafika round about ya kawe njia ya chini ukija utanikuta nimejaaa ninang'araa
Umri wangu wa nini labda?! Kama napokea dyu dyu na kutoa chiu me mkubwa tuu
Was nice meeting you guys wa JF nashukuru kwa support yenu kubwa sana Mungu awabarikii
Next story: ON MY HIGH HORSES
DATE:: 7TH MAY 2017
TIME: 19:00 Hrs ya TZ. YAANI SAA 1 KAMILI USIKU WA TZ
Nimekufuma leo.Ahahahaha u wish
Mume wangu yupo Russia hayupo Tz
insta na fesibuku...bonge,mchagaWapi umenifuma?!
unakataa nini sa? sema naogopa tu ban[emoji125][emoji125][emoji125]Haha
Kwetu tumezaliwa mapacha
So utakula kwako zaidi kuniona spot
My twin ni fashion blogger
Me ni writer
Poyeeee
Ntarudi tu ngoja nipate cm mpya hii mzinguoAsante
Sasa mbona umetoka kwenye grup my?! La whatsapp?!
🙂🙂🙂🙂🙂🙂Money penny ni katibu muhtasi wa bossi wake James Bond.