STORY: Miss Tanzania

STORY: Miss Tanzania

Hii kitu inakua nzuri ila ndio inasikitisha kidogo hakuna majambozi kama ya peniela
 
HUKU SIJAKUSAHAU WAKUU TUNAMALIZA MOJA MOJA HII ILIKUJA KAMA SUBILIA PENIELA SASA KULE IMEISHA NA HII NOW LAZIMA IISHE

Ikifikia pale Happy na Vero walipozichapa, na vero akapoteza maisha, na Happy akashikiliwa na polisi kama muuaji unistue, ndio niliishiaga hapo kuisoma, manake patrick CK sijui alishindwaga kuiendeleza blog yake, story nying sana aliishia njiani
 
Lege fanya utupunguzie machungu ya msiba wa baba nyerere ata kwa episode kadhaa tafaadhali
 
baba wa taifa ananiuma sana jaman LEGE njoo upunguze haya machungu
 
ni

takuja mkuu ondoa shaka
fanya hivyo mkuu wengine sisi hii ndo burudani yetu pekee.
na je kuna nyingine yoyote uliyowahi kuiweka hapa ukiacha peniela na b4 i die.
 
Back
Top Bottom