Mikasa/story zangu bora zilizowahi kusimuliwa JF

Niambie Tu

Senior Member
May 29, 2022
162
272
Habari.

Katika Kujiunga kwangu Jf leo nakuletea mikasa yangu bora na yenye kufundisha iliwahi kusimuliwa hapa ndani.

1..umughaka "Tulichomfanya Yule mchawi hatakuja kusahau kwamwe maishani" huu ni mkasa bora kwa mwaka 2022 wenye maudhui mazuri na matukio mengi ya kichawi yenye kusisimua na unafundisha jinai gani mtu unaweza kufanya kazi katika mazingira magumu






2.Msimuliaji Anaitwa Konda msafi mkasa unaitwa "JINSI MAPENZI YA MTOTO WA KIZULU DURBAN SOUTH AFRIKA YALIVYOTAKA KUNITOA ROHO" Aisee hapa huu mkasa unafundisha jinsi gani Mapenzi ya kweli yanaweza kujitokeza baina ya watu wa nchi tofauti na wakasaidiana katika nyakati zote ngumu na raha





3.Msimuliaji Anaitwa Akili sina na jina la mkasa linaitwa "usilogwe kuondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutaka kutafuta maisha"

Jamaa anatufundisha kutoka katika comfortable zone sio jambo jepesi na mziki wake sio wa kitoto kuna vingi kama utasoma utajifunza hapa




4.Msimuliaji anaitwa analyse "naitwa analyse na hii ndio story yangu ya maisha"

https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1595587/



Kwangu mimi hii ndio mikasa bora kuwah kutokea humu jf.



Niambie na wewe mikasa yako bora!?
 
#mpwayunguvillage ile safari ya lindi lilikuwa linacopy na kupaste likapigwa chini na mwenye story yake.
 
🔥🔥🔥LWANDAMAGERE🌟🌟🌟🌟🌟
🔥🔥🔥UMUGHAKA 🌟🌟🌟
🔥ANALYSE⭐⭐
nk.
 
Back
Top Bottom