Stori za radi dhidi ya Kondoo ni za kweli?

Stori za radi dhidi ya Kondoo ni za kweli?

Inakuwaje Hawa Nyani Wa Sasa Hawataki Kubadirika Kuwa Watu?

Binadamu alivyobadilika na kuwa senema.......kuna nyani anataka kuwa mtu siku hizi.......shetani mwenyewe anatuogopa.........
 
Wazee wa zaman walikua wanatumia hekma kubwa sana kutukataza tusifanye kitu kama radi walituambia ni mnyama anakula watoto ili tusitoke nje wakat wa mvua na rad na hata ikifika usiku walikua wanasema vibaya kukata kucha hakuna ubaya wowote bali ni kiza walikua wanajua unaweza kujikata wanaona wangesema kiza ungekua mbishi au hata ukienda dukan usiku usiseme chumvi sema dawa ya jiko hapo sijui walimaanisha nini kwa mwenye uelewa atuambie
 
Hiyo ni kweli kama mchungaji kwenye mvua ya radi nyingi kondoo awe adui yako na kwa faida yako epuka kutembea katikati ya vijia,barabara na miti mikubwa hayo ndiyo maeneo ya radi kutua
 
Wewe Honey Faith kutoifahamu hii commonstory umri wako nadhani ndy umekugharimu, btw story husika sie tuliyozaliwa awali tumeikuta.
Angaa ungekua umeikuta kampuni kongwe ya Mafuta ya nishati e..g Petrol , Diseal iliyoitwa Agip basi story husika isingekusumbua!
Coz trademark ya Agip ilikua na picha ya mnyama mwenye miguu 6 sanjari na mdomoni akitoa miale ya moto!
Mnyama ambae ndiye tukiambiwa mwenye ability ya kupambana na Radi .

Nilitaka kumjibu hivyo hivyo...! Hii maada ni ya age go watoto wa juz haiwahusu
 
Elimu,elimu elimu,nilidhani elimu inasaidia watu kuchanganua mambo.
 
Radi ni umeme unavutana na ardhi yani ground nakusababisha lightning miale sambamba na thunder yani muungurumo na mara nyingi inapo strike basi inatafuta sehemu ambayo ni conductor ndio mana inampiga binadamu kama atakuwa eneo la wazi sana au miti kwani nayo ni kipitisha umeme japo kina resistance kubwa radi inapopiga tafuta mahali palipo na nyumba sio miti then tulia epuka kabisa maeneo ya wazi kwani radi ni Extra voltage na ikikupitia basi utageuka mkaa
 
Radi ni umeme. Kondoo ni mnyama mwenye uwezo mdogo wa kusikia. Inapopigwa radi ule mwungurumo wake humshitua sana kondoo na kumfanya aanze kuhangaika. Watu na imani zao wanahitimisha kuwa kondoo anapigana na radi. Siyo kweli. Kama isivyo kweli hadithi ya radi na nguo nyekundu.
 
Imanı Inapopambana na sayansı

Wale wanaoamını kuwa bınadamu alıtokea kwa adamu na hawa hawaamını kuwa bınadamu alıkuwa nyanı

Lakını mtu huyu huyu anaamını kuwa radı nı umeme ıla haamını kuwa radı nı mnyama

Inashangaza..
 
Radi ni umeme. Kondoo ni mnyama mwenye uwezo mdogo wa kusikia. Inapopigwa radi ule mwungurumo wake humshitua sana kondoo na kumfanya aanze kuhangaika. Watu na imani zao wanahitimisha kuwa kondoo anapigana na radi. Siyo kweli. Kama isivyo kweli hadithi ya radi na nguo nyekundu.
tuyuku kondoo hahangaiki pale radi inapopiga, ule mwanga, wa watu wa pwani wanaita umesa unapowaka kondoo husimama na kuinamisha kichwa, unapotokea muungurumo anainua kichwa na kuendelea na safari, ile kuinamisha kichwa wakati wa mwanga wa radi ndo watu husema anapambana na radi, lakini ule mwanga unapowaka kondoo husimama na kuinamisha kichwa, unapokuja muungurumo anainua kichwa anaendelea na mambo yake,
 
Ahsante sana mkuu kwa kunipa ufafanuzi zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom