Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Sijawahi hata kusikia hizo story
majigo nitafute tuondoane upweke hii hali sio nzuri
Back to history, binadamu wa kwanza alikua nyani, ni kweli?
Mkuu, Amini UsiAmini.. kila kiumbe kimejaaliwa na kipaji chake, Uwezo wake kiBilogyia pamoja na kuwa Mnyama au samaki au mdudu !!Ahsante Chief Sasa Vipi Kuhusu Habari Za Vita Vya Kondoo Na Radi?
Radi ni mnyama wewe, kuna mzee mmoja mganga maarufu sana yupo pale Ikwiriri Rufiji, ni mfugaji mzuri sana wa radi. Kama unabisha wewe nenda pale Ikwiriri Rufiji, muulizie mzee Kajunjumele.
Toka Udogo Hizi Habari Za Radi kupigana Na Kondoo Nimekuwa Nazisikia Sana Ila Sijawahi Thibitisha Hili. Kwanza Siamini kama Radi Ni Mnyama. Tena Anayeshuka Toka Angani Kuja Duniani. Wakaongeza Huyu mdudu (Radi) Ana Miguu 6, Kondoo Ana uwezo Wa Kumuona Na Kupambana Nae Mpaka Akakimbia Au Kufa Kabisa.
Kwa Yeyote Mwenye Uhakika Na Hili Anisaidie Niujue Ukweli.
Ahsante Jigo
Aisee Preta Rinda lako la Chrismas liko tayari je nilipeleke palepale tafadhali jibu nataka kusafiri!Ni kweli.......na ilikuwa hivi......
Kajunjumele? Kuna kijiji kimoja Unyakyusani huko Kyela chenye jina hilo......Strange coincidence!
kama radi ni mnyama atakuwa analiwa tu
Mkuu, Amini UsiAmini.. kila kiumbe kimejaaliwa na kipaji chake, Uwezo wake kiBilogyia pamoja na kuwa Mnyama au samaki au mdudu !!
KM ;- Mdudu kama "mbu" Mosquito Mbu huyu anauwezo wa kutambua |Blood type, Rangi ya ngozi, ana Xray machine ya kung'ata bila kujidhuru mwenyewe,,,,etc !!
Myama kama Mbwa huwa anauwezo wakutambua kwa kunusa harufu8, na kuwakashifu Viumbe shetwani/jini !!
Mnyama Ngamia ana uwezo wa kutambua umbali wa masafara....
Nyoka huua kwa sumu.....
Samaki hafungi macho yake 24/7....!!
na wanyama wengi wapo kiaina!!
Kwa hiyo ya kondoo ni kweli...kwa mtazamo wangu hainipi wasi.!
Sijawahi hata kusikia hizo story
Aisee Preta Rinda lako la Chrismas liko tayari je nilipeleke palepale tafadhali jibu nataka kusafiri!