TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
Mambo ya kabang nini?
Hahaha mpododo una raha yake haswa unapo piga stop injini, nyama lainiiiii
Mambo ya kabang nini?
Hii hapa:- https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/438354-wanaume-wa-huku-muache-mapozi.htmlThread gani? Hahaha .. Kumbe na yeye kaja huku .. Nitupie link ya hio thread
Wala mie sio bana, hebu nielekeze nimpeleke bibi akale baga.
He he he he he, huyu si ndio
Hahahaa. Wewe class met. .. Yule ndo unamuita bebi??? Hahahaaaa kha!!
Steers unafikiri ningetumia kiasi gani bana hadi niogope .. Kuna KFC so good imefungulia mwenge unaijua?
Kwanza ningemnunulia kahawa apandwe na manyege tu basi.. Anyway .. Hii ndio dawa ya wasiotaka kutuma picha zao kabla..... Bora classmet amechukua dead ball
Khah! Pale ilipo KFC ni Mwenge Kweli au ziko nyingi?
Mbona kuna uzi alianzisha mdada akiponda wanaume wa JF tuache mashauzi!!Hawa watoto wanaokuja kuomba urafiki hapa jf kama hajakupa picha take usikubali kukutana naye.. Juzijuzi hapa mtoto ni me m pm akakubali kwani aliweka mwenyewe tangazo kuwa anatafuta mtu.. Mtoto akasuggest tukutane steers.. Mimi wa temeke sjawahi fika hapo sema nkaona nijichanganye tu ila mtoto nkajua huyu mgeni wa hapa dsm kwani kuna viota vikali vipya kuliko hio steers ya long...
Basi wa temeke nikajichanganya jioni nikawahi. Kabisa ili akija anikute na simu yangu ikawa silence nkangooja ajekwanza ili nione mtu atakayenipogia nithaminishe kwanza kabla ya ku m face... Kikatokea kibonge mwanaume si mwanaume dume si dume .. Kikakaa kikatoa sim kupiga sim yangu ikaita . Mh sikupokea nikasepa nilipofika mitaa ya nssf nkajifanya kumpigia kumuuliza uko wapi ... Akaniambia usje umechelewa .. Nikasema bora.. Nikasepa zangu.. So guys watch out!!!!
Ina maanaa ubaya wa sura ni crime?
Sie tusio na sura tufanyeje? Plastic sajare?
Huu ni unyanyapaa kwa uumbaji, bora ungechuna tu sababu hakukukosea adabu ila hukuipenda sure yake.
Lakini kingine, kusema wadada wa jf, ina maana hapa hakuna wadada wakali kwa sura?
Akyanani sie vizee tunabaguliwa, nimeumizwa sana na hii sred.
Haha hao ndo men wa jf wakitoswa wanatoa maneno ya kashfa galz watch out kuna m1 alinipa no yake eti nimcal nilipompotezea akaniita kahaba so hopeless unampaje kahaba namba yako kama nawe siyo mteja wa makahaba?
Staki kumchambua sana dada wa watu hapa.. Thread yangu imejitosheleza.
Nimekuuliza unaijua KFC mpya?
Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF
Hawa watoto wanaokuja kuomba urafiki hapa jf kama hajakupa picha take usikubali kukutana naye.. Juzijuzi hapa mtoto ni me m pm akakubali kwani aliweka mwenyewe tangazo kuwa anatafuta mtu.. Mtoto akasuggest tukutane steers.. Mimi wa temeke sjawahi fika hapo sema nkaona nijichanganye tu ila mtoto nkajua huyu mgeni wa hapa dsm kwani kuna viota vikali vipya kuliko hio steers ya long...
Basi wa temeke nikajichanganya jioni nikawahi. Kabisa ili akija anikute na simu yangu ikawa silence nkangooja ajekwanza ili nione mtu atakayenipogia nithaminishe kwanza kabla ya ku m face... Kikatokea kibonge mwanaume si mwanaume dume si dume .. Kikakaa kikatoa sim kupiga sim yangu ikaita . Mh sikupokea nikasepa nilipofika mitaa ya nssf nkajifanya kumpigia kumuuliza uko wapi ... Akaniambia usje umechelewa .. Nikasema bora.. Nikasepa zangu.. So guys watch out!!!!
Retired Sister said:Wanaume wa huku muache mapozi
kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.
basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga tukutane saa kumi na moja jioni pale steers!
mimi saa kumi na nusu nilikuwa pale,kumi na moja ikafika hajafika na nusu bado basi akatokea classmate wangu wa college,nilikuwa sijamuona siku nyingi kweli since nilivoenda nje kusoma 2009.tukapiga story nikaondoka nae tukahamia kiwanja kingine.tumetoka toka tumeamua kuingia kwenye relationship.
yule jamaa wa huku akaendelea kunisumbua ila sina feelings nae tena. mwanaume gani huwezi kukeep appiontment kwenye first date? nahukuru kwa kuchelewa pia maana huyu classmate wangu yuko very hot! hapa sibanduki! labda aniache.
Mzee wa Rula said:Mbona kuna uzi alianzisha mdada akiponda wanaume wa JF tuache mashauzi!!
Nawe umeamua kuja na rivasi??