Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Status
Not open for further replies.
mie sijaipenda topic yako,
wadada,duniani kote amani imetoweka kwa sababu ya nyie wanaume ,ndio wadada wanatumia madawa mbali mbali kwa imani watabadilisha muonekano wa maumbile yao,mie kiuhalisia ni mnene sana eleven stones ila naamini kuna mtu atakayenipenda nilivyo,kama hanipendi asepe kimya kimya sio kuanzisha thread umepata nini sasa...:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
 
nimepata tetesi kuwa uyu msichana ni dada yake Rejao...ndugu yangu Rejao tutangea vizuri badae ukiwa na muda
 
Last edited by a moderator:
mie sijaipenda topic yako,
wadada,duniani kote amani imetoweka kwa sababu ya nyie wanaume ,ndio wadada wanatumia madawa mbali mbali kwa imani watabadilisha muonekano wa maumbile yao,mie kiuhalisia ni mnene sana eleven stones ila naamini kuna mtu atakayenipenda nilivyo,kama hanipendi asepe kimya kimya sio kuanzisha thread umepata nini sasa...:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
nisamehe mama ..sitarudia tena...vipi hujambo lakini? utakuwa na muda lini ?
 
mie sijaipenda topic yako,
wadada,duniani kote amani imetoweka kwa sababu ya nyie wanaume ,ndio wadada wanatumia madawa mbali mbali kwa imani watabadilisha muonekano wa maumbile yao,mie kiuhalisia ni mnene sana eleven stones ila naamini kuna mtu atakayenipenda nilivyo,kama hanipendi asepe kimya kimya sio kuanzisha thread umepata nini sasa...:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:

Wewe njoo kwangu mi na wanene damu damu usijione mpweke mi nimeumbwa kwa ajili yako.
 
First date zina mambo sana.

Ukikaa na mtu 15 minutes tu zinatosha hapo hapo ushajua huyu ni NDIO au HAPANA maana tabia haijifichi.

Mwengine unakuta binti amekuja wewe hujafungua hata mdomo ameshaongea maneno mia tatu.

Mwengine amewahi kwenye ki date 2 hrs before amekula na kunywa halafu anasubiria wewe ukija ulipe :biggrin:

Mwengine hata hajaulizwa anaanza akufunguka kuhusu wapenzi wake wa zamani na jinsi walivyomtenda...

Mwengine stori zake unamuona tu huyu kichwani sufuri! ukishaondoka pale unajisikia sijui kama umetua mzigo gani hizo ndio dates from HELL lol.
 
mie sijaipenda topic yako,
wadada,duniani kote amani imetoweka kwa sababu ya nyie wanaume ,ndio wadada wanatumia madawa mbali mbali kwa imani watabadilisha muonekano wa maumbile yao,mie kiuhalisia ni mnene sana eleven stones ila naamini kuna mtu atakayenipenda nilivyo,kama hanipendi asepe kimya kimya sio kuanzisha thread umepata nini sasa...:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:

Copy kwa The Boss na TIQO
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh
Umepatikana, ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini. Haya unajifanya kumponda mdada wa watu kumbe sifa zote anazo, yuleeee yuko na classmate mwenzake. Umeumbuka mzee mzima, confidence hauna ndio maana ukaja na gia eti yuko kama dume maneno kibaoooo!
Jipange utaishia kubwabwaja wenzako wanapata wapenzi wa ukweli humuhumu JF.
 
First date zina mambo sana.

Ukikaa na mtu 15 minutes tu zinatosha hapo hapo ushajua huyu ni NDIO au HAPANA maana tabia haijifichi.

Mwengine unakuta binti amekuja wewe hujafungua hata mdomo ameshaongea maneno mia tatu.

Mwengine amewahi kwenye ki date 2 hrs before amekula na kunywa halafu anasubiria wewe ukija ulipe :biggrin:

Mwengine hata hajaulizwa anaanza akufunguka kuhusu wapenzi wake wa zamani na jinsi walivyomtenda...

Mwengine stori zake unamuona tu huyu kichwani sufuri! ukishaondoka pale unajisikia sijui kama umetua mzigo gani hizo ndio dates from HELL lol.
kijana naona umeleta experience nyingi na umetupasa ambayo mengi tunakutana nayo hapa.kuna wanaoponda thread yangu ila hawajui kuwa nimewasaidia baadhi ya watu hapa.
 
Teh teh teh teh
Umepatikana, ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini. Haya unajifanya kumponda mdada wa watu kumbe sifa zote anazo, yuleeee yuko na classmate mwenzake. Umeumbuka mzee mzima, confidence hauna ndio maana ukaja na gia eti yuko kama dume maneno kibaoooo!
Jipange utaishia kubwabwaja wenzako wanapata wapenzi wa ukweli humuhumu JF.
haha ha ha ...multiple IDs
 
First date zina mambo sana.

Ukikaa na mtu 15 minutes tu zinatosha hapo hapo ushajua huyu ni NDIO au HAPANA maana tabia haijifichi.

Mwengine unakuta binti amekuja wewe hujafungua hata mdomo ameshaongea maneno mia tatu.

Mwengine amewahi kwenye ki date 2 hrs before amekula na kunywa halafu anasubiria wewe ukija ulipe :biggrin:

Mwengine hata hajaulizwa anaanza akufunguka kuhusu wapenzi wake wa zamani na jinsi walivyomtenda...

Mwengine stori zake unamuona tu huyu kichwani sufuri! ukishaondoka pale unajisikia sijui kama umetua mzigo gani hizo ndio dates from HELL lol.

Hahahahaha Maundumula zihurumie hizi mbavu zangu khaaaaa!..... Eti anawahi kwenye ki date 2 hrs before hahahahaha..... Duniani kuna mambo!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom