the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,117
Hahaa, i hope kifo cha Rehema kitambadilishaHahaa, sikio la kufa...
the Legend☆
Hahaa, i hope kifo cha Rehema kitambadilishaHahaa, sikio la kufa...
Hahahahaha hahahahahaRehema ana karoho ka uchoyo tuu, ona kafa na utamu wake.. Angemwambia Bilal atumie kondomu mambo yangekua mukide...
Ukimwi kitu gani bhana, watu wananjunjana kama kawaida...
Hadithi nzuri sana, hongera Mkuu.Mwisho wa 'Laiti Ningejua!' ndiyo mwanzo wa stori nyingine ya kusisimu, "Kizungumkuti!", kaeni mkao wa kula...
Ahsante sana Bishop Mungu akilinde kipaji alichokujalia uendelee kufanya makubwa zaidi, akuzidishie moyo wa kutujali wasomaji wakoMwisho wa 'Laiti Ningejua!' ndiyo mwanzo wa stori nyingine ya kusisimu, "Kizungumkuti!", kaeni mkao wa kula...
koma bilali hayawani wewe,uvumilivu kwako ni ziroLaiti Ningejua! 32
Mtunzi Bishop Hiluka
Japo alikuwa na umbo kubwa lakini kifua chake kilibeba matiti ya wastani na tumbo lake lilikuwa flati huku kiuno chake kikiwa chembamba mithili ya dondola. Miguu yake ilikuwa mizuri mno iliyotazamika.
Mwanadada yule alikuwa amevaa gauni zuri la kitenge na alikadiriwa kuwa na miaka kati ya 25 na 28. Alikuwa amesimama pale akimtazama sana Rehema kama aliyekuwa akimfananisha.
Mara Rehema akainua uso wake na kumtupia jicho yule mwanadada kisha akanitazama kwa makini.
Endelea...
Nilimtazama tena yule mwanadada kwa makini lakini sikumfahamu kabisa hivyo sikuwa na hofu kama angeweza kuwa mmoja wa wasichana niliofahamiana nao. Nikageuza tena shingo yangu kumtazama Rehema ambaye aliendelea kumtazama yule mwanadada katika namna ya kumfananisha. Wakaendelea kutazamana kwa makini zaidi kwa kitambo kirefu.
“Unamfahamu?” nilimuuliza Rehema huku nikimkazia macho.
“Namkumbuka, lakini sura yake inanijia na kutoka,” alisema rehema huku akiendelea kumtazama yule mwanadada.
Yule mwanadada akatafuta kiti akaketi huku akigeuka tena kumtazama Rehema, kisha akaachia tabasamu pana na kuinuka akitufuata pale tulipoketi.
“Rehema, umenisahau?” yule mwanadada aliuliza huku akiketi kwenye kiti karibu ya Rehema.
Rehema akaachia tabasamu. “Sura naikukumbuka lakini umen’toka kidogo. Nikumbushe basi.”
“Miye Joyce.”
Rehema akamtazama kwa makini na kuonesha kumkumbuka. “Joyce… Mgaya, siyo?”
“Ee… Joyce Mgaya. Si tulikuwa pamoja pale Forodhani Secondary au umesahau?”
“Ndiiiiyooo! Mtumeeee! Ndiyo uko hivi, babu wee! Umekuwa bonge!”
Joyce akacheka sana huku akimshika Rehema begani. “Ndiyo hivyo tena! Nimeridhika mwenziyo!” alisema Joyce na kugeuza shingo yake kunitazama kwa makini huku akiangua kicheko cha kishambenga. Rehema akatabasamu tu.
Nilimtupia jicho la wizi Joyce hukunami nikitabasamu.
“Vipi, ndiye shemegi huyu?” Joyce aliuliza kwa bashasha huku akinikazia macho.
“We nawe! Hujaacha tu, hata hungoji kutambulishwa?” Rehema alisema huku akiguna na kugeuka kunitazama kisha akaachia tabasamu.
“Aa babu, ngoja ngoja yaumiza matumbo ati!”
“Okay… ni shemeji yako mtarajiwa,” Rehema alisema huku akinishika mkono wangu na akuviminya minya vidole vyangu vya mkono.
Joyce akanyoosha mkono wake kwa bashasha kunisalimia. Na mimi nikanyoosha mkono wangu na kukutanisha na mkono wake. Tukasalimiana.
“Ooh shemegi, nimefurahi sana kukufahamu!” alisema Joyce kwa uchangamfu. Nikaachia tabasamu huku nikibetua kichwa changu bila kusema neno.
“Umeshaolewa, Joyce?” Rehema alimuuliza Joyce huku akimtazama kwa makini.
“Hee! Zamani gani! Lile balaa lilipokwisha tu nikaolewa. Si uliyasikia yaliyonikuta mwenziyo baada ya kifo cha mama yangu?”
“Niliyasikia! Pole sana mwaya! Halafu nikasikia sakata lile lilikufanya ukalazwa Muhimbili. Ni kweli?”
“Kweli! Yule mama aling’ang’ania mpaka baba akanileta bila ya miye mwenyewe kupenda. Lakini sikukaa siku nyingi nikatoroka,” alisema Joyce na kuachia kicheko cha kishambenga.
“Lo! Pole sana, na yule kaka’ko… Michael, yuko wapi siku hizi?”
“Alikwenda zake Sauzi Afrika! Yule ndiyo basi tena, nasikia ana jimama la Kisauzi linamlea!” Joyce alisema na kuachia tena kicheko cha kishambenga.
Waliendelea kuongea na kukumbushana mengi tangu walipokuwa shule, wakati huo mimi nilikuwa kimya tu nikiwasikiliza. Joyce alikuwa mcheshi na muongeaji sana, kiasi kwamba ilikuwa vigumu kumchoka.
* * * * *
Jioni ya siku ile baada ya kuachana na Rehema nilikuwa nimetulia sebuleni kwangu juu ya sofa nikiwa nawaza sana, kwani pamoja na juhudi zote za kumshawishi sana Rehema lakini aliendelea kusisitiza kuwa mbali nami.
Pale sebuleni nilikuwa nimewasha runinga na muda ule nilikuwa nimeweka chaneli iliyokuwa ikionesha kipindi cha wanyama. Japo nilikuwa nimetulia na macho yangu yalikodolea kwenye runinga lakini ukweli sikuwa nikiona chochote kwenye ile runinga.
Muda wote nilikuwa namfikiria Rehema tu na sikujua nifanye nini ili kuurudisha moyo wake kwangu.
Mbele yangu juu ya meza kulikuwa na chupa kubwa ya konyagi, chupa ya soda Sprite na bilauri moja. Tayari nilikuwa nimeshakunywa nusu na niliendelea kumimina pombe kwenye bilauri na kuchanganya na soda, kisha nikanyanyua bilauri na kuinywa pombe yote iliyomo ndani yake na kuikita ile bilauri juu ya meza huku nikisisimkwa.
Kijasho kikaanza kunitoka usoni, nikaijaza tena pombe ile bilauri na kuitazama kwa makini lakini kabla sijainywa nikasikia sauti ya mtu akigonga mlango. Nilinyanyuka na kwenda kuufungua ule mlango kisha nikachungulia nje.
Rehema alikuwa kasimama mbele yangu huku akiniangalia kwa wasiwasi jinsi ambavyo jasho lilikuwa linanitoka usoni kutokana na ile pombe niliyokunywa. Nilibaki nikimkodolea Rehema kwa macho ya kilevi. Rehema alinitazama kwa makini na kushusha pumzi za ndani kwa ndani.
Nilimpisha nikikaribisha ndani, bila kujivunga Rehema aliingia ndani na kuketi kwenye kochi huku akinitazama kwa makini. “Unakunywa pombe?” aliniuliza kwa mshangao mkubwa.
Sikumjibu, niliinua tena ile bilauri nikaigida ile pombe yote na kuikita ile bilauri juu ya meza huku nikisisimkwa sana. Rehema alitingisha kichwa chake kwa huzuni huku akiinuka na kuichukua ile chupa ya konyagi akaiondoa pale mbele yangu.
“Kwa nini unakunywa pombe? Ni kipi kibaya nimekifanya hadi uchukue uamuzi huu wa kunywa pombe?” Rehema aliniuliza huku akinitazama kwa makini. Sikumjibu bali nilitulia tu kama sanamu huku nikimwangalia kwa matamanio.
Akiwa bado amezubaa akinitazama kwa mshangao nilimsogelea nikapeleka mikono yangu na kuipapasa shingo yake. Rehema aliendelea kunitazama, nikashusha mikono yangu na kuanza kumgusa matiti yake madogo yaliyosimama wima yakijitahidi kunidhihaki. Na yalifanikiwa hasa hasa kunikebehi.
Nikamgusa huku na kule akiwa ametulia tu akinitazama. Nilipotaka kumvua nguo akanizuia na alipogundua nilichokuwa nataka kufanya akagutuka na kujaribu kujitoa kwenye mikono yangu. Sikutaka kumpa nafasi, nikazidi kumng’ang’ania.
Nilikuwa nimekunywa pombe kiasi hivyo sikuwa na aibu, nikaamua kutumia nguvu, niliamua kumbaka kama angeendelea kushikilia msimamo wake na kutoniruhusu kuzitoa nguo zake kistaarabu.
Pepo mbaya wa ngono alikuwa amefanikiwa kuikamata nafsi yangu, sikutaka tena kungoja, nikazirarua nguo zake kisha nikaichana sidiria yake, na hatimaye nikaiondoa nguo yake ya ndani, sasa akabaki mtupu kabisa kama alivyozaliwa huku harufu nzuri ya manukato yake ikinishawishi kuendelea na hatua inayofuata.
Nilipouona mwili wake mtupu msisimko wa mapenzi ukanitambaa mwilini na sasa mapigo yangu ya moyo yakaanza kwenda mbio isivyo kawaida. Nilimtazama kwa uchu kama vile fisi atazamavyo mzoga. Rehema alihaha huku na kule asiamini kile kilichokuwa kinatokea mbele yake.
“Please, let me go. Leave me please!” (Tafadhali, niache niende. Niache tafadhali) rehema alilia kwa uchungu huku akinibembeleza. Sikutaka kabisa kumsikiliza.
Akajitahidi kujitoa mikononi mwangu na kufanikiwa. “Have you gone crazy?” (Umechanganyikiwa?) Rehema aliniuliza huku akinitazama kwa hofu.
Akataka kukimbilia nje uchi lakini nikamdaka mkono na kumsukumia juu ya kochi ili niweze kutimiza lengo langu… Kamwe sikuwahi kumwona binti yule akiwa katika uoga namna ile! Alikuwa amekodoa macho yake… na alikuwa anatetemeka.
Niliitoa fulani niliyokuwa nimeivaa na kuitupa chini kisha nikafungua mkanda wa suruali na kuivuta suruali yangu nikiiacha idondoke chini, ikadondoka na kubakiwa na boksa.
Muda ule sikuwa na huruma hata kidogo, nilichotaka ni kitu kimoja tu, ngono. Nifanye naye ngono kisha akinichukia na achukie. Nikazidi kumtazama kwa matamanio huku nikihema kwa nguvu kutokana na ashki, nikamrukia.
Mara akatokwa na kelele kubwa zilizonishtua sana ambazo sikuwa nimezitegemea kabisa. Sikujua kama angeweza kufanya kitendo kile.
“Ananibakaaaaa! Nisaidieeni ananibaaaka!” Alipiga kelele kubwa, nilimshika nikajaribu kumziba mdomo lakini alining’ata na kunifanya niugulie kwa maumivu. Kisha akaendelea kupiga kelele ambazo ziliwafanya wasamalia wema kukimbilia pale zilipokuwa zikisikika kelele.
Mara mlango wangu ukapigwa kumbo na watu wakaingia na kunikuta nikiwa juu ya Rehema, wakaninivagaa na kuanza kunishushia kipigo. Nilijaribu kujitetea lakini walizidi kunishushia kipigo hadi nikapoteza fahamu na sikujua tena kilichoendelea baada ya hapo.
Itaendelea...
Cc the_legend Norshad bobefu zoefu Pablo PAKAYA Ibney blackstarline Bryece Tater, Bigjahman moneytalk marybaby, nipo2, ram, kisukari, Smart911, Madame S, carbamazepine, Astelia, culture gal , Prisoner of hope, Mine eyes, kuku mweus, Thad, hearly, Shunie, moneytalk,Tumosa, Mine eyes, Kudo, swahiba92, ludist, Toyota escudo, Clkey, macson3, Thad, boga la kiangazi, macson3, LEGE, Smart911, Richard irakunda, skfull, popie, Krizy Beat, hearly nipo2 MWINDAJI HARAMU kakhulu Katavi Norami mbududa iron2012 popie Bughy Harry Kinondoni Sweetheart SUPER EMILY
[emoji23] [emoji23] [emoji23] minyege anaitoa wapi bwana akati kila siku ananyapu mpyaBilali kanikera sana alivyokuja kubadilika, amekua na nyege za kiboya
the Legend☆
Tangu alivyoonjeshwa na Jameela kila anaemuona anatamani kupiga, story ingeendelea am sure angetaka kupiga mpaka Joyce[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] minyege anaitoa wapi bwana akati kila siku ananyapu mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kashakoma mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na alishamtamaniTangu alivyoonjeshwa na Jameela kila anaemuona anatamani kupiga, story ingeendelea am sure angetaka kupiga mpaka Joyce[emoji2][emoji2][emoji2]
the Legend☆
[emoji23][emoji23][emoji23]na hilo ndo tatizo la kuchelewa kuanza kugegeda, kunakua na kaulimbukeni flani hivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kashakoma mkuu
the Legend☆