usiambini
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 632
- 567
Si kila anae vaa kanzu ni sheikh.Hichi ni kivazi tu hasa watu wazima hupendelea sana.Pia kwa kule daresalama ni fashion tu si unawaona Diamonds,lemutuz ,mwanafa na wengineo?Astaghafir [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]shehe hapo nyuma amesalimika kweli![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]