Stone Town, Zanzibar alasiri hii...

Stone Town, Zanzibar alasiri hii...

mzee mwenzangu na mimi karudisha mikono nyuma na kijikapu chake hana hamu
 
Sasa wewe punguani unauliza nchi ya Waislam kwa kigezo gani, ilikuwa hufahamu kuwa 98% ya Wazanzibari ni Waislam.
Unataka tujadili kwa hoja au matusi?
Wapi kwenye katiba au maandishi wamesema watu wa dini fulani wakifikia asilimia fulani, wanakua wana mamlaka kuwazidi wengine?
Je tuseme Tanzania bara (Tanganyika) ni inchi ya wakristo?
Maana ni wengi huko..
 
Kuna Tanganyika na Zanzibar ni nchi mbiki tofauti. Zanzibar wana katiba yao. Tanganyika ndiyo hatuna katiba yetu, tunafata ya Muungano.

Nani alikudanganya Tanganyika Wakristo ndiyo wengi?

Si kila kitu kinawekwa kwenye katiba. Unapoambiwa Mwanza ni usukumani, ipo kwenye katiba?

Kama unabisha Zanzibar siyo nchi ya Waislam nenda mwezi wa Ramadhan ukafakamie mitaani ujionee.
 
Nakuuliza tena 90% ya mahoteli ya ufukweni Zanzibar ni ya nani? Kama hujui sema tu hujui. Kama unajuwa basi utakuwa jibu la swali lako umeshalipata.
Nakuuliza swali, unaniuliza swali! Nakuuliza tena, wanatumwa na nani?
 
Kuna Tanganyika na Zanzibar ni nchi mbiki tofauti. Zanzibar wana katiba yao. Tanganyika ndiyo hatunankatiba yetu, tunafata ya Muungano.

Nani alikudanganya Tanganyika Wakristo ndiyo wengi?

Si kila kitu kinawekwa kwenye katiba. Unapoambiwa Mwanza ni usukumani, ipo kwenye katiba?

Kama unabisha Zanzibar siyo nchi ya Waislam nenda mwezi wa Ramadhan ukafakamie mitaani ujionee.
Nikutoe wasiwasi,
Napoandika hapa nipo Zanzibar,
Mjini Unguja, wilaya ya mjini magharibi ,kijichi.
Hujajibu hoja yangu,
Wapi wamesema Zanzibar ni nchi ya kiislamu, au ya waislam?
Kama unabisha Tanzania kua na wakristo wengi, sikulaumu .
 
Karudie majibu yangu. Wapi nimesema Zanzibar nchi ya Kiislam? Au hata unachokisoma hukielewi?
 
Kwa kawaida nchi za kiislamu ,katiba zao zimeainisha hilo so hakuna mkanganyiko,
Hili la Zanzibar umelitoa wapi, au utashi wako tu?
 
Anamtesa Shekh jamani, ona alivyojishika mikono kwa huruma.
 
Nakuuliza tena 90% ya mahoteli ya ufukweni Zanzibar ni ya nani? Kama hujui sema tu hujui. Kama unajuwa basi utakuwa jibu la swali lako umeshalipata.

Mimi sijui, niambie wanatumwa na kina nani?
 
Back
Top Bottom