Duh 😂😂😂Duh Jamaa kilaza mno
Wewe mwerevu sana ila kujiamini hujiamini na Ombwe lenu nyie werevu ndio linazibwa na Wapumbavu wenye kujiaminiHii nchi ina wapumbavu wengi sana wanaojiamini kisa ni machawa
Si kutred huyu ni kilaza hapo yupo seriousanataka kutrend?