Steve Nyerere asema yeye na Wema Sepetu hawako kusubiri Teuzi, adai Chawa ni mdudu mchafu lakini wenye Degree 5 hupendelea kuwa Chawa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Steve Nyerere amesema yeye siyo Chawa bali ni influencer na hatamani Kabisa kuwa Chawa kwa sababu Chawa ni mdudu mchafu Anayeishi kwenye uchafu

Aidha Steve amesema yeye na Wema Sepetu hawako kusubiri Teuzi bali kuisaidia CCM na Rais Samia kufikia Malengo

Utakuta Mtu ana degree 5 akishalewa anajitangaza yeye ni Chawa, amelalamikia Nyerere

Source: Clouds media

Kwako Lucas 😂😂😂
 
CCM imejaa mashetani tupu
 
""UNGONOFU HUMZEESHA MWANADAMU MAPEMA SANA ""
-
kuyaweka mawazo kila wakati kwenye tako nene ni hatari sana.
 
sijui kwa nini wanachadema huita watu machawa

nafikiri hili ni shambulio na yapaswa kuonywa vikali
 
Back
Top Bottom