Stella Manyanya amkaba koo Dr Slaa

Stella Manyanya amkaba koo Dr Slaa

Gaijin acha ubishi, hata mimi ukunizingua nakuchana live, iwe kwa maneno, sms au mail maadam ujumbe wangu uupate kwa wakati ninaouona mimi sahihi. Sasa kama Mama aliona hali hovyo huko kijijini wakati huohuo 'injinia' anaongea utumbo bungeni angemkawiza?
Mkuu hapa issue sio kwamba alichofanya ni kibaya issue ni kwamba ni sawa na kumtupia jiwe nyani akalidaka akakuponda nalo hapa wewe ndio utakayeumia zaidi
 
Kama wanajuana its okay lakini sometimes kwenye hili Game la Siasa sio vema kuwapa wenzako makombora ambayo wanaweza kuyabadilisha au kuyatumia kwenye Propaganda

ukweli unauma ndio maana manyanya kapayuka...kwa kifupi ni kuwa wabunge wengi wa ccm hawasomi tafiti na kujua ukweli wa mambo..wengi wao mle ndani hawajui kitu kazi kushambulia watu.....alichoambiwa ni kweli....na angekuwa mkweli huyo manyanya angesema humo bungeni kile kilichotumwa kwake.....maana kaambiwa ukweli....
 
Hivi kumbe neno unafiki ni baya eeh!! nilikuwa sijui. Mwishowe tutaanza kuikana lugha yetu!!

Sasa kama mtu nim mnafiki tumuiteje mwalimu? labda utusaidie nenoi mbadala.

Ulisikia neno mnafiki zuri?

Kuna adabu ya kuzungumza na watu, na kuwaita wanafiki, waongo, wazandiki, sio moja ya adabu hizo.
 
Nope, i am just wishing slaa to be a man enough to ask his wife and clarify the matter... if he leaves this to josephine yanaweza kuishia kwenye mipasho ya wanawake

that is the stand i would take being a leader and the head of family...

Mzee Makini; nashauri tu kuwa issue kama za Manyanya take them with a pitch of salt. Kwa jinsi Manyanya alivyomsema Dr. Slaa bila title yake, amemuaddress binafsi kama alitamka hayo, alitamka kama institution hivyo Manyanya knows what she is saying ie personal. Ndiyo maana hata SMS ni personal.

Kwa maoni yangu naungana na baadhi ya wachangiaji humu kutambua issue ya uelewa wa wananchi dhidi ya wabunge wao wanapopewa dose na akina Dr. Slaa kwenye harakati za kuwaelimisha wananchi.

Msameheni injinia Manyanya msg yake kwetu ni kuwa harakati za CDM zinamuathiri which is expected and intended
 
Mbona hajatuambia hiyo sms imeandikwa nini jamani? Haileti sense, kama ametukanwa kwani bungeni ndani kuna kutuo cha polisi na mahakama? Duh! Hili taifa 99.9999999% watu wake ni vilaza. Nashukuru mi nipo kwenye percent iliyobaki.
 
Ulisikia neno mnafiki zuri?

Kuna adabu ya kuzungumza na watu, na kuwaita wanafiki, waongo, wazandiki, sio moja ya adabu hizo.

Naomba unisaidie kujua adabu ya kuzungumza na mtanzania aina ya eng.,manyanya kwakuwa kure kwetu adabu niliyofundishwa ni kusema ukweli, nyeupe ni nyeupe tu!!

Na inapotokea mtu ni muongo, mzandiki, ama mnafiki natakiwa kumuitaje? natumia adabu gani kumueleza sifa yake?? ni hayo tu mwalimu.
 
This tarnishes her good image completely!hapo mwanzo sikujua kama huyu mama ni non sense kiasi hichi!shame upon you!!
 
Mtani wangu Mwita........Nijuavyo mimi Josephine ni mwanasiasa hasa,tena wa jukwaani,mara nyingi wakati wa kampeni alikuwa akihutubia kwenye majukwaa na hata wakati wa maandamano ya Arusha ni mmojawapo wa walioshiriki na kupigwa na polisi na baadaye kukamatwa na mpaka sasa ni mmojawapo wa washtakiwa wa ile kesi iliyopo mahakamani......Na hata huko kijijini kwa Manyanya alienda kisiasa,wakati wa ziara ya operesheni Sangara......................Kuhusu speculation....nadhani hukunielewa vizuri mkuu wangu,soma posts za mwanzoni za thread hii utaona nini namaanisha,kuna watu wamedai kwamba Josephine na Stella wanamgombea Wilbroad Slaa,PHD kimapenzi(sasa sio speculations hizi)?......Wengine wanadai Stella alitaka mahusiano na Dk.Slaa Josephine akastuka..........Angalia pos za mwanzo utaona..........Otherwise,cheers.
aaaa mtani unaniangush an. you cant swallow everything here.
 
Kwenye sms hapo mbona hapajatulia. Bifu gani na mchumba wa Rais wa Ukweli!! Stella aseme ukweli!!
 
Naomba unisaidie kujua adabu ya kuzungumza na mtanzania aina ya eng.,manyanya kwakuwa kure kwetu adabu niliyofundishwa ni kusema ukweli, nyeupe ni nyeupe tu!!

Na inapotokea mtu ni muongo, mzandiki, ama mnafiki natakiwa kumuitaje? natumia adabu gani kumueleza sifa yake?? ni hayo tu mwalimu.

Ukitaka kuelewa somo la adabu tuanze na kufikiri unazungumza na wazazi wako. Kama mama yako muongo, utamwita muongo au utamtafutia neno au maneno mengine ya kufikisha ujumbe wako? Kama baba yako mnafiki jee? Hiyo nyeupe ni nyeupe uliofundishwa kwenu unaitumiaje hapo kwa wazazi wako?

Ukishajua hapo tutasogea stage ya pili ya somo la adabu za mazungumzo
 
Mbona hajatuambia hiyo sms imeandikwa nini jamani? Haileti sense, kama ametukanwa kwani bungeni ndani kuna kutuo cha polisi na mahakama? Duh! Hili taifa 99.9999999% watu wake ni vilaza. Nashukuru mi nipo kwenye percent iliyobaki.
hiii ni nini? unakera banaaaaa.soma post zote kwa makini before

Ni kweli nilimtumia msg.nilimwambia hivi.

Apunguze ushabiki na unafiki anapokuwa anazungumzia hoja bungeni kwani hata katika kijiji chake watu ni masikini sana badala yake aongee uhalisia na si nadharia.Anadhalilisha fani yake.

Hii ni baada ya mimi kwenda kijijini kwake.

she can prove me wrong.
 
Haijalishi, utakuwa ni mkosefu wa ustaarabu vile vile. Huwezi kumwambia mtu "acha unafiki" kisha ukasema hakuwa akitafuta shari.

Manyanya si mstaarabu kwa kuwa haikuwa na mantiki ya kutangaza bungeni, lakini na Josephine nae ustaarabu haujui vile vile

nadhani ni ustaarabu kaufanya mama josephine....ila juha zaidi ni huyo aliyetangaza bungeni....maana kama alitka kuijua kweli angepiga simu mara baada ya kuona hiyo sms nakumuuliza ni kwa nini josephine anasema hivyo na maeneo gani manyanya hafanyi vizuri...nina uhakika josephine angemwambia kuwa huko unakotoka hali ni mbaya wapiganie watu wako.....lakini yeye alipoona sms basi nadhani alitumia njia ya makato ya kujifanya kama anatuma m-pesa, au tigo-pesa ili ajue ni nani aliyetuma sms maana zinarudisha jina...au alienda kwenye mtandano husika wa mtumiaji .......yote kwa yote manyanya kaambiwa ukweli na ni wabunge wengi wanaonge autumbo humo wakati majimbo yao yako hovyo....refer mbunge anayetoka jimbo la kilindi na kile alichokisema jana mjengoni ndo utajua ccm wengi mle wanashambulia watu
 
Huyu si injinia? sasa udigirii umekufa au vipi?
Mkuu ukiingia ccm hata kama ni profesa lazima kuna amount flani ya loss kichwani ikupate. Ni sawa na betrii 1 mpya ukaichanganye kwenye circuit (sakiti) ya betri chakavu, ile mpya hunyonywa nguvu na kushushwa kiwango sawa na hizo chakavu. Jaribu kwenye tochi inayotumia hizi betrii za kawaida uone.
 
nadhani ni ustaarabu kaufanya mama josephine....ila juha zaidi ni huyo aliyetangaza bungeni....maana kama alitka kuijua kweli angepiga simu mara baada ya kuona hiyo sms nakumuuliza ni kwa nini josephine anasema hivyo na maeneo gani manyanya hafanyi vizuri...nina uhakika josephine angemwambia kuwa huko unakotoka hali ni mbaya wapiganie watu wako.....lakini yeye alipoona sms basi nadhani alitumia njia ya makato ya kujifanya kama anatuma m-pesa, au tigo-pesa ili ajue ni nani aliyetuma sms maana zinarudisha jina...au alienda kwenye mtandano husika wa mtumiaji .......yote kwa yote manyanya kaambiwa ukweli na ni wabunge wengi wanaonge autumbo humo wakati majimbo yao yako hovyo....refer mbunge anayetoka jimbo la kilindi na kile alichokisema jana mjengoni ndo utajua ccm wengi mle wanashambulia watu

Tuwe wakweli, huwezi mtu akakuita mnafiki kisha ati umpigie simu wewe kwa upole umumuulize kwa nini akakwita mnafiki. Kwa hili Josephine hateteeki, alikosa ustaarabu. Na Manyanya nae ndo kabisa, hata definition ya neno ustaarabu halijui
 
Mzee Makini; nashauri tu kuwa issue kama za Manyanya take them with a pitch of salt. Kwa jinsi Manyanya alivyomsema Dr. Slaa bila title yake, amemuaddress binafsi kama alitamka hayo, alitamka kama institution hivyo Manyanya knows what she is saying ie personal. Ndiyo maana hata SMS ni personal.

Kwa maoni yangu naungana na baadhi ya wachangiaji humu kutambua issue ya uelewa wa wananchi dhidi ya wabunge wao wanapopewa dose na akina Dr. Slaa kwenye harakati za kuwaelimisha wananchi.

Msameheni injinia Manyanya msg yake kwetu ni kuwa harakati za CDM zinamuathiri which is expected and intended
nimekusoma mkuu pamoja na wadau walionishauri na nikashaurika na kubadili usemi wangu

with JF, there is a lways something new to learn and i gained one today kwenye hii thread

we fuatilia utaona kuna post nilishasema nimewithdraw proposal yangu

as said by G, the best way to treat manyanya ni ku-ignore

But between the lines nilikua nina ujumbe pia kwa josephine, aache au apunguze ule undava wa kiswahili, she is with one of the greatest men of the moment
 
Eeeeh! Na sisi bana,These are just trivial and absolutely solvable issues...no wonder hii thread imefika huku na inaendelea tu!

As for the so called Engineeer whoever.....It seems Chadema unleashed emotional laceration and you were thrown into a state of utter catalepsy.You had inured yourself in the aqua of self abnegation and immolation just to give credible representation to the down-trodden(Poor Tanzanians)..Huoni aibu kuongelea issue kama hizi bungeni? Some people are funny,shah!

wewe ungepata ule uenyekiti wa bavicha sipati picha....anyway turudi kweye mada
 
Stella Manyanya atema cheche Bungeni akimtuhumu Dr Slaa kwa kuwafundisha wananchi wasifanye kazi wakati yeye amewahamasisha wananchi wa kijiji chake (hakukitaja) wajitolee kufanya kazi za maendeleo, anasema ameudhiwa sana na kauli ya Dr Slaa kuwaambia wananchi wakisikia harufu ya chakula kizuri basi kinakuwa kimepikwa kwa mbunge.

Pia amemuonya anayeitwa Mchumba wa Dr Slaa kwa kumuandikia SMS za kumtukana, anasema eti alifuatilia hizo SMS akakuta zimetoka kwa Josephine Emmanuel.

Najiuliza hivi wabunge wa CCM hawana mambo ya kuchangia zaidi yakuingiza personalities?
...........wanaongelea haya..... halafu wanapata posho ya kukaa......inatia uchungu sana......jamani waheshimiwa tumueni vizuri muda wetu bungeni:A S cry:
 
Tuwe wakweli, huwezi mtu akakuita mnafiki kisha ati umpigie simu wewe kwa upole umumuulize kwa nini akakwita mnafiki. Kwa hili Josephine hateteeki, alikosa ustaarabu. Na Manyanya nae ndo kabisa, hata definition ya neno ustaarabu halijui

now we are speaking the same language mwalimu.....langekuwa si mtu wa shari angepiga simu kuuliza.....mtarabu yeyote angefanya vile...na kama angetukanwa pale baada ya kupiga simu hapo tungesema josephine hakuwa mstaarabu lakini mpaka sasa ni msaarabu sana....nasubiri majibu ya jk juu ya sms yangu hap ndo ntajua kama ni mstaarabu au ntaitwa mhaini nataka kumung'oa madarakani
 
Ukitaka kuelewa somo la adabu tuanze na kufikiri unazungumza na wazazi wako. Kama mama yako muongo, utamwita muongo au utamtafutia neno au maneno mengine ya kufikisha ujumbe wako? Kama baba yako mnafiki jee? Hiyo nyeupe ni nyeupe uliofundishwa kwenu unaitumiaje hapo kwa wazazi wako?

Ukishajua hapo tutasogea stage ya pili ya somo la adabu za mazungumzo

Mwalimu nimekupata lakini nachoshindwa kukushangaa ni kwamba unazunguka saaana.

Mimi nimeomba unisaidie mbadala wa maneno kama mnafiki, muongo na mzandiki.

Usisahau kwamba hapa tunatumia mfano hai wa josephine na manyanya ambao hawana uhusiano wa baba mama na mtoto. Unapozungumzia baba au mama na mwana ni kitu kingine tofauti na unapozungumzia mwanasiasa wa kitanzania tena asiyejali maslahi ya watanzania wenzake anaotakiwa kuwawakilisha na kuwasemea.

Hizi lugha laini ndizo zimetufikisha hapa tulipo, kwamba mtu anasema uongo badala ya kumwambia ukweli kwamba kasema uongo sisi tunatafuta msamiati wa kulainisha uongo na kusema ulimi umeteleza kidogo, au amepitiwa au wasaidizi wake wamemuangusha!!! hii misamiati ya kupoteza ladha ya ukweli imefika wakati tuachane nayo, watu waambizane ukweli ili kuleta uwajibikaji.
 
Back
Top Bottom