Stella Manyanya amkaba koo Dr Slaa

Stella Manyanya amkaba koo Dr Slaa

Hivi jamani mnaona wivu on bhalf of demu wa slaa? Yaani mnapenda vibaya angalieni jamani msijemkapotea ni ushauri tu.
 
Akili ya kawaida ya mtu ambaye hajawahi kwenda hata darasa la chekechea anajua kuwa Dr Slaa hawezi kusema watu wasifanye kazi. No way.
Pili, kama alikuwa serious, angetoa hizo numba za Josephine hadharani ili tujue ni kweli.
Tatu, sms kati yake na Josephine Slaa zinawezaje kuingizwa ktk hansard ya bungeni kwa maslahi ya nani? Hajui sheria injinia mzima huyu?

Hivi alitarajia serikali ijubu nini kuhusu hayo majungu yake. Huu ni upotezaji wa rasilimali za umma.

Nikifikiria gharama tunazolipa TBC kurusha matangazo hayo halafu wengine wanatumia muda huo kufanya majungu, bila kusahau gharama ya kuwatunza wabunge na watumishi wa bunge Dodoma. Hii inasikitisha.
 
Kwa hiyo kumbe na wewe unajua adabu za mazungumzo, kuwa sio kila neno linasemwa tu popote.

Ingelikuwa watu wote wanatakiwa wafate huo ustaarabu wa Josephine tungesikia maneno ya waongo, wanafiki, wazandiki, vizabizabina na mengineyo aina kama hayo bungeni. Lakini hatuyasikii, watu wanakosoana kwa maneno ya kistaarabu. Si lazima uvunjie watu heshima ndo ujumbe wako ufike. Slaa, Zitto, Mbowe na wengineo hawatumii maneno hayo kufikisha ujumbe wao, na sio kama wanayoyasema yanashuka thamani.

Kwa hili, hapana, hakuna mstaarabu kati ya hao wawili

mwalimu usisahau kwamba zito huyu huyu unayemsema ndiye alisema bungeni kwamba waziri anatoa majibu ya hovyo hovyo.

Pamoja na kutajiwa na spika kufuta kauli yake alikataa kata kata na spika akaipotezea na ujumbe ukawa umemfikia waziri husika.

Kwahiyo huwezi kumfananisha waziri ama mbunge ambaye ni mtumishi wa umma ambaye unamuona kabisa kwamba hatekelezi vizuri wajibu wake na mzazi ama mtoto!! Na jinsi viongozi wetu walivyotuchosha hatuna muda wa kuwaeleza kwa upole, wanatakiwa kupigwa kavu kavu huenda wataelewa, kwakuwa miaka yote tunawalemba ndo maana hatufiki, na huu ndio msimamo wangu.
 
Ni kweli nilimtumia msg.nilimwambia hivi.

Apunguze ushabiki na unafiki anapokuwa anazungumzia hoja bungeni kwani hata katika kijiji chake watu ni masikini sana badala yake aongee uhalisia na si nadharia.Anadhalilisha fani yake.

Hii ni baada ya mimi kwenda kijijini kwake.

she can prove me wrong.
Samahani eehh.... dada ..eh..dada Jose
Hivi..?
Mbona sikualikwa kwenye nanihii yenu na Dr..
Bado nafanya zoezi la kuandamana huku....
Halafu kwa protakailuliyo nayao imekaaje kumwandikia Muheshimiwa!
 
..wabunge wa ccm kweli wana mchecheto.

..mbona msg yenyewe ni nyepesi mno na hai-justify kabisa kumtafuta identity ya aliyeituma?

..pia sidhani kama ni msg ya matusi au vitisho kiasi kwamba mbunge apoteze muda na kuizungumzia ktk kikao cha bunge.

..Stella Manyanya amekuwa very unfair and inconsiderate kwa wananchi wake. badala ya kutumia nafasi yake bungeni kuwasilisha kero zinazowakabili wananchi wake, Stella Manyanya ameamua kuzungumzia txt msg anazotumiwa.
 
Nimepita pale bodi ya engeneers huwez amini nimesikia wanatamani kumfutia uinjinia kwa ujinga alioubwata bungeni.
 
Samahani eehh.... dada ..eh..dada Jose
Hivi..?
Mbona sikualikwa kwenye nanihii yenu na Dr..
Bado nafanya zoezi la kuandamana huku....
Halafu kwa protakailuliyo nayao imekaaje kumwandikia Muheshimiwa!
shhhhhh! ushawahi kunyweshwa gongo?
 
Sio bure Stella Manyanya na Josephine kuna kitu!! Ilikuaje mpaka wakawa wanatukanana kwenye sms? Sisi wote ni watu wazima tafakari

Sometimes kumbe una employ akili Ridhiwani
 
Mimi huwa najiuliza sana,hivi hawa watu wanaoisaport ccm huwa wanawaza nini!
 
Huyo si ndie aliijita Mpambanaji Ufisadi toka chama cha Magamba, Mafisadi wameisha au? Shame on her. Uinjinia huu wa kwenye siasa aibu tupu
 
Hatushangai maana mtu akiponda CDM ndo anajipalilia kwa Mbayu.
Usiamini kwamba hili li nchi limeshindikana na watu tuliochagua kwenda bungeni kwa kipindi hiki kupitia chama cha kujivua gamba kweli vimeo sitashangaa kama nikiambiwa wakati Injinia akitema upuuzi wake wenzake walikuwa wakigonga meza kwa nguvu sana as if mama kaongea point ya kupata mbadala wa maisha magumu.
 
Stella got it wrong on Slaa kuhamasisha wananchi wasifanye kazi, sijawahi sikia huu upuuzi, lakini suala la sms naomba tusianze kurusha mawe, slaa is a member of JF, so he can as well clarify kuhusu sms kutoka kwa josephine...
hata Josephine ni member
 
Kaambiwa ukweli kuwa kwao kupo ovyo yeye anasema dr. ndio anawahamasisha watu wa kwao wasifanye kazi!! Anataka kusema Dr. amekuwa akienda huko toka miaka sita iliyopita!! huu ndio unafiki anaoambiwa auache. Hivi namba yake ni ngani vile na mimi nimlime txt nyingine?
 
Huyo si ndie aliijita Mpambanaji Ufisadi toka chama cha Magamba, Mafisadi wameisha au? Shame on her. Uinjinia huu wa kwenye siasa aibu tupu
kapewa pesa za kunyolea ndevu kahamia kwa waliompa
 
People Record


11305.png

[TD="class: datalabel2"]Name[/TD]
[TD="class: keydata"]Stella Manyanya[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Surname[/TD]
[TD="class: data"]Manyanya[/TD]

[TD="class: datalabel2"]First Names[/TD]
[TD="class: data"]Stella Martin[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Alternate Name[/TD]
[TD="class: data"] [/TD]

[TD="class: datalabel2"]Title[/TD]
[TD="class: data"]Mrs[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Country of Birth[/TD]
[TD="class: data"] Tanzania [/TD]

[TD="class: tableheader, colspan: 4"]Positions[/TD]

[TD="class: datalabel2"]From[/TD]
[TD="class: datalabel2"]To[/TD]
[TD="class: datalabel2"]Organisation[/TD]
[TD="class: datalabel2"]Position[/TD]

[TD="class: data"]2005[/TD]
[TD="class: data"] [/TD]
[TD="class: data"] Special Womens Seats [/TD]
[TD="class: data"]Member[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Date of Birth[/TD]
[TD="class: data"]4 Aug 1962[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Political Affiliation[/TD]
[TD="class: data"] CCM [/TD]

[TD="class: datalabel2"]eMail[/TD]
[TD="class: data"] [/TD]

[TD="class: datalabel2"]Telephone[/TD]
[TD="class: data"] [/TD]

[TD="class: datalabel2"]Address[/TD]
[TD="class: data"] [/TD]

[TD="class: datalabel2"]Notes[/TD]
[TD="class: data"]EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
University of Dar Es Salaam (UDSM) Post Graduate 2005 To Date POSTGRADUATE
Trodheim Technical Collage (NTNU) Norway PGD (Electric Power Distribution System) 1995 1996 POSTGRADUATE
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Advance Diploma (Electrical Eng.) 1987 1992 ADV DIPLOMA
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Full Technician Course (FTC) 1980 1983 CERTIFICATE
Songea Girls Secondary School Secondary Education 1976 1979 SECONDARY
Maguu Primary School Primary Education 1969 1975 PRIMARY
--------------------------------------------------------------------------------
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list
--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
TANESCO Head of Department 1992 To Date
Pugu Kaolin Mines Ltd Kisarawe (STAMICO) Technician 1983 1987
--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Member 1997 To Date [/TD]
 
Wadau naombeni mnipe mipaka ya wabunge wa kuchaguliwa(wenye majimbo) na hawa wa viti maalum.Mi naona uanze mjadala wa kuondoa hivi viti maalum kwa sababu kama ni kuwawezesha(empower) nadhani muda umetosha,kwani kazi ya mama zetu hawa kama sio kupiga makofi kwa kila issue hata kama haina cha maana ni haya mambo kama haya ya Stella Manyanya.Wanatugharimu tu hawa na kutujazia idadi ya wabunge bungeni wakati hakuna cha maana wanafanya.
 
Anawakilisha jimbo gani? Na kama kuna picha za jimbo lake tafathali tuzione!
 
Back
Top Bottom