Mtani wangu Mwita........Nijuavyo mimi Josephine ni mwanasiasa hasa,tena wa jukwaani,mara nyingi wakati wa kampeni alikuwa akihutubia kwenye majukwaa na hata wakati wa maandamano ya Arusha ni mmojawapo wa walioshiriki na kupigwa na polisi na baadaye kukamatwa na mpaka sasa ni mmojawapo wa washtakiwa wa ile kesi iliyopo mahakamani......Na hata huko kijijini kwa Manyanya alienda kisiasa,wakati wa ziara ya operesheni Sangara......................Kuhusu speculation....nadhani hukunielewa vizuri mkuu wangu,soma posts za mwanzoni za thread hii utaona nini namaanisha,kuna watu wamedai kwamba Josephine na Stella wanamgombea Wilbroad Slaa,PHD kimapenzi(sasa sio speculations hizi)?......Wengine wanadai Stella alitaka mahusiano na Dk.Slaa Josephine akastuka..........Angalia pos za mwanzo utaona..........Otherwise,cheers.