Mtanzania1
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 1,170
- 175
''nilikuwa sijui kama huyu nae ana akili fupi kiasi hiki'' - RA (mb)This tarnishes her good image completely!hapo mwanzo sikujua kama huyu mama ni non sense kiasi hichi!shame upon you!!
''nilikuwa sijui kama huyu nae ana akili fupi kiasi hiki'' - RA (mb)This tarnishes her good image completely!hapo mwanzo sikujua kama huyu mama ni non sense kiasi hichi!shame upon you!!
Mwalimu nimekupata lakini nachoshindwa kukushangaa ni kwamba unazunguka saaana.
Mimi nimeomba unisaidie mbadala wa maneno kama mnafiki, muongo na mzandiki.
Usisahau kwamba hapa tunatumia mfano hai wa josephine na manyanya ambao hawana uhusiano wa baba mama na mtoto. Unapozungumzia baba au mama na mwana ni kitu kingine tofauti na unapozungumzia mwanasiasa wa kitanzania tena asiyejali maslahi ya watanzania wenzake anaotakiwa kuwawakilisha na kuwasemea.
Hizi lugha laini ndizo zimetufikisha hapa tulipo, kwamba mtu anasema uongo badala ya kumwambia ukweli kwamba kasema uongo sisi tunatafuta msamiati wa kulainisha uongo na kusema ulimi umeteleza kidogo, au amepitiwa au wasaidizi wake wamemuangusha!!! hii misamiati ya kupoteza ladha ya ukweli imefika wakati tuachane nayo, watu waambizane ukweli ili kuleta uwajibikaji.
Mkuu umenikumbusha mbio za mwingi na uchezwaji wa ngoma kwa wiki nzima mfululizo na maandamano ya wanafunzi kuusindikiza, sasa sijui pengine huko ndio kufanya kaziyawezekana pia ujazo hauna upumbavu na uelewa usio na uelewa ukakuyumbisha kwenye kudadisi na kuchanganua....
hakuna watu waliowahi kuandama nchi hii kama wanaCCM, tatizoi ni kwamba nyani haoni kundule
at times wapumbavu kama "mimi na wewe" huwa tunashindwa kuelewa simpo theories za productivity na motivation and how we can use demonstration as a driver for productivity, including maanamano
but anyway, nisijeleta sokomoko kwa sokomoko mwenye uelewa wa ki-sokomoko na kuishia kuwa kisonono
Thanks
Hata mimi nimemshangaa, badala ya kupeleka ishu polisi analeta bungeni! ni kupoteza muda wa bunge kwa mambo personal na hata hivyo hana uhakika kama josephine emmanuel ndiye huyo 'mke' wa dr. slaa, amejudge kwa kufananisha jina.
huyu si ndiyo yule engineer mwanasiasa - au njaa ndiyo zinawapeleka huko? yaani unaitupa carrier yako ya ufundi unaingia kupiga majungu.
Eeeeh! Na sisi bana,These are just trivial and absolutely solvable issues...no wonder hii thread imefika huku na inaendelea tu!
As for the so called Engineeer whoever.....It seems Chadema unleashed emotional laceration and you were thrown into a state of utter catalepsy.You had inured yourself in the aqua of self abnegation and immolation just to give credible representation to the down-trodden(Poor Tanzanians)..Huoni aibu kuongelea issue kama hizi bungeni? Some people are funny,shah!
yawezekana pia ujazo hauna upumbavu na uelewa usio na uelewa ukakuyumbisha kwenye kudadisi na kuchanganua....
hakuna watu waliowahi kuandama nchi hii kama wanaCCM, tatizoi ni kwamba nyani haoni kundule
at times wapumbavu kama "mimi na wewe" huwa tunashindwa kuelewa simpo theories za productivity na motivation and how we can use demonstration as a driver for productivity, including maanamano
but anyway, nisijeleta sokomoko kwa sokomoko mwenye uelewa wa ki-sokomoko na kuishia kuwa kisonono
Thanks
Mkuu Balantanda nakubaliana nawe, lakini utakumbuka kwamba si kila mtu anayeandamana anakuwa ni mwanasiasa wa majukwaani, kwakuwa naamini kila binadamu ni mwanasiasa kwa nafasi yake kwakuwa siasa ndio maisha. Kwahiyom josephine kuandamana arusha hadi kupigwa sio hoja ya kujustfy uansiasa wake kwa mtazamo wa sms aliyomtumia manyanya. Na hata hivyo utakumbuka kwamba wakati wa kampeni alikuwa akitambulishwa kama mchumba wa Slaa na kupewa nafasi ya kusalimia, mi namuona kama ni mwanasiasa in the making.
Pamoja na yote bado sioni mantiki ya manyanya kwenda kumlalamikia josephine bungeni, kimsingin hapa alikuwa anamlenga Slaa kutokana na pressure anayowapa. Kwani alishindwa nini manyanya kumjibu kwa sms kama alivyoandikiwa?? nadhani kwa hili nitakopa msemo wao kwamba anatafuta umaarufu wa kisiasa!!
Manyanya si mstaarabu na Josephine nae si mstaarabu vile vile.
Utamuandikiaje msg mtu na kutumia maneno Kama 'acha ushabiki na unafiki' ?
mtani hapo kwenye red umesema kweli.....mana hata ukiwangaliwa sms aliyotumiwa ilikuwa ni ya kumfanya awajibike ipasavyo...haikuwa matusi kama alivyodai....bali ni ukweli mtupu....huyu mama manyanya sijui vipi
Huyu naye anatia kinyaa! hawa wabunge wasio na jimbo wanaongea kila upumbavu naona wataanza kuongea hata wanamtongoza na kulala nao! Bado spika anaweza kuruhusu bunge kutumika kipumbavu kiasi hiki!